Mabwepande bomba zipo maji hamna miaka miwili imepita sasa

Bess

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
542
649
Mkoa wa Dsm mfano Mabwepande kuna sehemu bomba zimepita miaka miwili sasa maji hayajaruhusiwa, huku sio kupoteza tu mapato kwa msambazaji ambaye ni Serikali lakini pia haki ya kupata maji kwa mwananchi imedhulumiwa.
 
Mbona huko kuna kituo kikubwa cha usambazaji maji. Niliwahi kuona documentary moja TBC.

Unanikumbusha enzi zile za mabomba ya mchina, enzi za JK. Walipomaliza kuyatandaza wakala kona na kaunda suti zao za kungfu yakabaki kuwa sitting room za mijusi halikuwahi kutoka hata tone.
 
This has been a nice song to mabwepande people, kwamba kuna bwawa kubwa sana la mchina linaloweza kusambaza maji eneo lote na nje: imekuwa ndoto ya kusubiri labda usingizi ukiisha itatekelezeka
 
Aliyeturoga alikufa na marking scheme ya kutuagua
 
Halafu Mabwepande na mpiji ni kama mlango na frem huku maji ni ya chumvi hata dalili ya hilo bomba hatuioni
 
Halafu mabwe pande na mpiji ni kama mlango na frem huku maji ni ya chumvi hata dalili ya Hilo bomba hatuioni
Hapo ni njaa inasubiri chakula, Mabwe chakula imetengwa mezani 2yrs

Ukiangalia mabomba unadhani maji yanakuja kesho, kesho inakuwa kesho
 
Mkoa wa Dsm mfano Mabwepande kuna sehemu bomba zimepita miaka miwili sasa maji hayajaruhusiwa, huku sio kupoteza tu mapato kwa msambazaji ambaye ni Serikali lakini pia haki ya kupata maji kwa mwananchi imedhulumiwa.
Weka picha tukuamini la sivyo ni porojo tu za vibarazani na vijiwe vya umbea.
 
This has been a nice song to mabwepande people, kwamba kuna bwawa kubwa sana la mchina linaloweza kusambaza maji eneo lote na nje: imekuwa ndoto ya kusubiri labda usingizi ukiisha itatekelezeka
Weka picha la hilo bwawa
 
Back
Top Bottom