kenan kihongosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Katibu mwenezi taifa CCM Kenan Kihongosi anatarajiwa kufanya ziara mkoa wa Pwani.

    Kama heading inavyojieleza katibu muenezi wa ccm taifa anatarajiwa kufanya ziara mkoa wa pwani yote ambapo atatembelea KIBAHA,RUFIJI na MKURANGA... yetu macho na masikio ni juzi tu apo waziri amekataza mikutano Soma pia Ufafanuzi kuhusu taarifa ya mkutano wa hadhara wa Mwenezi Kihongosi...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PNA: Viongozi, Waenezi wa Vyama, Heshimianeni, Tumieni Lugha za Heshima!, Mwenezi CCM ni Kenan Kihongosi, Sio Kenan Kikaragosi. Brenda Omba Radhi!

    Wanabodi, Nimeisikiliza Press Conference ya Mwenezi wa Chadema, Brenda Rupia. Amemuita Mwenezi wa CCM, Kenan Kikaragosi badala ya Kenan Kihongosi, nikaona kauli hiyo inatakiwa kufanyiwa PNA. Kwanza msikilize Brenda https://youtu.be/lscfiTCe69o Kwa sisi waandishi wa habari wa broadcast...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Chaguzi zote tumewachapa, hata 2030 tutawachapa, sisi sio chama cha matukio

    Chaguzi zote tumewachapa, hata 2030 tutawachapa, sisi sio chama cha matukio Kihongosi akizungumza na wanahabari leo 13 Juni, 2026 amesema kuwa Wakati wa kuanzishwa vyama vingi Mwalimu Nyerere alisema waingie kwenye vyama vingi licha ya wanaCCM wengi kukataa ila tangu hapo CCM inashika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CHADEMA wametoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati, wanaendeshwa na rimoti

    CHADEMA wametoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati, wanaendeshwa na rimoti Anachoongea kwenye video Kenan Kihongosi leo, Juni 13 2026 "Lakini jambo lingine ninalopenda kulisema ni kwamba CHADEMA kimetoka kuwa chama cha siasa, limekuwa ni kundi la wanaharakati. Wanaendeshwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mwenezi wa CCM aliwachapa walimu viboko Kwa sheria ipi aliyoitumia ?

    Terrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu! Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Kuna watu wanatumia video za matukio ya Oktoba 29 kama mtaji wa kisiasa

    Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari - makao Makuu Dodoma amesema kuna watu wanatumia video za matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kama mtaji wa kisiasa. Ameongeza kuwa hakuna mtoto wa mwanasiasa aliyepata...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Heche alipotosha kusema CCM inaazima viongozi kutoka vyama vingine

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza na Wandishi wa habari leo Mei 4, 2026 Jijini Dodoma, amesema Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche alipotosha kwa kusema CCM wanaazima viongozi kutoka vyama...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Serikali itoe ruzuku kupunguza gharama za mafuta

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia kwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, kimeishauri Serikali kuangalia uwezekano wa kutoa ruzuku kwenye mafuta. Hatua hiyo inalenga kupunguza gharama za nishati hiyo nchini ili kumpunguzia mwananchi mzigo wa maisha "Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: Kuna vyama wapo tayari kuumiza watu ili wawe viongozi

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema kuwa licha ya Tanzania kukubali mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, bado wapo watu na baadhi ya vyama vinavyotumia demokrasia hiyo kama kichaka cha kufanya vurugu na kuchochea uasi ndani ya Taifa...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Kuna vyama wapo tayari kuumiza watu ili wawe viongozi

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema kuwa licha ya Tanzania kukubali mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, bado wapo watu na baadhi ya vyama vinavyotumia demokrasia hiyo kama kichaka cha kufanya vurugu na kuchochea uasi ndani ya Taifa...
  11. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Watanzania wengi walipiga kura kabla ya vurugu, ni maeneo machache yaliyokuwa yameaithiriwa na vurugu na ndio maana hatukupata 100%

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amethibitisha kuwa ushindi wa CCM katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 29 ulikuwa dhahiri na sivyo taarifa zinavyosambaa kuwa batili akilinganisha kuwepo kwa idadi nyingi ya vituo vya kupigia...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Kila Mtanzania ailinde amani ya nchi, wapo watu wanaendesha oparesheni mitandaoni ya kuivunja na kuichoma nchi yao

    Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi na Mafunzo CCM, Kenan Laban Kihongosi amesema "Muda wote tumekuwa tukisisitiza kwamba kila Mtanzania aweze kuilinda amani ya nchi yetu. Tunatambua wako watu ambao hawana nia njema na taifa hili na tunawafahamu na wengine wanaonekana, wapo wengine wanaendesha...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kenan Kihongosi: Gwajima anafanya upotoshaji na uchochezi

    Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi amesema Askofu Josephat Gwajima anatumia dini kupotosha umma pamoja na kufanya uchochezi.
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kenan Kihongosi: Wanaochochea vurugu familia zao zipo nje ya nchi

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi amesema wanaohamasisha maandamano wana mahali pa kukimbilia vurugu zikitokea, hivyo amewasihi wananchi kutowasikiliza.
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kenani Kihongosi: Vyama vingine vinaruhusiwa kuja kusikiliza sera za CCM Agosti 28, 2025

    Wakuu, Tayari Katibu mpya wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Kenani Kihongosi ameanza kufanya kazi ----------- Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kuanza kampeni za kuwania nafasi ya Urais ,Ubunge na Udiwani siku ya kesho huku chama hicho kikisisitiza kitafanya kampeni za kisataarabu...
  16. TheMaster

    JamiiForums Tanzania Jiji la Arusha limekuwa chafu chini ya Kihongosi

    Tangu Kenan Kihongosi aapishwe ukuu wa mkoa wa Arusha, hali ya mazingira ya mji si shwari tena kipindi ambacho ni high season ya watalii wengi kutoka ughaibuni Barabara ni chafu Garden za mji ni chafu Roundabouts chafu majani yameoteana kiasi cha msituni Arusha hatujazoea hivi mkuu wa mkoa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Simiyu, Kihongosi achana mistari kumsifu Rais badala ya kuwasilisha changamoto za Wananchi, Simiyu ni dohoo shida (kisukuma)

    Wakuu, Kuna namna bado sielewi, inamaana Mkoa wa Simiyu kero za wananchi zimetekelezwa zote ? Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi hotuba yake ya leo mbele ya Rais Samia kwenye mkutano wilaya ya Bariadi ameeleza namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyotekelezwa katika Mkoa huo na kuishia...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Baadhi ya Mila na Tamaduni zinachangia Kipindupindu Simiyu

    Akizungumzia taarifa za uwepo wa Kipindupindu Mkoani Simiyu, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amesema Viongozi wanatakiwa kushirikiana na Jamii katika kutoa elimu kwa Wananchi kuhusu suala la afya na matatizo mengine yanayogusa maisha ya watu. Amesema “Hatuna kesi ya Watu waliofariki kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi acha unafiki usiitumie UVCCM kunyamazisha wabunge, umeshindwa kusaidia vijana

    Kenan KIHONGOSI ameshindwa kuwatetea vijana katika kipindi chake chote cha uongozi akiwa Katibu Mkuu wa Vijana, leo vijana na Tanzania wanahangaika kutafuta ajira na ajira zilizopo zinachukuliwa na wageni yeye hajawahi kuitisha Press kupinga dhuluma wanazofanyiwa vijana wa nchi hii. Bunge...
  20. kevylameck

    JamiiForums Tanzania SIKU YA VIJANA: Rais Samia na Elimu na Ujuzi kwa vijana

    Na Kevin Lameck Dunia inapoadhimisha siku ya Vijana hii leo, yapo baadhi ya mambo yaliyofanywa na kutekelezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye kuwakwamua dhidi ya changamoto mbalimbali zinazowakwaza Vijana. Changamoto kubwa inayotajwa nchini Tanzania miongoni mwa Vijana wake...
Back
Top Bottom