maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa makini na maoni ya wajumbe JF, changanya na zako

    Kwa uchache sana nataka kutoa tahadhari kwenu kuhusu ushauri unaotolewa humu Jukwaa la Mapenzi. Wajumbe wanatoa ushauri mwingi sana, lakini uchukue kwa tahadhari huku ukichanganya na akili zako. Ukiuchukua kama ulivyo unaweza kuharibikiwa vibaya sana. Jitegemee zaidi kwenye maamuzi ya mwisho...
  2. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Chapinga kushirikishwa katika Mchakato Mzima wa Maoni ya "Bima Ya Afya kwa wote" Kama serikali ilivyosema

    Chama cha Madaktari Nchini Tanzania (MAT) kimepinga na kusema kuwa hakikushirikishwa kwenye mchakato wowote wa kuandaa,Kutoa maoni au Kushiriki katika njia yoyote ile ya mchakato huo. kinyume cha serikali inavyojinasibu kuwa Chama hicho kilishirikishwa kama Mdau Rasmi wa Afya.. Aidha Dr...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge kuanza kupokea maoni kuhusu miswada sheria za uchaguzi

    Kamati za Kudumu za Bunge zimeitisha maoni ya wadau kuhusu miswada mitano iliyosomwa kwa mara katika mkutano wa 13 ukiwemo Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023. Maoni hayo ya miswada hiyo iliyowasilishwa kwa mara ya kwanza Novemba 10 mwaka huu itawasilishwa...
  4. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

    Jeshi la Hamas ni nadra sana kuvaa kiraia, pia huficha nyuso zao kamwe hazionekani. Lakini wauwaji wa Joshua walikua hawana nguo za jeshi wamevaa kiraia na pia nyuso zao zilikua wazi. Kwanini Hamas hufunika nyuso zao? Hamas daima hufunika nyuso zao. Watu hawa, ambao hawajajulikana ni wakina...
  5. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Chama ndiye anayestahili kucheza namba 10 na sio Ntibanzonkiza!

    Ntibanzonkiza ukimwangalia kwa jicho la ndani Hana msaada kwa Simba kwa namba 10 anayocheza, hivyo anampa wakati mgumu Baleke kupata mipira kazi za kumpa mipira Baleke anaiweza Chama only! Ntibanzonkiza anafanya sana back pass na akiwa na mpira kwenda golini ni rahisi Sana kupoteza hivyo kwa...
  6. Candela

    JamiiForums Tanzania Yapi maoni yako juu ya wimbi la dawa za kuongeza maumbile kwa wanaume? Wanaotumia zinawasaidia?

    Kama uko online najua hujambo, wagonjwa wako ICU simu zao zimezimwa. Kuna kasumba ya wanaume kuambiwa vibamia suala ambalo limepelekea kuibuka kwa wingi kwa watu wanaosema wanatibu tatizo hilo. Hivi juzi niliijiwa na jamaa yangu anasema ana rafiki yake anamsumbua amuelekeze dawa ya kukuza...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Fundi Samico kuhusu ukamataji wa makahaba kiufundi; Tujifunze pamoja

    Heshima kwenu ndugu zangu! Nashawishika kuandika maoni haya Leo nikitambulika kama fundi Samico, Fundi bora kabisa wa umeme na ujenzi kwa bei nafuu kwa watu wote na taasisi! Wateja wangu ni wengi wakiwemo hata makahaba wenyewe! Napatikana kwa simu 0711756341 au Instagram tafuta...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hebu linganisha haya mambo halafu toa maoni yako

    Hivi ndivyo wanavyotofautiana Wakenya na Watanzania Angalia hawa Halafu angalia na hawa
  9. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Julia loffe: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma (Wananchi)

    Akiwa anatoa hija yake kuhusu athari za habari potofu Mwandishi w Urusi Julia Loffe anaeleza: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma na kusababisha uungwaji mkono wa Sera na Viongozi wa Kisiasa wasiofaa. --- Habari Potofu huathiri Michakato ya kupata Viongozi wa Kisiasa, hushusha Imani ya...
  10. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Makabila yenye JUJU KALI, ndo yanatoa viongozi na wateuliwa wengi nchini. Nipe maoni yako

    Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
  11. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tozo ya Matangazo kwenye Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri

    Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri. Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni ya kuungaunga hayana Afya yoyote hivyo ni vema Serikali ikawaangalia kwa jicho la Huruma. Jumaa...
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu ya kisomi kuhusu mabango ya Yanga

    Nitaelezea kwa ufupi sana maoni yangu ya kisomi kuhusiana na ishu ya mabango ya Yanga yanayoonyesha matokeo ya mechi yake na Simba yaliyopachikwa maeneo mabalimbali Dar es Salaam. Upande mmoja wamekuja na hoja kuwa walichofanya Yanga ni kuchukua maudhui kutoka Azam TV na walichofanya ni...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Haki ya kutoa maoni ni haki ya kila Mtanzania kulingana na katiba ya nchi

    Hivi karibuni kauli ya Paul Makonda imedhihirisha katika ukandamizaji wa Uhuru wa Kujieleza nchini baada ya kusema wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni. Wastaafu wana haki ya kutoa maoni yao kama watu wengine hasa maneno ya ushauri kwa vijana,wakati mwingine huwa ni ushauri mzuri. Katika Katiba...
  15. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana haki ya kutoa maoni. Kwanini Makonda aseme kwamba wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni?

    Unajua ipo verse katika Kitabu cha Ayubu inasema: "Who is this cluttering the airwaves with unsound doctrine?" Wastaafu wanatoa maoni yao kama watu wengine wanavyotoa maoni yao; wastaafu wanatoa maoni yao kama senior citizens, yaani, watu wa makamu wanatoa maoni,watu wenye umri wa miaka 70...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa Vegetarian. Wenye uzoefu na hii kitu naombeni ushauri na maoni

    Nimepanga kuwa vegetarian kutokana na sababu za kiafya na nataka kuona kama nina nidhamu ya kuweza kuwa vegetarian. Naombeni maoni, elimu, ushauri na uzoefu wenu kwenye eneo hili maana sijui chochote kulihusu. Vyakula mbadala, misosi ya kivegan, kanuni za uvegan nk nk. Natanguliza shukrani.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Maoni: Ifanyike tathmini ya Uchaguzi wa 2019/2020 kabla ya kufanyika uchaguzi 2024/2025

    Salaam, shalom. Baada ya kumsikiliza Kwa makini Mzee WARIOBA akihojiwa katika kipindi Cha Dakika 45 kituo Cha ITV, Kuna mambo nimeyatambua Mzee anajaribu Kutoa angalizo na umuhimu wa Serikali kutathmini kilichojiri 2020 Ili kuepuka KURUDIA changamoto zile zile. Mzee Warioba amejaribu kuongea...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Maoni, mapendekezo na matakwa ya Watanzani yamezingatiwa kikamilifu kwenye Mkataba wa Bandari

    Serikali sikivu iliyopo Madarakani, kwa umakini mkubwa imesikiliza sauti, imezingatia maoni na imetekeleza matakwa na mapendekezo ya Wananchi wa Tanzania walio wengi kuhusu Bandari kikamilifu sana na kwa weledi wa hali ya juu mno. Sote ni mashahidi, kwenye suala la bandari mambo yamefanyika...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata Ulaya hakuna Uhuru wa kutoa Maoni, Wanaounga mkono Hamas na kuikosoa Israel wanapigwa rungu

    Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa. Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani. Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

    Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea. Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara...
Back
Top Bottom