Member71
New Member
- Aug 28, 2023
- 3
- 5
Ni ipi sababu inayofanya sare za polisi na majesh mengine ya wizara ya mambo ya ndani hayavai sare zenye rangi ya mabaka kama sare za jeshi la jwtz, na wakati kiprotoko yote ni majeshi kama majeshi mengine, kwa wenzetu kenya majeshi yao yote yanavaa sare za kijeshi zenye mabaka mabaka tofauti ni rangi tuh kwanini huku kwetu wasibadilishiwe sare ili kuongeza heshima za majeahi yetu na kupunguza utofauti uliojengeka kwa wanainchi kuwa jeshi ni 1 tuh la jwtz, huku majeshi mengine hayapewi heshima hiyo kama jeshi la wanainchi, tusaidiane kwenye huu mjadala