CHADEMA endeleeni kuzindua magorofa na kuchinja mbuzi chama kikiendelea kutota baharini

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha.

Ni ushamba tu Karne hii mtu mzima kukaa mtandaoni kujivunia nyumba ya aliyojenga mwenzako. Kila mtu anaweza kuonesha alichonacho, haina faida yoyote kwa Mtanzania.

Nafikiri nguvu kubwa mnayoitumia kusifia majumba yenu elekezeni kwenye kuimarisha chama chenu! Hamuoni kinakufa? Hizo nyumba wangeposti watu wa CCM mngekuja hapa kama vifaru waliotafuta milungi kudai ni mafisadi.

jengeni chama saa mbaya hizi!
 
Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha!

Wivu wa kipuuzi tu huu. Watu wasifurahie maisha kisa chama ebooo!
 
Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha!

Ni ushamba tu Karne hii mtu mzima kukaa mtandaoni kujivunia nyumba ya aliyojenga mwenzako. Kila mtu anaweza kuonesha alichonacho, haina faida yoyote kwa Mtanzania.

Nafikiri nguvu kubwa mnayoitumia kusifia majumba yenu elekezeni kwenye kuimarisha chama chenu! Hamuoni kinakufa? Hizo nyumba wangeposti watu wa CCM mngekuja hapa kama vifaru waliotafuta milungi kudai ni mafisadi.

jengeni chama saa mbaya hizi!
Dah! Mwanangu sasa mtu usifurahie mafanikio ya mwenzako? Acha uchawi bro. Hata kama hela zilizotumika ni michango ya Join The Chain lakini angalau zimetumika ndani ya nchi kuliko kwenda kuzificha New Jersey kama mzee wa vijisenti. Hilo jengo lina faida kwa nchi kwa kodi zitakazolipwa pamoja na bills zingine. Isitoshe kuna watu wataajiriwa kwenye hilo jumba kama gardeners, maids na wengine. Mimi ninampongeza Boniyai kwa kutumia vizuri mgawo wake wa michango ya Join The Chain.
 
Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha!

Ni ushamba tu Karne hii mtu mzima kukaa mtandaoni kujivunia nyumba ya aliyojenga mwenzako. Kila mtu anaweza kuonesha alichonacho, haina faida yoyote kwa Mtanzania.

Nafikiri nguvu kubwa mnayoitumia kusifia majumba yenu elekezeni kwenye kuimarisha chama chenu! Hamuoni kinakufa? Hizo nyumba wangeposti watu wa CCM mngekuja hapa kama vifaru waliotafuta milungi kudai ni mafisadi.

jengeni chama saa mbaya hizi!
Mtu akijenga ni ya Chadema na hao wanaotuibia mabilioni ni CCM inaiba! Basi bora Chadema kuliko wanaotuibia mabilioni na kuondoa dawa muhimu kwenye bima ya afya.
Ungana na Chadema kupinga wizi wa mabilioni ya pesa za wananchi unaofanywa na viongozi wa CCM.
 
MAENDELEO KWA VIONGOZI KWANZA,NDIYO SERA NDANI YA CHADEMA, NI LAZIMA NYUMBU ZIONE, FAHARI YA VIONGOZI WAO!
 
Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha!

Ni ushamba tu Karne hii mtu mzima kukaa mtandaoni kujivunia nyumba ya aliyojenga mwenzako. Kila mtu anaweza kuonesha alichonacho, haina faida yoyote kwa Mtanzania.

Nafikiri nguvu kubwa mnayoitumia kusifia majumba yenu elekezeni kwenye kuimarisha chama chenu! Hamuoni kinakufa? Hizo nyumba wangeposti watu wa CCM mngekuja hapa kama vifaru waliotafuta milungi kudai ni mafisadi.

jengeni chama saa mbaya hizi!
that was a personal issue haihusiani na chama
 
Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha.

Ni ushamba tu Karne hii mtu mzima kukaa mtandaoni kujivunia nyumba ya aliyojenga mwenzako. Kila mtu anaweza kuonesha alichonacho, haina faida yoyote kwa Mtanzania.

Nafikiri nguvu kubwa mnayoitumia kusifia majumba yenu elekezeni kwenye kuimarisha chama chenu! Hamuoni kinakufa? Hizo nyumba wangeposti watu wa CCM mngekuja hapa kama vifaru waliotafuta milungi kudai ni mafisadi.

jengeni chama saa mbaya hizi!
Ni maisha mtaani baada ya siasa chamani.Nyama iliwe tu washibe.
 
Na Mayai tunauza tunajenga sehemu Bora mnoo za kutustiri wewe endelea kuwa nyuki wa mama au jiunge Samia kwinsii!!
 
Ni ushamba au ni u-mjini ni vyema uwaze yako!
Kumbuka hawa watu wako very smart sana ktk kila eneo.
Kutota baharini sio CDM, kama ni kutota ungetota wakati wa awamu ya 5.
CDM wanazidi kuimarika mind you!
No no no ,achana na ushabiki ongea uhalisia ndugu
 
Mtu akijenga ni ya Chadema na hao wanaotuibia mabilioni ni CCM inaiba! Basi bora Chadema kuliko wanaotuibia mabilioni na kuondoa dawa muhimu kwenye bima ya afya.
Ungana na Chadema kupinga wizi wa mabilioni ya pesa za wananchi unaofanywa na viongozi wa CCM.
Naunga mkono hoja yako kuwapinga wezi wa mali za umma ila pia tusisahau wizi wa michango ya Join The Chain huko CHADEMA. Yaani chama kinachoiba hadi michango ya wanachama wake ni hatari kushika dola. TANU ingetafuna michango ya wananchi tungechelewa kupata uhuru.
 
Back
Top Bottom