Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

Raia mpya

JF-Expert Member
Apr 12, 2022
323
954
Brothers niaje kaka zangu leo ngoja niwape ka challenge, ni maneno gani ukiambiwa na mwanamke unahisi ni uongo?

Kwa mfano mi demu aisee akinambia eti "upo peke yako" yaani hapo ndo nazidi kupata mashaka nahisi nasaidiwa😀😀
Au akinambia nakupenda ndiyo siaminigi kabisaa naona kama anataka kibunda changu tu.

Vipi kwa upande wako maneno gani huyaamini kutoka kwa hizi species
 
Napenda mtu mwenye mapenzi ya kweli ,pesa wala sio tatizo, ata kama hana pesa.
Mie nikisikia "Wewe ndio mwanaume pekee nilotokea kukupa upendo wote na NITAKUVUMILIA KWA KILA HALI HATA KAMA HAUNA TUTATAFUTA PAMOJA KIKUBWA MAPENZI NA UHAI MENGINE MAJALIWA".
Nimeongea kwa herufi kubwa kusisitiza hiyo kauli.
Ogopa sana mwanamke aseme hivi kimbia kaka RUN AND SAVE YOURSELF.
Maana wanawake wavumilivu walishaishaga vita ya Kagera hawa wasasa wanakulia timing tu.
 
mimi huwa nacheka sana , naijua hiyo bro.
 
Brothers niaje kaka zangu leo ngoja niwape ka challenge, ni maneno gani ukiambiwa na mwanamke unahisi ni uongo?
Kwa mfano mi demu aisee akinambia eti "upo peke yako" yaani hapo ndo nazidi kupata mashaka nahisi nasaidiwa😀😀
Au akinambia nakupenda ndio siaminigi kabisaaaa
Vip kwa upande wako maneno gani huyaamini kutoka kwa hizi species
Sina mwingine zaidi yako
 
Wanawake kwa wanawake huwa hawapendani na hawaaminiani.
Ila wanahusanisha (same gender)

Wanaume kwa wanaume huwa wanaaminiana na kupendana na huwa wanahusianisha (same gender

Wanaume kwa wanawake huwa wanapendana Ila mwanaume huwa hamwamini mwanamke hasa katika mambo ya kazi na maisha kwa ujumla.

Trusting
Credibility

Sio rahisi mwanaume ampatie mwanamke
 
Demu kusema Kuna mtu fulani simpendi, au fulani namchukia sitaki hata kumuona

(Hapo bora awe jinsi KE ila kama anaemsema ni jinsi ME jua sooner or later mwana lazima afinyiwe kwa ndani😂)

wanawake kuwaelewa sometimes ni kipengele sana
Umenikumbusha dogo lao moja alikuwa anaaminishwa hivi.Kilichotokea dogo lao alitoa tutone,halafu manzi ndio anatamba na mwamba mpya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom