fursa

  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Masomo ngazi ya Umahiri Chuo Kikuu Tsukuba Japan, 2024

    TAARISA YA FURSA YA MASOMO NGAZI YA UMAHIRI, PROGRAMU YA SERA YA UMMA NA UCHUMI KATIKA CHUO KIKUU TSUKUBA NCHINI JAPAN Ubalozi umepokea taarifa kutoka Chuo Kikuu Tsukuba kilichopo nchini Japan kuhusu fursa za mazomo ngazi ya Umahiri, Programu ya Sera ya Umma na Uchumi kwa Mwaka wa Masomo 2024 –...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANAPA yawasili visiwani Zanzibar kunadi vivutio na fursa za uwekezaji

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) wamewasili Visiwani Zanzibar kushiriki kwa mara ya kwanza Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yaliyofunguliwa tarehe 10.01.2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussen Ali Mwinyi eneo la Dimani - Fumba Zanzibar ili kunadi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Dola (USD) ni fursa iliyojificha

    Uhaba wa Dola nchini utaibua mabilionea wapya kupitia "black market" bado Kuna kijana analalamika ukosefu wa ajira?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kombe la Mapinduzi ni mashindano ya kutoa fursa kwa wachezaji wanaochipukia

    Japo sijui kama hii ndio ilikuwa dhamira ya viongozi wa Yanga na kocha wa timu hiyo, ila ukweli ni kuwa kwa kocha makini na viongozi makini wa timu za ligu kuu, mashindano haya ni fursa ya kuona vipaji na uwezo wa wachezaji chipukizi pamoja na wale wa kikosi cha pili. Kutumia proffesinal players...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania Sasa tunayo fursa ya kihistoria ya kukomboa kila eneo la Lebanon pamoja na eneo la mashamba ya Shebaa

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇱🇧Nasrallah, kiongozi wa Hizbullah: SASA TUNAYO FURSA YA KIHISTORIA YA KUKOMBOA KILA INCHI YA ENEO LA LEBANE, PAMOJA NA ENEO LA MASHAMBA YA SHEBAA. - Tuliwaua wanajeshi wengi wa Israeli, wakiwemo majenerali, lakini adui anaficha majeruhi wake. -Idadi ya walemavu wa...
  6. Calvin Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kukuza brand ya mpira Tanzania

    Ni swali la msingi kama sio hoja, hivi kwa hatua tuliyofikia Tanzania kwenye maendeleo ya mpira inawezekana vipi TFF au wadau kwa ujumla au mamlaka husika ya mpira Tanzania kukosa udhamini kwenye mpira unaotumika uwe rasmi? Yaani ijulikane moja kama msimu wa 2023/24 Ligi yetu itatumia mpira wa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha yaahidi kuulinda mkoa Kidijitali, Wananchi waombwa kutumia fursa hiyo

    Jeshi la Polisi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kuhakikisha linakwenda na mifumo ya kisasa na mabadiliko ya kitekinolojia ikizingatiwa mji huo ni kitovu cha utalii hapa nchini huku Mkoa huo ukipokea wageni wengi kutoka ndani ya nchi na mataifa mengine ambapo umeamua kuja na mfumo mpya...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Biashara ya Tanzania isingekuwa Goi Goi hii haikuwa Fursa ya Kiuchumi na Kibiashara kwa Tanzania na Watanzania?

    Ugandans cross Kenya border for Christmas shopping Hundreds of Ugandans are crossing the Busia border into Kenya to buy relatively cheap goods, especially textiles, ahead of the Christmas holidays. David Basalirwa, a trader and resident of Bugiri district in eastern Uganda, says he prefers to...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Watanzania Watakiwa Kuanza Kujiandaa Fursa SGR

    MOROGORO; Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), Augustine Vuma ametoa rai kwa watanzania kuwa wajiandae kuanza kutumia fursa mbalimbali za kiuchumi mara baada ya Treni ya Kisasa kuanzaia mapema 2024. Vuma ametoa rai hiyo wakati wa ziara ya wajumbe...
  10. KalutaWings

    JamiiForums Tanzania Ununuzi wa awali wa pointi za matumizi 1,000 zenye thamani ya $10 million kwa bei ya TZS 300,000 tu

    Mradi wa kimapinduzi wa tovuti ya udalali wa mauzo ya bidhaa na huduma kutoka pembe zote za dunia kwa kutumia teknolojia mpya ya private blockchain ijulikanayo kama Hyperledger Besu. Niko mbioni kutengeneza tovuti ya kipekee kabisa ambayo haijawahi kutengenezwa hapa duniani...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu ukipata fursa tembelea Ethiopia hakika hutajutia nauli yako

    Wadau hamjamboni nyote Karibuni tujadili
  12. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Hamas waliobakia wanapaswa kutumia hii fursa ya kuachiliwa mateka na wao kujisalimisha, wasisubiri kuangamizwa!

    Ni fursa adimu sana jeshi la Israel limetoa la kusimamisha vita kwa siku chache ili kupisha zoezi la kubadilishana mateka na kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingiza Gaza kabla ya zoezi la mashambulizi mazito kuendelea mbele ili kuhakikisha hakuna punje inayoitwa Hamas inabakia Gaza. Kama Hamas...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake Hawa kujichora tattoo ya Nabii Geo Davie, ni mahaba au kutafuta fursa?

    Hapo chini ni mgongo wa mwanamke kwa Jina la Elizabeth Benjamin aliyejichora tattoo ya Jina la Geo Davie, na kupelekea Ndoa yake kuvunjika. Lakini alipofika kanisani kwa Nabii Huyo aliweza kuvuta mkwanja kama hongera kwa kujichora tattoo hiyo. Na Sasa msanii Amber Rutty Naye amefuata kwa...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lekaita: Mvua ni Fursa Tuzitumie Ipasavyo

    MBUNGE EDWARD LEKAITA AWATAKIA WAKULIMA MSIMU MWEMA WA KILIMO KATA YA KALOLENI JIMBONI KITETO Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita ametembelea na kushiriki shughuli za kilimo na upandaji mbegu katika shamba la Mzee Salum Kabila na kuwatakia heri wakulima na...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Fursa zipi zinapatikana Tunduma?

    Asalaam Aleikum to y'all. Fursa zipi zinapatikana Tunduma. Uzi tayari. Tupo around tunasoma majibu.
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Aysharose Mattembe Aahidi Kutafuta Fursa kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Kuwawezesha Wajasiriamali Mkoa wa Singida

    SHIRIKA lisilo la kiserikali la Star Entrepreneur General kwa ufadhili wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe Aysharose Mattembe, limetoa mafunzo kwa wajasiriamali katika wilaya zote za mkoa huu ya namna ya kuendesha biashara zao kwa ufanisi na weledi ili waweze kujikwamua kiuchumi...
  17. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa Wamiliki na Mameneja wa Bar & Restaurants

    Habari za wakati huu; Je wewe ni Mmiliki wa Bar au Restaurant na Maeneo mengine ya Burudani?Je ungependa kuwa World Class Service Provider na kufikia Wateja wengi zaidi huku ukiongeza Ushindani katika Biashara yako? Masoko kwa kushirikiana na wadau wengine wa sekta ya Burudani tunakuletea...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awahimiza Wawekezaji wa Ndani na Nje ya Nchi Kutumia Fursa Zilizopo katika Mkoa wa Tanga ikiwemo Biashara, Kilimo, Viwanda

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) alitoa rai kwa Watumishi wote wa Taasisi za Umma zinazohusika na utoaji wa leseni na vibali mbalimbali kwa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi bila kukwamisha biashara. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Novemba...
  19. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu yatangaza Fursa ya Kusoma bure katika fani mbalimbali

    Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Imetangaza Programu ya Kukuza Ujuzi Nchini inayowezesha nguvu kazi ya Taifa kupata ujuzi na stadi za kazi stahiki ili kumudu ushindani katika soko la ajira. Ofisi imeingia makubaliano vyuo mbalimbali kutoa mafunzo mafunzo ya ufundi...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mazao ya chakula inabaki kuwa ndo biashara yenye Fursa nyingi nzuri pamoja na changamoto zake

    Wakuu naamini kila MTU Ana ndoto ya kufanya biashara Fulani ili afikie malengo yake aliyonayo. Naamini Kuna wengi wanatamani kujua zaidi hii biashara kabala hawajaingia Kuna Aina nyingi za Fursa katika biashara ya Mazao inategemea na MTU angependa kujikita wapi Kwanza Kuna wale wanunulia...
Back
Top Bottom