WanaJF wengi wanaandika maoni yao kwa kuangalia “reply” za mwanzoni ? No critical thinking

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,099
Watu wanajinasibu kua critical thinkers lakini si kweli, wengi ni bendera kufata upepo,

Kwanini mtu anapoona andiko asilifikirie kisha akaandika kile anachokiona? Badala yake anaandika kutokana na mkumbo wa reply za mwanzo?

Mada pekee utaona watu wanatifautiana regardless ya comments za mwanzoni ni zile za dini, simba na yanga au ccm na chadema. Nadhani hizi zinakua rahisi kwakua tayari zimeshawagawa watu katika makundi.

Mwengine anaweza asitilie manani mada au jambo kwa kuangalia “first replies”

Unaweza kuta hata hii maya hapa itachangiwa kwa kuangalia reply za mwanzoni zimeandika nini.

This is sick culture. Engage your senses.
 
Wakishaanza wale wapenzi wa JF unakuta mara shosti njoo, mara baby soma hapa. Alafu wakaanza reply zisizoisha na emoji hapo najua mada imeisha uchangiaji hamna tena. Ukute ni mada mtu anaumwa anauliza dawa, kenge zinakuja kutongozana humo
 
Wengine huwa hatusomi comment za watu kwa kuhofia kuvurugwa critical thinking tunazoandika. Ikitokea mawazo yamelingana basi ni incident tu wala hatuigi mawazo ya watu walivyojibu. Baada ya kujibu bila kusoma reply za wengine ndio tunaanza kusoma uzi kuanzia mwanzo jinsi wachangiaji walivyochangia
 
Wakishaanza wale wapenzi wa JF unakuta mara shosti njoo, mara baby soma hapa. Alafu wakaanza reply zisizoisha na emoji hapo najua mada imeisha uchangiaji hamna tena. Ukute ni mada mtu anaumwa anauliza dawa, kenge zinakuja kutongozana humo
Ukiona unataka kusoma comment zinazohusiana na mada halafu kuna story nyingine tofauti kabisa zinaendelea una wa block hao wapiga story kwanza kisha unajisomea comments kwa raha, halafu utawa unblock ukimaliza.
 
Upo Sahihi, ndio maana unakuta uzi umejaa quotes za comments, sio hoja, Pia kutojiamini/kufuata upepo, mtu anaona mada ina hoja flani ila Ili asitofautiane na Wengi/Fulani anafuata mkondo,

NOTE : Kuna wale wakujitongozesha na kujigonga kwa Opposite Sex ndani ya Uzi wa mtu, Hao ndio Viazi...

As Long you're here.
Wanawake wa JF punguzeni Wizi na ushirikina, Mtu unaiba mpka mkaa??? Kiunoni analihirizi linapumua.
 
Back
Top Bottom