magorofa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ed Kawiche

    CRDB, ATM ya Ihumwa, Magorofa Mapya haina fedha

    CRDB BANK mnalala sana! Wananchi tunaoishi Ihumwa na Mtumba huku Dodoma tunasota kwa kukosa fedha kwenye ATM yenu hapa Ihumwa Magorofa Mapya. Changamkeni, hamchoki kulalamikiwa?
  2. Mganguzi

    CHADEMA endeleeni kuzindua magorofa na kuchinja mbuzi chama kikiendelea kutota baharini

    Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha. Ni ushamba tu Karne hii mtu mzima kukaa mtandaoni kujivunia nyumba ya aliyojenga mwenzako. Kila mtu anaweza...
  3. Nyuki Mdogo

    Hii ni nchi gani ambayo maghorofa yanafika hadi mawinguni?

    Mniambie kwa kina nisije kuwa nimepigwa na kitu kizito. Ni kweli kuna nchi ina majengo marefu kiasi kwamba yapite usawa wa Mawingu😅😅 Kuna watu wanamchokoza Mungu, tusije letewa yale yale ya mnara wa Babeli
  4. J

    Zumaridi aviponza Vyombo vya Habari. TCRA yatoa onyo na kuvitaka kusimamia misingi ya utoaji habari

    Hii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika. Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi...
  5. chizcom

    Hivi viongozi watawala wakienda nje wanaenda kushangaa magorofa tu maana wananchi tukisafiri tunakuja na wazo

    Mawazo mengi na fursa nyingi zilizopo Tanzania zimeletwa na wananchi wenyewe ambao wamebahatika kutoka nje wakaona na kurudi nazo. Nilichoshangaa ni kwamba kuna nchi nyingi zilizokuja hapa tanzania zikabeba na kujifunza walicho kiona na kupeleka kwao na leo ndio wanaongoza kwa uzalishaji...
  6. K

    Magorofa yote Tanzania yakaguliwe

    Hizi ajali zinatokanna na kuwa na mafundi uchwara ambao hawafuati maelezo ya egineers. Kupunguza cement, nondo chini ya kiwango na vitu vingine vingi. Lakini ukijenga Gorofa inabidi uwe na engineers wa kukagua. Usikofanya usimamizi mzuri utajuta. Serikali kwa sasa waweke ukaguzi kabla ya majengo...
  7. S

    Aina ya magorofa kwa kila wizara katika mji wa serikali Dodoma ndio utaamua muonekano wa mji huo wa serikali

    Ujenzi wa mji wa serikali mkoani Dodoma unaendelea, na hivi sasa mtandao wa barabara za lami katika mji huu ni kama umekamilika na umebadilisha kabisa muonekano au mandhari ya huu mji. Hata hivyo, aina ya magorofa kwa kila wizara ndio yataamua muonekano wa jumla wa huu mji..Yale majengo ya...
  8. Pantomath

    Hivi haya Magorofa ya kisasa yenye kuta za vioo ni Salama? Kwanini imekuwa mtindo?

    Siamini kabisa haya majengo marefu yenye kuta za vioo Unakuta jengo halina hata tofali, najiuliza hivi ule ukuta wa kioo unaweza ukaegamia kwa amani? Ikitokea tetemeko vipi? Sababu kubwa za kutumia vioo karika ujenzi wa magorofa makubwa ni jini?
  9. kuxhinda

    Board wanazoweka kwenye magorofa zile za drafit huwa zinaitwaje?

    Board wanazoweka kwenye magorofa juu zile za drafit huwa zinaitwaje wakuu msaada.
Back
Top Bottom