neno ni upanga
Senior Member
- Jun 28, 2022
- 189
- 725
Habari wakuu!
Mimi kama mzalendo jana nimefuatilia majaribio ya treni ya kisasa kutoka Dar to Morogoro, nilichokibaini ni hiki
kama kwenye uzinduzi ambao kulikuwa na viongozi ndani yake imetumia masaa mawili kufika Morogoro, tafsiri yake uwezekano wa kutumia masaa manne kwa mfumo wetu wa uongozi kufika Morogoro ni mkubwa huko mbele, maana kitu kikiwa kipya efficiency yake ni kubwa tofauti kikianza kutumika ambapo efficiency mara nyingi hupungua, tofauti ya treni ya kisasa na mabasi itakuwa imepunguza foleni, lakini kwenye suala la muda naona sio kama tulivyoaminishwa!!
Lakini yote kwa yote tunaipongeza TRC, serikali, vyama vya upinzani, na wadau wote waliopush hili jambo kufikia hapa,!