-Maoni yangu binafsi ni umri wa kustaafu uwe miaka 50, kupisha chipukizi.
-Iwe mwiko mtu kushika nafasi za kiuongozi zaidi ya moja.
-Baada mtu kustaafu awe anapatiwa eneo la ekari 2, kama sehemu za benefit zake.
-Uchumi wa viwanda upewe uzito
-Utaalamu wa maswala ya electronic, ujuzi wake kwa...
Unachangiwa na tatizo la saikolojia za baadhi ya wahudumu kwenye vituo vya afya. Mfano unakuta mhudumu anamsongo wa mawazo kwa namna yeyote na afikapo kazini anamhudumia dawa mgonjwa badala ya kuandika2*3 ataandika2*2 mwisho wa siku mgonjwa haponi. Ushauri kuwe na watalam wa saikolojia huko...
Kulikuwa na mashindano ya kikapu ambayo chini umri 16.Washirki wawili walikutana ambao USA na el salvador's .
Matokeo USA alishinda kwa vikapu 114 huku El salvador's 19.
Umejifunza nini hapa kuhusu michezo
Kwa hali ya sasa masanduku ya kutolea maoni yapo kwenye ofisi husika jambo ambalo maoni kama yanamuhusu mhusika anaefungua halifanyiwi kazi au kupotezewa au wakati mwingine kuto kufwatiliwa kwa sanduku lile kabisa.
Jambo ambalo na pendekeza kufanyika ni kutengenezwe page online ambayo...
Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amezitaja sababu mbalimbali zilizosababisha kuzama kwa meli ya Mv Bukoba kwa kurejea maandiko, hotuba, tafiti, hukumu za kesi zilizohusu sakata hilo.
Profesa Mukandala ameyasema hayo leo Jumanne Mei 21...
Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.
Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?
Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi?
Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia...
1. University of Dar es Salaam
2. Sokoine University
3. Nelson Mandela African Institute
4. Mbeya university
5. Catholic university of Health
6. Mwenge Catholic University
7. Moshi Cooperative university
8. Mzumbe university
9. Kilimanjaro Christian college
10. University of Arusha
Kwa ambao...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tunakaribisha maoni mbalimbali na hata mawazo tofauti kati ya wanachama na viongozi wetu. Kama chama cha kidemokrasi, Chadema tunaona suala la kutofautiana na kulumbana juu ya hoja mbalimbali ni fursa muhimu sana ya kuonesha demokrasia yetu na pia...
Mheshimiwa Waziri wa Fedha,
Tanzania yetu ni nchi yenye amani tele na yenye fursa nyingi za uwekezaji. Tuna rasilimali nyingi muhimu, uchumi imara na uwezo wa teknolojia. Hata hivyo, kwa bahati mbaya, wawekezaji wa kigeni wanahofia kuja kuwekeza hapa nchini kutokana na kodi nyingi na ngumu...
Habari za wakati huu waungwana, ni matumaini yangu nyote ni watu wazima na wenye uzoefu na haya maisha.
Naomba kufahamu tofauti iliyopo katika mambo hayo mawili muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.
salamu wanandugu,
Kama kichwa cha uzi .
Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale hakuna ngumi labda ni kick , hawakuwa serious.
Tuangalie kwanza mazingira waliyokutana. kama...
Kabla ya utawala wa awamu ya tano kuingia madarakani kulikuwa na taasisi binafsi za utafiti zilizokuwa zinafanya utafiti wa masula ya kijamii kwa raia na kutoa matoke ya hapa na pale.
Waliokuwa wanafuatilia watazikumbuka Twaweza, IPSOS, Afrobarometer na REDET. Japo matokeo ya utafiti wa taasisi...
Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani inaweza kuvunjwa na kujengwa mpya inayoendana na wakati, basi hata muungano kwa sasa ni jumba la kale...
Kwa miaka mingi nimetumia Toyota nilianza na Rav4, Passo, Raum, Noah, Spacio, Kisha nikarudia Noah ambayo niko nayo muda mrefu kuliko gari zote hizo tangu 2019.
Natamani sasa kupata Gari nyingine na hasa safari hii natamani gari tofauti na Toyota
Macho yangu yameona HONDA ROADCROSS KImuonekano...
Binafsi nimeona "potential" yako katika uongozi una uthubutu lakini ninahusudu uthubutu wako huo kwamba utachochea harakati za wananchi kujiletea maendeleo.
Mtu akikwambia kuwa, "samahani umefeli katika zoezi la usaili lakini tumeona "potential" ndani yako, fahamu kuwa bado waonekana una uwezo...
Awamu iliyopita ilijitahidi sana kuwa karibu na wananchi hususan wale wa tabaka la chini, Kwa kuwasikiliza! Haijalishi hoja anayokuja nayo mwananchi yeyote ukiwa kama kiongozi unapaswa kusikiliza na kuwa humble!
Ni vibaya mno kiongozi kukataa kusikiliza sauti ya yule anayemuongoza! Bila...
Habari wadau, kwanini wasanii na watu maarufu imekuwa kawaida kufanya ngono na kujirekodi tena kwa ujasiri?
Je, serikali hailioni hili au na yenyewe imeamua kubariki utumbo huu? Leo Aslay naye katoa sexy tape yake akifanya uchafu wake na kahaba mmoja hivi.
Hivi watu kama: Aslay, Gigy, Uwoya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.