Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
1,465
4,675
Nilienda sehemu moja ugenini, kama ilivyo ada ugenini hata ukae siku mbili Lazima ujibane usiende chooni hovyo hovyo, siku ya tatu nikaona hali sio poa acha niende chooni kufanya harakati muhimu.

Cha kushangaza nikakuta choo cha kukaa, sijawai kukitumia before, nikapiga mahesabu maana nimeshazoea vyoo vyetu vya kulenga, nikasema acha nifanye harakati, baada ya harakati nikaflash fresh maana niliona sehemu ya kubonyeza.

Kimbembe kilikuja namna ya kujitawaza maana tishu sikuiona, nikapiga mahesabu kama dakika kumi namna ya kujisafisha, kwa utabe wangu wa namba kwa kusolve, logarithim, integration, na complex number nilishindwa kung'amua ni kwa jinsi gani naweza kujisafisha kwenye choo cha kukalia nikaona hii sasa ni soo, nikasepa moja kwa moja mpaka nyumba jirani kuomba usaidizi. Jioni ikabidi nimuage mwenyeji kwamba nimepata dharula.

Hivi mlioweka hivi vyoo vya kukaa na hamna tishu huwa mnajisafisha vipi? Nitoeni ushamba.

images (1).jpeg

20240316_070749.jpg
 
Ukiwa na choo cha kukaa lazima uwe na shattaf ya kutawazia
View attachment 2935822

Au wao wameweka bila hiyo shattaf

Ukiwa na hiko kifaa choo cha kukaa ni salama zaidi kuliko wanaoshika mavi wakati wa kutawaza

Ila choo hiki kinafaa kwa matumizi binafsi au wanandoa tu
Kwani shattaf mkuu napo si lazima ujibinue upige presha na kugusa nyaa
 
Ukiwa na choo cha kukaa lazima uwe na shattaf ya kutawazia
View attachment 2935822

Au wao wameweka bila hiyo shattaf

Ukiwa na hiko kifaa choo cha kukaa ni salama zaidi kuliko wanaoshika mavi wakati wa kutawaza

Ila choo hiki kinafaa kwa matumizi binafsi au wanandoa tu
Sio vyote vina hiki kidder labda vipya

Wait unasena ukitumja hiki ushiki so kama unajirushia HELL
 
Kwanza mimi huwa najiuliza ukienda kukata gogo hali uume upo katika hali ya kusimama mkojo unarukia wapi? Au basi uume umelala inabidi ukojoe kwanza mdio ukae au unakunjia uume humohumo?

Vyo hivi ni usumbufu na hasa iwe sehemu yenye baridi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom