MAONI: Kwenye battle ya flagships, hakuna brand inayoizidi Samsung, hata iPhone haishiki moto wa Samsung

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
1,996
5,054
DISCLAIMER: This content is solely based on my personal opinion.

Moja kwa moja kwenye mada. Hizi flagships babalao ni Samsung pekee. Achana na series za Google pixel, iPhone, Redmi, etc... Samsung yuko vzr kotekote, hardware na software.

Iphone kwa ile classy feeling na touch wako vzr, ila kimatumizi simu zao zinakera sana, hazipo stable. Na hata charge ni mzigo, battery zao zina uwezo mdg ukilinganisha na corresponding flagships za brands nyingine. Labda kama hauna matumizi mengi ya simu, lkn kama wewe ofisi yako ni simu basi chukua samsung. Samsung s20 tu ina uwezo wa kuipiga mbali sana iphone 11.

Google pixel wanajitahidi kwenye software, ila hardware bado.

Kwangu Brand pekee inayoifuata samsung kwa ubora ni Huawei
 
Hivi unajua hakuna brand ya simu yoyote duniani iliyouza mauzo mengi zaidi ya hizi mbili
 
Attachments

  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    26.2 KB · Views: 12
Samsung wako vzr sana sababu wameweza kupata balance kati ya uwezo wa software na hardware, kitu ambacho kwa wengine bado.

Brands nyingine utakuta hardware nzr ila software chenga, and vice versa
Nilinunua Samsung Galaxy S10e Mpya Toka China
NilipoipokeA Tanzania Nikaona Simu Ni Ndogo Ila Nilipoitumia Nikaona Ni Simu Nzuri Mno
Vifaa Ilivyokuja Navyo Toka China Ni Vingi
 
DISCLAIMER: This content is solely based on my personal opinion.

Moja kwa moja kwenye mada. Hizi flagships babalao ni Samsung pekee. Achana na series za Google pixel, iPhone, Redmi, etc... Samsung yuko vzr kotekote, hardware na software.

Iphone kwa ile classy feeling na touch wako vzr, ila kimatumizi simu zao zinakera sana, hazipo stable. Na hata charge ni mzigo, battery zao zina uwezo mdg ukilinganisha na corresponding flagships za brands nyingine. Labda kama hauna matumizi mengi ya simu, lkn kama wewe ofisi yako ni simu basi chukua samsung. Samsung s20 tu ina uwezo wa kuipiga mbali sana iphone 11.

Google pixel wanajitahidi kwenye software, ila hardware bado.

Kwangu Brand pekee inayoifuata samsung kwa ubora ni Huawei
Kwa Charge siku hizi Iphone wapo vizuri, Arm alizingua sana miaka michache iliopita.
 
Mm nilinunua sm note 20 kavu...hii simu weka mbali na watoto kwanza kiooo chake yaan ukiwa unatumia unasikia rahaaaa sasa njoo camera ni balaaa na chaji inakaa vizuri sana battery 4300 mAh, Ram 8gb, internal storage 256gb.Hii simu ni nzuri sana.Nilisha wahi tumia redme note 11 ni nzuri sana ila kwa samsung hapana acha niwape maua yao.
 
Ukiona mtu analalamika simu flani haikai na charge, tambua kwamba huyo mtu mishe zake ni za kivivu anajikuta muda wa kazi anaupoteza zaidi kwenye simu au kama sio hivyo basi huyo mtu anatumia simu yake kama laptop / desktop aka Hana njia mbadala ya kuingia mtandaoni
 
DISCLAIMER: This content is solely based on my personal opinion.

Moja kwa moja kwenye mada. Hizi flagships babalao ni Samsung pekee. Achana na series za Google pixel, iPhone, Redmi, etc... Samsung yuko vzr kotekote, hardware na software.

Iphone kwa ile classy feeling na touch wako vzr, ila kimatumizi simu zao zinakera sana, hazipo stable. Na hata charge ni mzigo, battery zao zina uwezo mdg ukilinganisha na corresponding flagships za brands nyingine. Labda kama hauna matumizi mengi ya simu, lkn kama wewe ofisi yako ni simu basi chukua samsung. Samsung s20 tu ina uwezo wa kuipiga mbali sana iphone 11.

Google pixel wanajitahidi kwenye software, ila hardware bado.

Kwangu Brand pekee inayoifuata samsung kwa ubora ni Huawei
Naunga mkono hoja. Samsung ndiyo top phone on earth.

iPhone ukiacha hayo mapungufu ya battery, restrictions za iTunes, uuzaji wa applications bado naichukia kwa kuwa founder wake Tim Cooks ni shoga aliyejitangaza.
 
Kukurekebisha founder wa iphone si tim cook, na tim cook kuwa shoga haku athiri ubora wa bidhaa za apple

For the record tim cook was hand picked kuongoza apple na steve jobs akiwa katika hali mbaya kitandani
 
Back
Top Bottom