gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Je umesoma kitabu gani kizuri mwaka huu?. Please share nasi tupate maarifa pia

    Tafadhali Tupia kitabu kilichobadilsha fikra zako au maisha Yako, ulichokisoma mwaka huu.
  2. Mlalamikaji daily

    Kitu gani kinapelekea mshahara kutoka kwa mafungu awamu hii?

    Natamani kujua, Maana kwa uelewa wangu kama ni system ingeweza kuwa tofauti ya dakika tu, au angalau range ya masaa mawili kwa Kila mfanyakazi kupata mshahara, Lakini Hali hii ya mpishano zaidi ya siku mbili mpaka tatu ni wazi Kuna shida mahali.. Wasi wasi wangu ni kuwa pengine mheshimiwa Raisi...
  3. Morning_star

    Ndoto gani uliwahi kuota ikakufikirisha sana?

    Nilijikuta niko kwenye nyumba yenye njia kama barabara ya kwenda underground floor (basement hivi). Kuta za hiyo nyumba zilipakwa rangi ya yellow (njano) na nilivyopiga kama nusu mzunguko niliona ukutani kulikuwa na picha ya nyoka mkubwa kichwa kama kilikuwa juu kama kwanye ground-floor kwa vile...
  4. BARD AI

    Huduma gani imekuwa Kero kubwa katika eneo lako kwa mwaka 2023?

    Mwaka 2023 unaenda mwishoni na mambo mengi yametokea. Tukiangalia huduma za kijamii pia kuna mengi yamefanyika lakini bado matatizo hayaishi. Kwa upande wako vipi huduma gani imekuwa kero kubwa kwako?
  5. LIKUD

    Huwa unatumia vigezo gani kumjua mshamba?

    Mshamba ni nani? Jibu : Mshamba ni mshamba. Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba? Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi hapa chini👇 1. Akiwa anatumia True Caller. Unapiga simu kwa Mwnyekiti...
  6. GoldDhahabu

    Haya ni maharage gani?

    Kwa Kiha yanaitwa KINULE! Kwa Kiswahili yanaitwaje? Au ndiyo NGWARA? Yanalimwa zaidi nchini Burundi. Ni watu wachache sana wanaoyalima Kigoma. Mengi yaliyopo "masokoni" Kigoma yametoka huko. Kwa anayefahamu atusaidie jina kwa Kiswahili na upatikanaji wake ulivyo, na bei pia, katika miji...
  7. Beberu

    Oven ya ukubwa gani itafaa kwa matumizi ya familia ya watu 6?

    Wakuu salamu kwenu, Heri ya mwaka mpya 2024. Sasa wakuu, nahitaji kununua oven kwa ajiili ya matumizi ya familia ya watu 6-8. Ni oven kampuni gani nzuri itanifaa na za ujazo wa litre ngapi?
  8. Mto Songwe

    Wataalam wa afya, Maiti huanza kuoza baada ya muda gani?

    Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili. Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu? Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini
  9. Candela

    HIVI INACHUKUA MDA GANI MPAKA UTAKE TENA

    Guys, ukiwa na girfriend wako uka do nae inatakuwa u do nae tena baada ya mda gani, maana huyu wangu namuomba kwa wiki mara 4 anasema nampleka sana na hata sijamuoa, nikioa si ndio atakuwa hafanyi kazi zingine ni kunipa tu. Ndio nawaza mda gan upite ili mtu asione uko na ugwadu sana
  10. GoldDhahabu

    Huu ni mmea gani?

    Nimeukuta mkoani Kigoma. Wenyeji wanasema matunda yake ni matamu na yanaliwa. Huenda ni dragon fruits ya Kiafrika? Inasemekana, dragon fruits ni kati ya matunda ghali sana Afrika Mashariki! Ninataka nikaipande shambani kwangu. Kuna mtu anayefahamu kama yana soko? Kama yana soko, nitaipanda...
  11. Mhafidhina07

    Kuna uhusiano gani kati ya ngono na akili?

    Salaaam!!! Hivi ni kweli kwa mtu anaefanya mapenzi sana na kwa mda mrefu anaweza kuwa na reasoning kuliko yule asiyependa kufanya mapenzi?? naombeni majibu uhusiano wa mapenzi na akili.
  12. Mganguzi

    Tuzo zinazotolewa kwa wasanii ndani na nje ya nchi huwa zinaambatana na zawadi za pesa taslimu? Ni kiasi gani?

    Natamani kujuzwa juu ya tuzo hizi zinavyotolewa kuanzia za ndani mpaka za kimataifa, kuna wasanii huwa wanafunga safari kwenda kuzifuata kwa gharama kubwa sana na wanaporejea wanatuonyesha zile tuzo ila huwa hawasemi thamani yake au fedha waliyopata kulingana na ushindi huo wa tuzo. Nataka pia...
  13. Lycaon pictus

    Tanzania kuna huduma ya data recovery? Inagharimu kiasi gani?

    Habari wakuu sana. Hivi hapa kwetu huduma ya data recovery kitaalamu ikitokea mtu disk yake imeroga inapatikana wapi? Inagharimu kiasi gani huduma hiyo?
  14. Black Opal

    Utapika chakula gani Xmas hii?

    Wazee wa madikodiko kwema? Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani? Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada tu ula ubweche huu lazima ufinywagwe siku hiyo. Vipi kwa upande wako, umejipanga kupika nini Xmas...
  15. Half american

    Ni tukio gani lilitokea ukiwa mbali na mazingira husika ukatamani ungekuwepo kwa muda huo?

    Habari wakuu, maisha yana mjumuiko wa matukio mengi sana. Kuna matukio ambayo wengi wetu tunapenda kuyasikia sana na hayatupi shida yeyote, haya ni matukio mazuri au habari njema mfano, kupata mtoto, mavuno mazuri n.k Kuna matukio tusiyopenda kuyasikia ni mwiba mkali maishani mwetu kwa wakati...
  16. GENTAMYCINE

    Oya Wazee wa Kazi 'Eagle Wing Obey' wameshaanza 'Kunidukua' au kuna tatizo gani na Simu yangu au za Wengine?

    Simu yangu ninayotumia Line ya Airtel nikiwapigia Watu wengine wa Tigo, Airtel na Vodacom nawapata nawapata na tunasikilizana vizuri ila kwa Wengine Mimi nawasikia ila Wao hawanisikii kabisa. Haya Wataalamu ( Wajuvi ) wa Mambo hapa Tatizo Kuu ni nini? Nifanyeje ili litatuke? Na Simu ninayotumia...
  17. Candela

    Hivi watafiti wa bongo hufanya kazi gani?

    Hivi hawa hufanyaje hizi tafiti zao. Maana navyojua sio rahisi kufanya utafiti hapa bongo hasa ukizingatia hatuna miundombinu rafiki. Hatuna uwekezaji wala wataalamu wanaoweza kufanya hizi zaidi ya ku dowload tafiti za watu wa nje huko. Kwa nini tunaziita tafiti ile hali ni copy na ku paste.
  18. MamaSamia2025

    Je, ni ndoto gani ya ajabu ambayo umewahi kuota?

    Wakuu leo tupige stori nyepesi. Mambo ya Hamas, Karia & TFF, Siasa, Simba na Yanga tuweke kando kwa muda. Ni ndoto gani uliyowahi kuota ikakushangaza? Binafsi kuna siku niliota nimekaa sehemu maeneo ya Mburahati Madoto ninakunywa pepsi mara ghafla katokea Aliko Dangote kachoka mbaya anaomba...
  19. M

    Kitu gani kinakufanya ukatae ndoa

    Hii thread ni especially Kwa wale kataa ndoa ..ndoa ni jambo jema sana hua nashangaa sana nkiona mtu anasema hataki kuoa kuolewa naamin zipo sababu Kwa Kila mtu zinazomfanya akatae ndoa .....tiririkeni ni sababu zipi zinawafanya mkatae ndoa
  20. The Dictator

    Misemo iliyotrendi 2023: Ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakufurahisha au kukukasirisha?

    Muda umeenda, mwaka unaenda kuisha; ni asilimia 95% mpaka sasa ya mwaka tumeikata tayari. Misemo ni vimbwanga mbalimbali vimeibuka. Je, ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakugusa kwa namna yoyote? ~ "Mama anaupiga mwingi"🥲
Back
Top Bottom