Wizara ya Biashara ya Tanzania isingekuwa Goi Goi hii haikuwa Fursa ya Kiuchumi na Kibiashara kwa Tanzania na Watanzania?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,651
109,049

Ugandans cross Kenya border for Christmas shopping​


Hundreds of Ugandans are crossing the Busia border into Kenya to buy relatively cheap goods, especially textiles, ahead of the Christmas holidays.

David Basalirwa, a trader and resident of Bugiri district in eastern Uganda, says he prefers to buy textiles from Kenya because they are relatively cheaper compared to his nearest trading hub in Iganga district and other Ugandan towns.

"I buy a lot of clothes in Kenya with Ksh1,000 (about Ush24,000), but with the same money in Uganda, I will buy only one cloth," Basalirwa said, adding that because the clothes are cheap in Kenya, he is able to make 'good profit' after selling them in Uganda.

Chanzo: The East African Online leo.

Mambo muhimu kama haya ( hili ) Wizara na Waziri kamwe hawezi Kuhangaika nalo ila la Kumpamba na Kumsifu Mtu Kinafiki 24/7 na nchi nzima tunaweza.

Kenya hawajawahi Kukosea katika kutafuta Fursa mbalimbali za Kiuchumi hadi Biashara na ndiyo maana GENTAMYCINE sishangai kuona Raia wake wengi wakiwa ni Werevu mno huku 75% ya Bidhaa zao zikiwa kwa Wingi katika Taifa Moja lenye Mazuzu wengi duniani na hasa Barani Afrika.
 
Geographically ni ngumu mkuu,
Jiografia ya Israel ni ngumu kuliko nchi nyingi na Kubwa duniani ( ikiwemo Tanzania yako ) ila cha kushangaza Wanalima Matunda kwa Wingi, Mahindi, Mpunga na Ngano kwa matumizi yao na ya Kuuza kwingineko.

Tusione aibu kukubali kuwa Sisi ni Wapumbavu, Wazembe na Wavivu na tunachokiweza ni Uwongo, Majungu, Fitna, Umbea na Uswahili Uswahili.

Wakenya wameruacha mbali sana!!!
 
Back
Top Bottom