Fursa kwa Wamiliki na Mameneja wa Bar & Restaurants

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,495
5,532
Habari za wakati huu;

Je wewe ni Mmiliki wa Bar au Restaurant na Maeneo mengine ya Burudani?Je ungependa kuwa World Class Service Provider na kufikia Wateja wengi zaidi huku ukiongeza Ushindani katika Biashara yako?

Masoko kwa kushirikiana na wadau wengine wa sekta ya Burudani tunakuletea Programme ya Kipekee ya VIP Clubs Network ambayo imeboreshwa ili kuhakikisha wateja wako wanapata huduma BORA na wewe unaendelea kunufaika kama Meneja au Mmiliki wa Bar au Restaurant

Manufaa kwa mmiliki:
  1. Kutambulishwa kwa biashara yako katika maeneo mbalimbali
  2. Kuwa sehemu ya mtandao mpana wa biashara
  3. Kufikiwa na wateja tofauti
  4. Kupata fursa ya kuboresha huduma na biashara yako kupitia ushauri wa kitaalamu na mafunzo
  5. Manufaa mengine mengi kwa kadiri ya mahitaji ya soko huduma.
Manufaa kwa Meneja na Wasimamizi
  1. Mtandao mpana wa Fursa za kufanya kazi kati Bar na Restaurant katika Maeneo tofauti
  2. Fursa za Mafunzo na kuendelezwa katika taaluma ya usimamizi wa BAR na Restaurant
  3. Fursa za Moja kwa moja za incentive za kwa kuhamasisha program mbalimbali na kurayibu matukio katika eneo unalofanyia kazi
  4. Manufaa mengine mengi kwa kadiri ya mahitaji ya soko na hudumu
Fursa hii inaanza na Mikoa ya Arusha,Dar es salaam,Dodoma,Mwanza, Mbeya, Shinyanga, Geita na Tanga.

Sio kila Bar au Restaurant itaruhusiwa kushiriki katika mpango huu bali kutakuwa na vigezo na masharti ya kuzingatiwa ili uweze kushiriki katika mpango huu.

Ili kushiriki katika mpango huu tafadhali tuma barua pepe fupi kwenda

masokotz@yahoo.com
eleza JINA la Bar au restaurant yako,Mahali ilipo(MKOA,WILAYA,MTAA na BARABARA na iwapo wewe ni meneja au ni mmiliki wa Bar
Kwa wamiliki hakikisha unaeleza iwapo Jengo la Bar unalimiliki au Umelikodisha.

Karibuni tuboreshe huduma za Burudani.
 
Back
Top Bottom