gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani magumu uliyowahi kuyafanya katika mahusiano yako?

    Unapokuwa katika mahusiano yoyote huwa kuna nyakati zinafika au unapitia unaona hapa bora nichukue uamuzi mgumu lolote liwe. Mimi niliwahi kumwambia mpenzi wangu niliwahi kumpenda tuachane baada ya toxic relationship kubadili mwelekeo wa maisha yangu ilibidi ni kuvunja mahusiano kwa mtu...
  2. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Unashauri Assad agombee urais kupitia chama gani?

    Tumshauri Assad ambae kwa sasa amejipambanua kama jabali jipya la siasa za Tanzania. Assad kwa muda mrefu alikuwa amejifunika kwa mwamvuli wa “kufanya kazi kiweledi “ na alifanikiwa kutuaminisha ilo. Tumpe ushauri agombee urais 2025 kwa chama mnachoona kitamfaa. Twende kazi.
  3. Richard

    JamiiForums Tanzania Nchi za mabeberu wana Ramani zinazoonyesha maliasili ilipo Tanzania na nchi nyingine mbili. Wao wanaamini walitukabidhi tuwatunzie lakini si zetu

    Nchi za Tanzania, Angola na Congo DRC ni nchi muhimu katika mstakabali mapinduzi ya viwanda barani Ulaya na Marekani. Mwaka 2020 Uingereza walitangaza kuachana na magari yatumiayo mafuta ya diseli na petroli kufikia mwaka 2030 na wameazimia kuanza kutengeneza magari zaidi yatumiayo betri. Hata...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  5. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni umri gani hutakiwi kuvuka kabla ya kupata mtoto wa kwanza?

    Mtoto wa kwanza inavyosemekana ndio kila kitu kwa maisha yako ya hapo baadae. Inapotokea umechelewa kupata mtoto wako wa kwanza, huko mbeleni kuna changamoto kubwa sana za kimaisha zinaweza kukupata umri unaopochelewa kupata mtoto. Hebu leo tujaribu kujuzana ni umri gani hautakiwi uwe umeuvuka...
Back
Top Bottom