CHADEMA hawawatambui Halima Mdee na wenzake, lakini wanawataka wawapitishie sheria nzuri za uchaguzi, na wakaenda kuwapelekea maoni yao

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,662
Mbombo ngafu, hii imekaaje?

CHADEMA hawawatambui Halima Mdee na wenzake, lakini wanaenda kwenye kamati ya Bunge la akina Mdee kutoa maoni yao kuhusu sheria za uchaguzi, na wanatarajia hao hao wawapitishie sheria tamu na nzuri ambazo zitawafanya waanze kula, na wanaokula sasa wakubali kwa hiyari kuanza kushinda njaa.

Kama wanaona akina Mdee si halali, kwanini wanapotezea hoja hiyo wakiwa wanasaka maslahi yao?

Hawapendi kinyesi, lakini wanapenda kula funza wanaotokea baada ya kinyesi kuoza.
 
Huwa unajielewa kweli?Hata kama ni haki ya kujieleza,wewe ni wa kutandikwa bakora za shingoni mfululizo kuanzia asubuhi hadi wakati wa swala ya maghreeb.Umewahi kumuuliza Su Chi anadai nini kwa wanaomdhulumu pale Myanmar?
 
Mbombo ngafu, hii imekaaje?

CHADEMA hawawatambui Halima Mdee na wenzake, lakini wanaenda kwenye kamati ya Bunge la akina Mdee kutoa maoni yao kuhusu sheria za uchaguzi, na wanatarajia hao hao wawapitishie sheria tamu na nzuri ambazo zitawafanya waanze kula, na wanaokula sasa wakubali kwa hiyari kuanza kushinda njaa.

Kama wanaona akina Mdee si halali, kwanini wanapotezea hoja hiyo wakiwa wanasaka maslahi yao?

Hawapendi kinyesi, lakini wanapenda kula funza wanaotokea baada ya kinyesi kuoza.
Mbona wewe unakipenda kinyesi.
 
si hivyo tu,
Asilimia 90 wa wale wabunge ni wake, wachumba na wapenzi wa viongozi waandamizi wa chadema 🐒

hivi kweli mwanaume unaweza haribu kazi za mke wake ambazo zinawafanya wafurahi nyumbani 🐒
 
Kweli kabisa
 
Mbombo ngafu, hii imekaaje?

CHADEMA hawawatambui Halima Mdee na wenzake, lakini wanaenda kwenye kamati ya Bunge la akina Mdee kutoa maoni yao kuhusu sheria za uchaguzi, na wanatarajia hao hao wawapitishie sheria tamu na nzuri ambazo zitawafanya waanze kula, na wanaokula sasa wakubali kwa hiyari kuanza kushinda njaa.

Kama wanaona akina Mdee si halali, kwanini wanapotezea hoja hiyo wakiwa wanasaka maslahi yao?

Hawapendi kinyesi, lakini wanapenda kula funza wanaotokea baada ya kinyesi kuoza.
Tangu siku ya kwanza wake covid 19 walishatuhumiwa na chama na adhabu ulikua kufukuzwa uanachama.
Ndugai na meko walijua ulazima wa kuwa na upinzani bungeni,wakalazimisha wawe wabunge.maoni yamepelekwa Kwa Bunge.
 
Back
Top Bottom