ujambazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Nikiwa Rais, nitaifuta TAKUKURU ni nitakamata waliowahi kuwa wakimbiza mwenge kitaifa. Hakutakuwa na ujambazi Wala ajari za barabarani.

    Wakuu, TAKUKURU kama Haina kazi. Rushwa ni Kila sekta. Nikiwa Rais maofisa wa TAKUKURU wenye miaka 40 kwenda juu nitawastafisha Kwa manufaa ya umma. Walio chini ya umri huo wanaenda depo la jkt mwaka mzima wakalime na kupata uzalendo. Wakifuzu wanahamishiwa halmshauri kwenda kupangiwa majukumu...
  2. GENTAMYCINE

    RPC Muliro kuna nini kwa sasa Mbweni mbona kuna Vibaka na Ujambazi mwingi?

    Kama kuna mahala kwa sasa ambako Wakazi wake wanalia kwa Kuibiwa na Vibaka mchana na kuingiliwa na Majambazi nyakati za Usiku ni wale Waishio maeneo ya Mbweni. Kuna maeneo kama Kawe, Mwenge, Kunduchi, Mgulani, Ukonga, Gongo la Mboto, Makumbusho, Mbweni, Oysterbay Msaada Kontena, Kurasini na...
  3. Hyrax

    Tabia za wizi husababishwa na Kutokuwa na Kiasi, Tamaa pamoja na Uvivu wa Kufikiri na Kutenda

    Utu wa mtu unapimwa kwa kazi tena iliyo halali, kinyume na hapo wewe huna tofauti na wanyama waishio mwituni. Kwa muda mrefu sana nimejitahidi kufanya chunguzi mbalimbali, maana ni mambo ninayopenda hasa nikiwa sina vitu vingi vya kufanya. Katika hili nililoandika kwenye kichwa cha uzi...
  4. dubu

    TRA kubomoa Duka usiku na kuondoka na bidha kisa Kodi, ni Ujambazi

    Nina laani kitendo cha Wafanyakazi wa TRA kuvamia Duka na Stoo usiku wa mane na kuvunja milango kisha kuondoka na mali walizodai ni Magendo bila mwenye duka kuwepo. Kitendo hicho kimesababisha Wafanyabiashara wa soko la Manispaa ya Tabora kufunga maduka kama sehemu ya mgomo baada ya...
  5. ChatGPT

    Weledi wa Juu katika Ujambazi

    Jambazi akasema "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu", wote wakalala chini (HII INAITWA DHANA ...YA USHAWISHI - kubadilisha njia ya kawaida ya kufikiria) ••• ••• Kuna dada kwa woga akawa amelala chini kimitego, Jambazi akamwambia, "dada hebu kuwa na adabu chukua kanga...
  6. Alwaz

    Wamarekani wanaokimbia Sudan wakumbwa na ujambazi na uporaji

    Siku tatu tangu maafisa wa Ubalozi wa Marekani kuhamishwa kwa helikopta za jeshi na kupokelewa nchini Saudi Arabia kwa vishada vya maua,wale raia wapatao 16000 wengi wao wakiwa raia pacha wameendelea kuhangaika ili na wao waweze kuihama nchi kuelekea Marekani. Hata hivyo zoezi hilo limekumbwa...
  7. FRANCIS DA DON

    Kariakoo, Dar: Kumetokea ujambazi wa kutisha mtaa wa Lindi na Livingstone muda huu, Polisi mpo wapi?

    Kuna bodaboda mbili zilipita speed kwenda uelekeo wa mtaa wa Lindi na Livingstone, kumbe bwana walikuwa wanamkimbiza mhindi aliyekuwa kwenye bodaboda nyingine ya mbele akiwa na begi mgongoni, inasemekena ni mauzo ya dukani. Basi nikasikia puuu, kugeuka nikaona ile bodaboda ya Mhindi ipo chini...
  8. mgt software

    DOKEZO Nyaya zinazoshikilia nguzo zinaibwa zinatumika kufungia Linta!

    JF wana Nimefanya uchunguzi wa kitafiti kujua nini hasa malalamiko ya kila wakati ya watu kuiba miundombinu nikakuta kwamba kasi ya kupanda kwa nondo ndio sababu kuu watu kuiba nyaya za TANESCO na kuzitumia kushikiria paa nyingine kuziweka kwenye linta. Ujenzi huu hatari umeanza hivi karibuni...
  9. MIMI BABA YENU

    Mara: Kuuawa kwa majambazi 3 Serengeti, wananchi wawapongeza Polisi

    Wananchi mbalimbali mkoani Mara wamejitokeza kulipongeza Jeshi la Polisi kudhibiti vikali vitendo vya ujambazi ambavyo vilianza kushamiri mkoani humo hivi karibuni. Wananchi hao wameelezea namna vitendo vya uhalifu wa silaha za moto ambavyo hutekelezwa na baadhi ya ndugu na wanafamilia wenzao...
  10. VAPS

    Tusiweke siasa na utu kwa majambazi, ni watu wabaya na hatari wacha wavune walichopanda

    Ndugu zangu uhai wa binadamu yeyote ni muhimu sana, Ila hata Muumba katika maandiko kadhaa aliongoza vita na mamia wakaangamia. Ukweli mchungu majambazi wapo ni watu hatari na wabaya wanapoteza uhai wa watu kwa tamaa ya Mali. Wanamiliki silaha hatari, kuzikodisha na kufanya mipango ovu kupora...
  11. R

    Gharama za mobile banking zinatisha, ni ujambazi kwelikweli

    Dah sijui tunaelekea wapi, hizi huduma zilipaswa kutupa unafuu wananchi kufanya miamala bila usumbufu lakini imekua ujambazi hasa hasa. Niliwahi kuhamisha laki mbili kutoka Benki kwenda mpesa nikakatwa 11,000/= hapo bado sijakutana na Makato ya mpesa, nikajikuta nakatwa karibu 16000/= kupata...
  12. J

    Odinga atangaza maandamano ya kishindo ya kuwang'oa majaji wa mahakama kuu asema mahakama ilifanya ujambazi na ujinga

    Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya Raila Odinga amerejea nchini humo akitokea Zanzibar Raila amesema hakubaliani na uamuzi wa mahakama kushikilia ushindi wa Ruto na kusema mahakama ilifanya ujambazi na uamuzi wa kijinga Amesema watafanya maandamano ya watu milioni kuelekea mahakama kuu kuwaondoa...
  13. Mtu Asiyejulikana

    DOKEZO Jambo hili inalofanya Serikali ni wizi dhidi ya raia wake maskini

    Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni. Watu wameamua kurudisha pesa walizopoteza kwenye awamu ya Magufuli kwa kuwaibia wananchi wake maskini. Maskini kwa sasa ndiyo wanaona...
  14. M

    Kaka Mwigulu Tozo ya kibenki ni Ujambazi, hamia 10% Kodi ya Nyumba

    Sina mengi ujumbe uko wazi Singida Big Stars ni mfano wa hizo apartments za madolari, acha kulia Kwa uhuni wenu jikite na hoja, akili za kitozo tozo ni uzuzu, toa hata arguments za kiakili et ooh tozo ni maoni ya wananchi, ujinga wa kizuzu double taxation ni ya wananchi wa kawaida? Mbona hoja...
  15. Roving Journalist

    Polisi yakamata watuhumiwa tisa wa ujambazi Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa tisa (9) kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi. Tukio hilo limetokea Tarehe 22/07/2022 majira ya saa 9:40 usiku maeneo ya kiwanda cha SHERI Automotive Germany Barabara ya Mbozi Keko Wilaya ya Temeke. Jeshi...
  16. sky soldier

    Badilisha mtazamo wangu kama si kweli : Wafanyabiashara wengi wanapofilisika hugeukia ujambazi, utapeli na kafara ili kupata mitaji.

    Yaani mfanyabiashara akishaonja mafanikio ya kufikia hatua flani ni ngumu sana kukubali kushuka hasa pale anapofilisika ama biashara kwenda kombo. Ni ngumu sana kumwambia aanze kuchoma mishkaki, Never ! Kwa hali hii navyoona hapa wengi inabidi wageukie hata ujambazi na utapeli au hata kafara
  17. Idugunde

    Chuki za kisiasa isiwe sababu ya wapinzani kupakazia wanaCCM ujambazi. Unyanyangnyi wa kutumia siraha ni serious offence

    Jamaa zetu Chadema wanakasumba mbaya sana. Walishazoea siasa za kubebwa. Wakikutana na mtu anayejua kuwabana kisiasa kama Paulo Makonda au Mwita Waitara wao huwa wanaleta chuki zisizo na mashiko. Mtu hata kama hana hatia za ujambazi watafurahi tu aingie lupango kisa tu wameshamchukia. Tuweke...
  18. Teko Modise

    Mnakumbuka matukio ya ujambazi miaka ile Moshi na Arusha, njoo tukumbushane mawili matatu

    Miaka ile kanda ya kaskazini iligubikwa na matukio mazito ya ujambazi, nakumbuka ilikuwa haupiti mwezi bila tukio kubwa la ujambazi kutokea. Mnakumbuka wizi wa benki ya NMB pale Mwanga kama sikosei? Mnamkumbuka kamanda Chico? Mnakumbuka kuna battle ya risasi ya majambazi na polisi ilidumu kwa...
  19. Teko Modise

    Tukumbushane tukio la Ujambazi pale Ubungo Mataa mwaka 2006

    Ni takribani miaka 16 sasa, tangu kutokea kwa tukio la kushtusha pale mataa ya Ubungo mara baada ya majambazi kadhaa tena wengine kusadikiwa ni kutoka lugalo kuvamia magari ya fedha za NMB zilizokuwa zinasafirishwa kuelekea Morogoro. Unalikumbuka tukio hilo? Nini hasa kilijiri? Usipite bila...
  20. C

    TRA kwenye kodi ya magari wanafanya "wizi" wa wazi kabisa

    Hebu leo tuwaangalie hawa jamaa, Mifumo yetu ya kikodi ni mibovu mno yaani hakuna namna ambayo kodi itatoa ahueni kwa mwananchi wa kawaida hilo halipo. Angalia ukiagiza gari iliyotumika iwe Japan, Dubai, Thailand au Afrika Kusini yaani kodi unayolipa tena isiyo na mantiki tena kodi ya kuudhi...
Back
Top Bottom