Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,398
1,261
TeamJf,
Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA!

Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU bright sana.

Anaonekana kuwa MTU wa kaliba ya baba yake (seriousness, appearance, na word build-up). Ni zawadi gani tunayoweza kumpa kijana huyu mdogo ambaye marehemu baba yake ameacha mchango mkubwa kwa taifa?

Viongozi huandaliwa lkn pia ni innate quality.


Msakila Kabende
Kakonko - Tanzania
 
Back
Top Bottom