Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo...
Je, hizi ni carrier ( keria) tulizozoea kuziona kwenye mabasi ya zamani kwa ajili ya kubebe mizigo? Au ni kitu gani? Maana sote tunafahamu kwenye treni za kisasa hakuna hivyo vitu juu, huenda ni future technology! Kama ndivyo baai napenda kutoa pongezi kwa hatua hii kubwa!
Muonekano wa...
Siku ya Lugha ya Kiingereza Duniani (World English Language Day) ni siku ambayo ilianzishwa na UNESCO kwa lengo la kusherehekea umuhimu wa lugha ya Kiingereza kama mojawapo ya lugha za kimataifa zinazotumiwa kote ulimwenguni.
Siku hii hutambuliwa kila mwaka tarehe 23 Aprili, ambayo pia ni...
Za jion wana jamii,
Naimani mko powa wote
Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit
NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na...
Movies za Idris Elba
Bastille Day
Sean Briar
Finding Dory
Fluke
Voice role
100 Streets
Max
Star Trek Beyond
Krall / Balthazar Edison
2017
The Dark Tower
Roland Deschain
Molly's Game
Charlie Jaffey
The Mountain Between Us
Ben Bass
Thor: Ragnarok
Heimdall
2018...
Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha; Serikali ina mpango gani wa kuunga mkono juhudi za Wananchi kwenye Umaliziaji ujenzi wa Zahanati!
"Wananchi wa Kitongoji cha El'gong'we Wilayani Longido wanatembea zaidi ya Kilomita 35 kutafuta huduma za afya. Je, ni lini Serikali itaunga Mkono...
Tunapoelekea uchaguzi Mkuu kuna mambo mengi yameanza kujitokeza na yatajitokeza zaidi kadri muda unavyozidi kwenda kwenye mchakato mzima mpaka siku ya kupiga kura na hata wakati wa matokeo na baada ya matokeo.
Yapo mambo mengi yalitokea nyakati au chaguzi zilizopita ambayo yaliibua hisia...
Ikitokea umepewa fursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, unapata nafasi ya kufanya mabadiliko katika sehemu uliyopo na kubalisha kitu kimoja kwenye sehemu uliyopewa uongoze.
Ikitokea ninafursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, ningependa kuwa kiongozi wa taasisi ya elimu, kama chuo kikuu. Elimu ni...
Asalaam ndugu zangu,
Hakika natumaini ya kuwa wote nyie ni wazima wa Afya baada ya mihangaiko ya week nzima. Anyways, niende moja kwa moja kwenye mada, Jumapili ya leo tarehe 21/4/2024 una enjoy ukiwa kiwanja gani..?
Mimi binafsi nipo uwanja wa nyumbani FUEGO LOUNGE. Kwa ambae yupo hapa...
Habari wadau wa jf, nimemaliza six mwaka jana mwezi wa 5 mchepuo wa HGE nina ka one ya 9 with c flat. lakini nilishindwa kujiunga chuo mwaka huo kutokana na kushughulikia masuala yangu ya kiafya .
Moja ya course nilizokuwa nazifikiria mwaka jana ni land management and valuation na statistics...
Habari ndugu Wana jf.
Natumaini nyie wazima wa afya Tena,niko hapa kuwaomba ushauri na uelewa juu ya tatizo hili la kichwa kuwa kizito sehemu ya nyuma bila kupoteza wakati Moja kwa Moja niende kwenye tatizo nina mdogo wangu wa kiume ana umri wa miaka 26 anasumbuliwa na kichwa kuuma na kuwa...
Kwa mara ya kwanza tangu kuundwa kwa Taifa la Israel mnamo 1948, serikali ya Marekani ambayo imekuwa mshirika mkuu wa siasa na harakati za Israel pale Mashariki ya Kati, imeeleza kusudio lake la kuweka vikwazo kwa kikosi maalumu cha Jeshi la IDF kilichofanya oparesheni zake upande wa ukingo wa...
Utumishi kupitia Tamisemi walianzisha mfumo rasmi kwa watumishi kuweza kuomba uhamisho kupitia online (ESS), lengo likiwa ni kuzuia urasimu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasio waadilifu.
Japo ni jambo jema lakini kwa sasa ni kama changamoto imekuwa kubwa kuliko awali kwa wale wanaoomba...
Habari za muda huu wanajamii,
Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha.
Ndoa ni taasisi ambayo kabla hujaingia unakuwa na matarajio makubwa yaliyojaa furaha kutokana na jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.