gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Nazjaz

    Ni mkoa gani umeshawahi kufika na hautamani kurudi tena?

    Kuna mikoa unaenda mara unatishika, watu wanachomana visu, kila bar lazima ugomvi utokee. Wasichana wanavuta bangi, wanapigana na punda hadi punda anakufa. Arusha sina hamu
  2. Oscar Lyrics

    Hivi Mapenzi ni kitu gani?

    Wengine wanasema mapenzi matamu hakuna mfano hasa mkitokea kupendana, kuaminiana, kuheshimiana nk Wengine waliowahi kutendwa hawataki hata kusikia habari za mapenzi, Wengine wamepoteza maisha kwa sababu ya vivu wa kimapenzi, Wengine waliwasomesha wapenzi wao kwa gharama kubwa mwisho wa siku...
  3. Mhafidhina07

    Kwani wanawake kuna ulazima gani kutugaia umbea wenu wa mtaani tukiwa ndani??

    sijajua kuwa hili jambo linatokea upande wangu au wanaume wenzangu lipo na kwenu kwani tayari nimepita mahusiano matano lakini hali ni moja kwa wanawake wote wamekuwa ni watu wa kuwasema wenzao mara umbea fulani na kwa bahati mbaya sipendi kusikiliza ila nakuwa sipendi kumboa mtu hivyo naguna...
  4. Allen Kilewella

    PreGE2025 Kitu gani cha Ajabu wanachofanya CCM Madarakani ambacho vyama Vingine haviwezi kufanya?

    Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake. Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
  5. Zee la madawa

    Wengine mnaoa familia gani? Milioni 22 mahari pekeee? Nonsese

    Hivi kuna wanaume wwngine wapoje? Yaani unamuomba msamaha mwanamke mrudiane hivi unajua akili za mwanamke akijua kwamba weww mwanaume ni bwege?mjinga au mpumbavu? Ok ila nisiseme sana maana kuna watu wanasema maumivu ya mapenzi ni yanauma sana ila sijajua aisee ila wewe umewahi kupigwa na...
  6. Mzalendo_Mwandamizi

    Kitabu kipya: "Ujasusi Ni Nini Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa?"

    Tangazo la kitabu kipya kuhusu taaluma ya Ujasusi. Bei sh 45,000/= (free delivery jijini Dar, mikoani sh 5,000/=). Whatsapp/M-Pesa 0767-340-975 Yaliyomo kitabuni 👉Maana ya ujasusi 👉 Historia ya Ujasusi 👉 Aina za Ujasusi 👉 Ujasusi wa kimtandao 👉Ujasusi kama nyenzo ya diplomasia 👉Ujasusi...
  7. Objective football

    Mbinu gani ulitumia kuishi na kabila la wanguu? Moto wao sio mchezo!

    Hii nchi kubwa aiseeh, sikuwahi elewa kama kuna jamii zinazoogopwa na watu wengine namna hii! Yani kila mtu anakwambia hapa wamejaa wanguu huwezi ishi hapa kimbia haraka!
  8. M

    Tabia ya wadada kuvaa tishet au blauz na kuacha maziwa yamening'inia ina maana gani?

    Yaani hii tabia iliyoibuka ya wadada kuacha maziwa yananing'inia, inatuweka wanaume mahala pagumu sana. Mimi nadhani kwa upande wangu makalio yalikuwa hayanisumbui sana lakini hili suala la boobs wamenidaka.
  9. Wakili wa shetani

    Kujenga audio recording booth ya "kienyeji" inaweza gharimu kiasi gani?

    Sikuhizi watu wengi wamejiajiri kama content creator. Sasa ukitaka content zenye quality nzuri unahitaji mahali patulivu pa kurekodia sauti. Nauliza kuunda booth ya kienyeji ya kurekodia itaweza gharimu kiasi gani? Hi zile lining kama matrey ya mayai kwa ajili ya kuzuia mwangi zinapatikanawapi...
  10. profesawaaganojipya

    Chimbo gani naweza kupata bodi za gari ndogo kama Runx na IST?

    Wakulungwa, gari yangu bodi yake imechoka sana. Ni chimbo gani naweza pata bodi iliyokatika hali nzuri, na bei gani? Gari ni RUNX.
  11. Erythrocyte

    Mgeni rasmi kwenye soka ni wa kazi gani, Mbona Ulaya hawapo?

    Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar. Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu ametajwa cheo chake kuwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mjini Magharibi. Swali langu ni hili, hivi kazi...
  12. Allen Kilewella

    Mnaosema kuwa Mo hajaweka bilioni 20 Simba, hizo Bilioni 20 za kitu Gani?

    Kuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki. Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed Dewji tayari keshaweka kwenye akaunti ya Simba shilingi bilioni 20 alizoahidi kuwekeza Simba. Kwani...
  13. Nyafwili

    Ulikuwa na umri gani ulipotengeneza milioni yako ya kwanza?

    • Habari wana JamiiForums na wafanyabiashara wenzangu, nataka nitengeneze milioni yangu ya kwanza mapema mwaka huu. Hata hivyo, Maana nimekuwa kila nikitafuta hela nashindwa kufikisha million , nataka kujua ni umri gani nyie mlitengeneza milioni ya kwanza na jinsi mlivyofanya au uwekezaji...
  14. ras jeff kapita

    NMB mna shida gani!? Watu tunataka kutoa pesa hampatikani online sio kwa mawakala sio kwenye ATM

    Wasalaam Leo ni siku muhimu watu wanataka kutoa fedha waka-enjoy na familia zao. Jambo la kusikitisha hampatikani online kwenye kutoa hela kwa mawakala na ATM Binafsi nilikuwa nawaamini sana sasa nimeanza kuwa na mashaka. Mnapotea hewani siku ya muhimu kama hii What a pity?
  15. President of China

    Ni kwa namna gani wananchi wanaweza kupata msaada wa kisheria

    Nchi nyingi huwa na ofisi za huduma za kisheria zinazotoa msaada wa kisheria kwa wananchi wasio na uwezo wa kulipia huduma za mawakili binafsi. Huduma hizi zinaweza kujumuisha ushauri wa kisheria, usuluhishi wa migogoro, na hata uwakilishi kisheria kwa mahakamani. Kuna mashirika mengi ya...
  16. ankol

    Kituko gani kiliwahi kukukuta during sex?

    Habari za weekend wana JF? Leo tufunguke kituko kilichowahi kukutokea wakati ukifanya mapenzi. Nianze na changu. Nakumbuka wakati nazagamua katikati ya mzagamuo mara dada kakata moto, yaani ile hahemi wala hatingishiki. Kizaazaa. Acha nipagawe! Kupiga yowe nataka, kukimbia nataka. Acha...
  17. B

    Jina "Nyengombili" ni wenyeji wa mkoa gani na kabila gani?

    Naomba kujua tafadhali. Jina Nyengombili ni kabila gani na wenyeji wa mkoa gani? Maana ya jina nini? Nimelipenda sana hilo jina nataka nimuite mwanangu
  18. S

    Nchi za Afrika zinajidhalilisha sana, kulikuwa na haja gani Afrika Kusini kuishtaki Israel mahakama ya ICJ?

    Nchi za afrika zinazidi kujianika kwa kujionesha unafiki,ona sasa eti afrika kusini imepeleka mashtaka mahakama ya kimataifa ya haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli wanapenda haki sana kwanini wasingewashtaki Russia kwa kuua watoto wa Ukraine bila kuchokozwa?,kwahiyo sasa...
  19. KING MIDAS

    Ni mafuta gani ya kupikia mazuri zaidi kwa afya?

    Ni mafuta gani ya kupikia mazuri zaidi kwa afya? CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Mafuta ya kupikia ni kiungo cha msingi sana jikoni. Lakini kuna habari nyingi zinazokinzana kuhusu kila aina ya mafuta na afya. Pamoja na mengi kwenye rafu unapokuwa dukani – kuanzia yale ya nazi hadi mizeituni...
  20. M

    Jamaa yangu kapasua friji la TBL kwa hasira baa. Kioo chake kina gharama gani?

    Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa. Matengenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
Back
Top Bottom