Utafiti: Wanaume wananyanyasika zaidi kingono kwenye vyombo vya habari kuliko wanawake

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Snapinsta.app_428179392_713674367636189_2455294459423869364_n_1080.jpg

View: https://www.youtube.com/watch?v=A3BiWhBGNxY

Twaweza, JamiiForums, The Union of Tanzania Press Clubs (UTPC), Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) na Media Institute of Southern Africa Tanzania Chapter (MISATan) kwa pamoja wanatarajiwa kuzindua Ripoti ya Sauti za Waaandishi, leo Februari 16, 2024.

Ripoti hiyo inatarajiwa kujadili Uzoefu na Maoni ya Waandishi wa Habari nchini #Tanzania kuhusu Sekta ya Vyombo vya Habari, lengo likiwa ni kutoa taarifa (data) zilizopatikana kutokana na utafiti uliyofanyika kati ya Septemba na Novemba 2023.

Sauti za Wananchi ni utafiti wa Simu za Mkononi wa kwanza Barani Afrika unaotoa data za Kisayansi kuhusu maoni na uzoefu wa raia kuhusu masuala mbalimbali ya Utawala.

Waandishi wa habari hubeba jukumu kubwa katika jamii. Husaidia wananchi kupata taarifa za matukio muhimu, hufanya kazi kama mlezi kuhakikisha wale wenye nguvu wanawajibishwa Pamoja na kutoa nafasi kwa vyombo vyao vya Habari kurahisisha mazungumzo ya kitaifa kwa kutoa jukwaa (na kipaza sauti) kwa raia kusikilizwa.

Hivyo, uzoefu na maoni ya waandishi wa habari ni muhimu sana. Je, waandishi wa habari wana aina gani ya hali ya ajira? Je, wanajisikia wanaweza kuishi vizuri, na je, wameridhika na kazi zao? Mara ngapi wanakabiliwa na vitisho na unyanyasaji kama matokeo ya kazi yao, na kutoka kwa nani? Wanahisi vipi kuhusu uhuru wa vyombo vya habari kwa kanuni, na kwa vitendo? Na ni matarajio gani wanayo kwa mustakabali wa taaluma yao nchini Tanzania?

Muhtasari huu unawasilisha matokeo ya utafiti wa waandishi wa habari, wahariri na bloga 1,202 wanaofanya kazi nchini Tanzania. Kikundi hiki kilianzishwa kutoka kwenye maktaba za wanachama wa vyama mbalimbali vya vyombo vya habari, hasa Chama cha Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), pamoja na Chama cha Wanawake wa Vyombo vya Habari Tanzania (TAMWA), Taasisi ya Vyombo vya Habari ya Kusini mwa Afrika Tanzania (MISA-Tan), JamiiForums na Baraza la Wahariri Tanzania (TEF). Mahojiano yalifanyika kwa simu kati ya Septemba 23 na Novemba 7, 2023.

Muhtasari wa matokeo muhimu:
  • Wengi wa waandishi wa habari hawana ajira za kudumu
  • Wengi wa waandishi wa habari wanasema ni vigumu kuishi vizuri kutokana na uandishi wa habari
  • Wengi wa waandishi wa habari wameridhika na kazi yao ya sasa, ingawa wengi wao hawatopenda waatoto wao kujihusisha na kazi hiyo.
  • Waandishi wa habari wa kike wanahisi hawatendewi haki ikilinganishwa na wenzao wa kiume
  • Nusu ya waandishi wa habari wamewahi kutishwa, kuteswa au kushambuliwa wakati fulani
  • Waandishi wa habari wanawatuhumu maafisa wa serikali kama chanzo kikuu cha vitisho kwa kazi yao
  • Waandishi wa habari wanakiri umuhimu wa kuchunguza ukweli wa mambo kabla ya kuripoti, lakini kwenye baadhi ya mambo huwa hawafanyi hivyo
  • Waandishi wa habari wanatambua sana ufisadi ndani ya vyombo vya habari
  • Waandishi wa habari wanakubaliana kwa kanuni kwamba vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru kutoka udhibiti wa serikali, lakini wanakubali mipaka katika hali maalumu
  • Wengi wa waandishi wa habari wanahisi kuwa vyombo vya habari nchini Tanzania havina uhuru mwingi wa kufanya kazi kwa uhuru
  • Waandishi wa habari wanachukulia baadhi ya mada kuwa hazipaswi kujadiliwa
  • Waandishi wa habari wanachukulia changamoto za kiuchumi kuwa kizuizi kikubwa kwa uhuru wa vyombo vya habari
  • Waandishi wa habari nchini Tanzania wanatarajia mabadiliko mengi katika miaka 5-10 ijayo, lakini kwa ujumla wanatazamia madadiliko hayo kwa matumaini
  • Wengi wa waandishi wa habari wanategemea jukumu la waandishi wa habari kubadilika, lakini si kupungua.
Michango ya Washiriki kwenye Mada
Aidan Eyakuze (Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza)

- Sheria ziwalinde wanahabari na sio kuwatisha ili wasiibue ukweli. Nafasi ya Waandishi wa Habari katika jamii ni muhimu, sisi sote tunapaswa kufanya kila tuwezalo kuwalinda na kuwastawisha

CAG Mtaafu, Ludovick Utouh

- Mzingira duni ya Uchumi ni moja ya sababu ya mazingira ya Rushwa kuendelea katika Tasnia ya Uandishi wa Habari

- Asisitiza Waandishi wa Habari kuwa na uelewa wa masuala ya Sheria za Ajira kwa kuwa ajira zote zipo chini ya Muongozo wa Sheria za Nchi ili kuweza kupata haki wanazostahili. Amesema, "Nawasikitikia Wanahabari ambao hawapo kwenye Mikataba ya Ajira kwa kuwa hii inawafanya kuwa 'vulnerable' kwa Waajiri wao".
 
Wanaume wengi huwa hatuwezi kuelezea adha hiyo huku jamii ikiona kama inatufaidisha sisi, lakini tunahitaji kupata elimu zaidi juu ya hili, unyanyasaji wa kingono unatuumiza hata kiakili badae
 
Kuna utaratibu gani au mpango gani juu ya kuelimisha jamii juu ya swala hili maana jamii kiukweli inatuona kama tunafurahia lakini inatuumiza
 
Jamii na hasa wanaume wenyewe wamekuwa wakionesha kama bahati pale ambapo watakumbana na vishawishi au kulazimishwa kutumikishwa kingono jambo ambalo linawanyima haki ya kusaidika kwa haraka.

Ukizingatia pia wanaficha kuripoti matukio hayo kwa hofu ya kuonekana wanaudhalilisha uanaume wao kwani jamii imewalazimisha waone ngono kwao ni jambo la fahari iwe wanataka au wamelazimishwa.
 
Bila kupepesa macho uhuru wa waandishi wa habari nchini bado kabisa, mtu akitoa comment ikimgusa tu bwana mkubwa yoyote fasta mtu anafanywa mfano ili arudi kwenye uchawa. Viongozi na vyombo vya ulinzi mnatuangusha linapokuja suala la uhuru wa vyombo vya habari, ni kama hamtaki kabisa wananchi tuwe sehemu ya ujenzi wa taifa hili kwa kuzuia kabisa vyanzo vyote vya taarifa 'zenye tija' kwetu
 
Twaweza, JamiiForums, The Union of Tanzania Press Clubs (UTPC), Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) na Media Institute of Southern Africa Tanzania Chapter (MISATan) kwa pamoja wanatarajiwa kuzindua Ripoti ya Sauti za Waaandishi, leo Februari 16, 2024.

Ripoti hiyo inatarajiwa kujadili Uzoefu na Maoni ya Waandishi wa Habari nchini #Tanzania kuhusu Sekta ya Vyombo vya Habari, lengo likiwa ni kutoa taarifa (data) zilizopatikana kutokana na utafiti uliyofanyika kati ya Septemba na Novemba 2023.

Sauti za Wananchi ni utafiti wa Simu za Mkononi wa kwanza Barani Afrika unaotoa data za Kisayansi kuhusu maoni na uzoefu wa raia kuhusu masuala mbalimbali ya Utawala.

Waandishi wa habari hubeba jukumu kubwa katika jamii. Husaidia wananchi kupata taarifa za matukio muhimu, hufanya kazi kama mlezi kuhakikisha wale wenye nguvu wanawajibishwa Pamoja na kutoa nafasi kwa vyombo vyao vya Habari kurahisisha mazungumzo ya kitaifa kwa kutoa jukwaa (na kipaza sauti) kwa raia kusikilizwa.

Hivyo, uzoefu na maoni ya waandishi wa habari ni muhimu sana. Je, waandishi wa habari wana aina gani ya hali ya ajira? Je, wanajisikia wanaweza kuishi vizuri, na je, wameridhika na kazi zao? Mara ngapi wanakabiliwa na vitisho na unyanyasaji kama matokeo ya kazi yao, na kutoka kwa nani? Wanahisi vipi kuhusu uhuru wa vyombo vya habari kwa kanuni, na kwa vitendo? Na ni matarajio gani wanayo kwa mustakabali wa taaluma yao nchini Tanzania?

Muhtasari huu unawasilisha matokeo ya utafiti wa waandishi wa habari, wahariri na bloga 1,202 wanaofanya kazi nchini Tanzania. Kikundi hiki kilianzishwa kutoka kwenye maktaba za wanachama wa vyama mbalimbali vya vyombo vya habari, hasa Chama cha Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), pamoja na Chama cha Wanawake wa Vyombo vya Habari Tanzania (TAMWA), Taasisi ya Vyombo vya Habari ya Kusini mwa Afrika Tanzania (MISA-Tan), JamiiForums na Baraza la Wahariri Tanzania (TEF). Mahojiano yalifanyika kwa simu kati ya Septemba 23 na Novemba 7, 2023.

Muhtasari wa matokeo muhimu:
  • Wengi wa waandishi wa habari hawana ajira za kudumu
  • Wengi wa waandishi wa habari wanasema ni vigumu kuishi vizuri kutokana na uandishi wa habari
  • Wengi wa waandishi wa habari wameridhika na kazi yao ya sasa, ingawa wengi wao hawatopenda waatoto wao kujihusisha na kazi hiyo.
  • Waandishi wa habari wa kike wanahisi hawatendewi haki ikilinganishwa na wenzao wa kiume
  • Nusu ya waandishi wa habari wamewahi kutishwa, kuteswa au kushambuliwa wakati fulani
  • Waandishi wa habari wanawatuhumu maafisa wa serikali kama chanzo kikuu cha vitisho kwa kazi yao
  • Waandishi wa habari wanakiri umuhimu wa kuchunguza ukweli wa mambo kabla ya kuripoti, lakini kwenye baadhi ya mambo huwa hawafanyi hivyo
  • Waandishi wa habari wanatambua sana ufisadi ndani ya vyombo vya habari
  • Waandishi wa habari wanakubaliana kwa kanuni kwamba vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru kutoka udhibiti wa serikali, lakini wanakubali mipaka katika hali maalumu
  • Wengi wa waandishi wa habari wanahisi kuwa vyombo vya habari nchini Tanzania havina uhuru mwingi wa kufanya kazi kwa uhuru
  • Waandishi wa habari wanachukulia baadhi ya mada kuwa hazipaswi kujadiliwa
  • Waandishi wa habari wanachukulia changamoto za kiuchumi kuwa kizuizi kikubwa kwa uhuru wa vyombo vya habari
  • Waandishi wa habari nchini Tanzania wanatarajia mabadiliko mengi katika miaka 5-10 ijayo, lakini kwa ujumla wanatazamia madadiliko hayo kwa matumaini
  • Wengi wa waandishi wa habari wanategemea jukumu la waandishi wa habari kubadilika, lakini si kupungua.

Feminisms, Haki Sawa na ongezeko la Mario ndiyo sababu kuu.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Naona hawajaongelea wale tunaowasikia redioni lakini hawana taaluma ya uandishi..
 
Jamii, yaani sisi tuna mchango mkubwa sana kufanya unyanyasaji wa kingono na aina nyingine za unyanyasaji ziendelee kwa wanaume. Sisi ndio wa kwanza kucheka tukiona mwanaume analalamika kunyanyaswa kingono, sisi ndio wa kwanza kucheka mwanaume akilia kwa uchungu au kuonesha hisia za kuumiwa ikiwa kafanyiwa unyanyasaji, sisi ndio wa kwanza wa kubeza na kusema unafatwa na "Shangazi" afu unakuja kulalamika, si ungepiga tu?! Sisi ndio tupo kwenye mamlaka zinazopokea malalamiko hayo lakini ndio wa kwanza kubeza "Yaani mtoto wa kiume unalia sababu mtoto kakukubali? Halafu tunategemea hawa hawa wajisikie huru kuripoti matukio haya? Mabadiliko yanatakiwa kuanza na sisi mmoja mmoja kabla hatujafika huko juu
 
Wanaume wengi tunanyanyasika sema ile hali ya kutopenda kulalamika inafanya matatizo yetu yasipewe uzito.

Asanteni kwa utafiti wenu huenda ukafumbua watu macho na ukawa sehemu ya suluhu ya matatizo ya wanaume.
 
Nimesikia hiyo ripoti inasema waandishi huchunguza facts kabla ya kusema au kuandika jambo, lakini wakati mwingine huzipuuza au huona hazina umuhimu hivyo kwa lugha rahisi huwa wanapotosha kwa makusudi.

Hii inasikitisha sana, waandishi wanakiuka misingi ya kazi yao wenyewe. Ni muhimu wakijikosoa hapo, Ukweli utatuweka huru!
 
Twaweza, JamiiForums, The Union of Tanzania Press Clubs (UTPC), Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) na Media Institute of Southern Africa Tanzania Chapter (MISATan) kwa pamoja wanatarajiwa kuzindua Ripoti ya Sauti za Waaandishi, leo Februari 16, 2024.

Ripoti hiyo inatarajiwa kujadili Uzoefu na Maoni ya Waandishi wa Habari nchini #Tanzania kuhusu Sekta ya Vyombo vya Habari, lengo likiwa ni kutoa taarifa (data) zilizopatikana kutokana na utafiti uliyofanyika kati ya Septemba na Novemba 2023.

Sauti za Wananchi ni utafiti wa Simu za Mkononi wa kwanza Barani Afrika unaotoa data za Kisayansi kuhusu maoni na uzoefu wa raia kuhusu masuala mbalimbali ya Utawala.

Waandishi wa habari hubeba jukumu kubwa katika jamii. Husaidia wananchi kupata taarifa za matukio muhimu, hufanya kazi kama mlezi kuhakikisha wale wenye nguvu wanawajibishwa Pamoja na kutoa nafasi kwa vyombo vyao vya Habari kurahisisha mazungumzo ya kitaifa kwa kutoa jukwaa (na kipaza sauti) kwa raia kusikilizwa.

Hivyo, uzoefu na maoni ya waandishi wa habari ni muhimu sana. Je, waandishi wa habari wana aina gani ya hali ya ajira? Je, wanajisikia wanaweza kuishi vizuri, na je, wameridhika na kazi zao? Mara ngapi wanakabiliwa na vitisho na unyanyasaji kama matokeo ya kazi yao, na kutoka kwa nani? Wanahisi vipi kuhusu uhuru wa vyombo vya habari kwa kanuni, na kwa vitendo? Na ni matarajio gani wanayo kwa mustakabali wa taaluma yao nchini Tanzania?

Muhtasari huu unawasilisha matokeo ya utafiti wa waandishi wa habari, wahariri na bloga 1,202 wanaofanya kazi nchini Tanzania. Kikundi hiki kilianzishwa kutoka kwenye maktaba za wanachama wa vyama mbalimbali vya vyombo vya habari, hasa Chama cha Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), pamoja na Chama cha Wanawake wa Vyombo vya Habari Tanzania (TAMWA), Taasisi ya Vyombo vya Habari ya Kusini mwa Afrika Tanzania (MISA-Tan), JamiiForums na Baraza la Wahariri Tanzania (TEF). Mahojiano yalifanyika kwa simu kati ya Septemba 23 na Novemba 7, 2023.

Muhtasari wa matokeo muhimu:
  • Wengi wa waandishi wa habari hawana ajira za kudumu
  • Wengi wa waandishi wa habari wanasema ni vigumu kuishi vizuri kutokana na uandishi wa habari
  • Wengi wa waandishi wa habari wameridhika na kazi yao ya sasa, ingawa wengi wao hawatopenda waatoto wao kujihusisha na kazi hiyo.
  • Waandishi wa habari wa kike wanahisi hawatendewi haki ikilinganishwa na wenzao wa kiume
  • Nusu ya waandishi wa habari wamewahi kutishwa, kuteswa au kushambuliwa wakati fulani
  • Waandishi wa habari wanawatuhumu maafisa wa serikali kama chanzo kikuu cha vitisho kwa kazi yao
  • Waandishi wa habari wanakiri umuhimu wa kuchunguza ukweli wa mambo kabla ya kuripoti, lakini kwenye baadhi ya mambo huwa hawafanyi hivyo
  • Waandishi wa habari wanatambua sana ufisadi ndani ya vyombo vya habari
  • Waandishi wa habari wanakubaliana kwa kanuni kwamba vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru kutoka udhibiti wa serikali, lakini wanakubali mipaka katika hali maalumu
  • Wengi wa waandishi wa habari wanahisi kuwa vyombo vya habari nchini Tanzania havina uhuru mwingi wa kufanya kazi kwa uhuru
  • Waandishi wa habari wanachukulia baadhi ya mada kuwa hazipaswi kujadiliwa
  • Waandishi wa habari wanachukulia changamoto za kiuchumi kuwa kizuizi kikubwa kwa uhuru wa vyombo vya habari
  • Waandishi wa habari nchini Tanzania wanatarajia mabadiliko mengi katika miaka 5-10 ijayo, lakini kwa ujumla wanatazamia madadiliko hayo kwa matumaini
  • Wengi wa waandishi wa habari wanategemea jukumu la waandishi wa habari kubadilika, lakini si kupungua.
Michango ya Washiriki kwenye Mada
Aidan Eyakuze (Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza)

- Sheria ziwalinde wanahabari na sio kuwatisha ili wasiibue ukweli. Nafasi ya Waandishi wa Habari katika jamii ni muhimu, sisi sote tunapaswa kufanya kila tuwezalo kuwalinda na kuwastawisha

CAG Mtaafu, Ludovick Utouh

- Mzingira duni ya Uchumi ni moja ya sababu ya mazingira ya Rushwa kuendelea katika Tasnia ya Uandishi wa Habari

- Asisitiza Waandishi wa Habari kuwa na uelewa wa masuala ya Sheria za Ajira kwa kuwa ajira zote zipo chini ya Muongozo wa Sheria za Nchi ili kuweza kupata haki wanazostahili. Amesema, "Nawasikitikia Wanahabari ambao hawapo kwenye Mikataba ya Ajira kwa kuwa hii inawafanya kuwa 'vulnerable' kwa Waajiri wao".

Mbona mpo huru tu mnatoa taarifa nyingine mpaka mtu anajiuliza na hii imeruhusiwa kutoka public 🤔🤔🤔
 
Utafiti wa #SautizaWaandishi wabaini kuwa maafisa wa Serikali na Halmashauri nchini watajwa kuwa vinara wa kunyanyasa waandishi wa habari.
 
Waandishi wanaficha maovu mengi sana.
 
Back
Top Bottom