bomoabomoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Chalamila: Tumelipa fidia Msimbazi, bomoabomoa imeanza

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari bomoabomoa imeanza na inaendelea pembezoni mwa Mto Msimbazi ukianzia Jangwani ambapo amesisitiza kuwa zitabomolewa nyumba nyingi kwakuwa tayari Wakazi wengi wamelipwa fidia. Akiongea Jijini Dar es salaam leo, Chalamila amesema...
  2. Pdidy

    Bomoabomoa Kipunguni, Ukonga walipwe haki zao

    Habari za jioni Kumekuwa na tathmini mbalimbali hapa kati kupisha ujenzi wa uwanja mpya wa ndege maeneo ya Kipunguni, Ukonga. Mwekezaji ametoa mzigo mzuri watu walipwe, kinachoonekana wale wanaopima wamebadili kuwa dili zao. Hapa kati walipita nyumba kwa nyumba wakati wa kupima na pia wote...
  3. mrengo wa kushoto

    Kwa waliowahi kupatwa na bomoa bomoa ya makazi tupeni uzoefu

    Habari wa na JF, Swala la bomoabomoa ni moja ya jambo linaloweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mfumo wa maisha ya mtu...Hizi bomoa bomoa zinaweza kuwa kwa makosa ya mtu binafsi labda kujenga ndani ya eneo lisilo sahihi au upanuzi wa project mbalimbali za serikali. Katika changamoto hii tupeane...
  4. Elitwege

    Bomoabomoa yaacha simanzi Mabwepande, nyumba za matajiri zaachwa

    Imezuka taharuki kwa baadhi ya wakazi wa Mabwepande Wilaya na Kinondoni wanaodaiwa kujenga eneo lisiloruhusiwa, baada ya nyumba zao kubomolewa huku wakiwa hawajui la kufanya na familia zao. Akizungumza kwa simu na Mwananchi kuhusu ubomoaji huo ulioanza Julai 4, Mkurugenzi wa Manispaa ya...
  5. Erythrocyte

    Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

    Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa. Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.
  6. P

    Coco Beach kulikoni, kumepita kimbunga au yanafanyika maandalizi ya kupaboresha?

    Asubuhi hii nimepita barabara ya baharini nikielekea Sea Cliff Hotel. Pale maeneo ya Coco Beach ambayo ni maarufu kwa mihogo ya kukaanga nimeona vibanda vyote vimebomolewa isipokuwa msikiti. Kumepita kimbunga au yanafanyika maandalizi ya kuboresha eneo hili maarufu?
  7. chiembe

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ludigija kwanini uliendesha bomoabomoa Vingunguti akikiuka agizo la Rais?

    Ludigija ni mzaliwa wa Chato, pale Chato ndio kwao na nduguye Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro. Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ameendesha bomoa bomoa hiyo. Je, huyu ni...
  8. B

    Bomoabomoa yaingia Tarime, wazee na wajane hatarini

    13 August 2021 Tarime, Mara Tanzania BOMOABOMOA YAINGIA TARIME, WAZEE NA WAJANE HATARINI Wakaazi washangaa kwanini TARURA wanataka kubomoa nyumba ambazo zipo ktk mji wa Tarime wakati kuna option / mbadala wa kutengeneza by-pass / barabara kupita nje kidogo na kuziacha nyumba hizo kama kuna...
  9. Analogia Malenga

    Sakata la bomoabomoa Dar lachukua sura mpya

    Baada ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kutoa notisi ya siku 30 ya kubomoa nyumba, kuta, uzio au fremu za biashara katika hifadhi ya Barabara ya Morogoro, wakazi wa maeneo hayo wamesema hawakubaliani na hatua hiyo kwa kuwa hawajalipwa fidia. Kwa mujibu wa barua iliyosainiwa na...
  10. Shujaa Mwendazake

    Kumekucha bomoabomoa Ubungo-Kimara ndani ya 90m za hifadi ya barabara

    Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara. Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama...
Back
Top Bottom