KalutaWings

Member
Jul 9, 2023
8
2
Mradi wa kimapinduzi wa tovuti ya udalali wa mauzo ya bidhaa na huduma kutoka pembe zote za dunia kwa kutumia teknolojia mpya ya private blockchain ijulikanayo kama Hyperledger Besu.

IMG_20231019_135342_687.jpg


Niko mbioni kutengeneza tovuti ya kipekee kabisa ambayo haijawahi kutengenezwa hapa duniani, itakayowaunganisha wafanyabiashara na wateja duniani kote kwa ajili ya kuuzia bidhaa na huduma za wafanyabiashara kwa wateja wa reja reja kwa bei ya jumla.

Tovuti, ambayo makao yake makuu yatakuwa Canada, pamoja na kuwa na branchi, supermakets, magodowns, na miradi mingine duniani kote, inaitwa Digital Shopping Mall (DSM).

Tovuti itatengeneza hela zake za kidigitali (cryptocurrency) zitakazoitwa Digital Shopping Coin (DSC) zipatazo bilioni kumi, ambapo tumepanga bei ya kuanza kuuzia DSC moja kwenye masoko la kuuzia DSC (crypto exchanges) kuwa ni dola elfu kumi.

Tayari mtaalam wa blockchain, ambaye ni mwasisi mwenza wa mradi huu, anatengeneza software yetu ya blockchain kwenye test mode, kama inavyoonekana hapo chini.

explorer-screenshot3-2.png



Mfumo (tokenomics) wa mradi wetu wa kipekee kabisa hapa duniani, ambao utawanufaisha wafanyabiashara, wanunuzi, na wanachama waliotapakaa duniani kote katika kiwango cha manufaa ambacho hakijawahi kutokea kabisa hapa duniani, unatuwezesha kutengeneza idadi hiyo ya DSCs na kuzipangia bei hiyo ya kuanzia ya $10,000 kwa DSC bila kuathiri thamani ya DSC sokoni, na badala yake thamani ya DSC itazidi kupanda kama nitakavyoelezea punde.

Mfumo wetu wa kipekee wa biashara ni kama ifuatavyo:

DSC zikiwekwa ndani ya tovuti kwa ajili ya kununulia bidhaa na huduma zinabadilika kuwa Digital Shopping Points (DSP), ambazo kazi yake pekee ni kuwekea oda ya bidhaa na huduma ndani ya tovuti. Mmiliki wa DSP hawezi kuziuza, bali ni kuzitumia tu kuwekea oda bidhaa na huduma zitakazokuwa zinauzwa ndani ya tovuti.

DSM itazibadilisha DSPs zilizotumika kuwekea oda kuwa DSC, ili ziweze kuuzwa sokoni kupata hela inayohitajika na mfanyabiashara kama malipo ya manunuzi ya bidhaa au huduma zake. Hivyo mfanyabiashara atalipwa kwa hela anayoitaka yeye, iwe TZS, USD, EUR, BRIC, DSC, au hela nyingine yoyote ile.

Wateja watakuwa wanaweka oda za reja reja za bidhaa au huduma wanazotaka kununua kwa kutumia DSP. Oda zao zitaunganishwa ili kupata oda moja kubwa ambayo mfanyabiashara atakuwa tayari kuiuza kwa bei ya jumla na hivyo wateja wataweza kununua bidhaa na huduma za rejareja kwa bei ya jumla.

Juu ya kuweza kununua bidhaa na huduma za rejareja kwa bei ya jumla, wateja wetu watapata faida ya ziada ambayo huwezi kuipata sehemu nyingine yoyote duniani kwani utaweza kununua bidhaa na huduma kwa bei ya karibu na bure.

Kwa mfano, kama laptop inauzwa $1,800 kwa bei ya rejareja ndani ya tovuti, utaweza kuioda kwa kulipia DSPs zenye thamani ya $18 tu. Kadri watu wengi duniani kote watakapokuwa wananunua DSPs ili waweze kuoda hii laptop kwa kulipia $18 tu, bei ambayo huwezi kuipata mahali popote pengine, ndivyo kadri thamani ya DSC itakavyozidi kupanda sokoni na kuzifanya DSPs zako zenye thamani ya $18 kufikia thamani ya $1,800, na hivyo kukuwezesha kuinunua hiyo laptop ya $1,800 kwa kulipia $18 tu!

IMG_20231014_190240_163.jpg


Manufaa mengine watakayoyapata watumiaji wa tovuti yetu ambayo baadhi yao huwezi kuyapata kutoka sehemu nyingine yoyote ile hapa duniani ni kama ifuatavyo:

Tovuti italipa kamisheni ya kupendekeza bidhaa na huduma za kuuzwa ndani ya tovuti (Sponsorship commissions) pamoja na kamisheni ya mauzo ya bidhaa, huduma, na matangazo (Affiliate commissions) kwa kutumia mfumo wa malipo ya mtandao kwa vizazi kumi.

Wanachama watakuwa wanalipwa kamisheni kutoka kwenye mauzo ya kila bidhaa au huduma waliyoipendekeza ndani ya tovuti hadi kamisheni itakapofikia dola laki moja kwa kila bidhaa au huduma iliyopendekezwa, pamoja na kulipa malipo ya mtandao kwa watu waliomualika mpendekezaji wa hiyo bidhaa au huduma.

Vilevile watu waliowaalika wateja watalipwa malipo ya mtandao kwa kila bidhaa, huduma, au tangazo litakalonunuliwa na waalikwa wao ndani ya tovuti kwa vizazi kumi.

Awamu ya kwanza ya mradi wetu itakamilika tukishaweka software ya mtandao wa kijamii ndani ya tovuti na kuweka mfumo wa malipo ya mtandao.

Wanachama wetu wataanza kugawana mapato ya mauzo ya matangazo kwenye tovuti yetu kwa kutumia mfumo wetu wa malipo ya mtandao mara baada awamu ya kwanza kukamilika.

Awamu ya pili na ya mwisho itakamilika pale software yetu ya DSM itakapokuwa tayari.

Tutaanzisha fursa ya Wanachama Waanzilishi wa tovuti mara tu baada ya kuingiza software yetu ya kijamii ndani ya tovuti.

Wanachama Waanzilishi watakuwa wanalipwa asilimia 10 ya mapato ya tovuti kila mwezi, kutegemea na kikokoteo cha mwanachama mwanzilishi.

Idadi ya wanachama utakaowaalika ndani ya kipindi cha fursa hii itagawanywa na idadi ya waalikwa wote ndani ya tovuti ili kupata kikokoteo chako cha kugwana mapato ya kila mwezi. Kampeni hii ya kupata wanachama waanzilishi itaendeshwa kwa kipindi cha miaka mitatu tangu itakapofunguliwa rasmi.

Kwa sababu tovuti itafanya biashara yenye tija ya ziada tena duniani kote, kipato hiki kina uwezekano wa kuwa kikubwa sana kwa wale watakaoichangamkia fursa hii ya bure vilivyo.

Mapato haya ya wanachama waanzilishi ya kila mwezi yanarithishika kwa warithi wa wanachama waanzilishi.

Mradi huu umeasisiwa na mimi Shafi Abeid, ambaye ni mtaalam wa uhasibu (ACPA) wa enzi hizo (1996), na mtaalam wa benki (ATIOB), kutokea Tanzania, pamoja na Steve Hodgkiss, ambaye ni mtaalam wa teknolojia ya blockchain pamoja na utengenezaji wa tovuti, kutokea UK.

Utaona matangazo yetu kwenye ukurasa wa Sponsors wa tovuti.

Gharama ya kutengeneza tovuti husika hadi iishe yote ni kwenye dola laki moja, hivyo tunatafuta watu watakaokuwa tayari kununua pointi zetu za manunuzi (DSPs) kwa bei ya awali ya kutupa ya TZS laki tatu tu kwa DSP 1,000, ambazo zitakuwa na thamani ya kuanzia ya dola milioni kumi wakati hela yetu ya kidigitali itakapoingia sokoni kwa mara ya kwanza.

Watakaotaka kushiriki wanaweza kujiunga watu mpaka 10 ili kila mtu alipie TZS 30,000 tu ili kushiriki kwenye fursa hii.

Watakaoshiriki kwenye fursa hii watapata fursa nyingi hapo baadae kadri tovuti itakavyokuwa inapanuka kwa sababu watakuwa wametuwezesha kuiweka tovuti hewani. Kwa mfano, wakati tutakapoanza kufungua branchi, kujenga Supermarkets, magodowns, pamoja na miradi mingine duniani kote, washiriki wa fursa hii watapewa kipaumbele kuchangamkia fursa zitakazojitokeza kwenye miradi hii.

Tumia fursa hii kununua kwa awali angalau DSPs 1,000 kwa kulipia TZS laki tatu tu ili upate uwezekano wa kupata utajiri mkubwa ambao hauwezi kuupata kupitia mmradi mwingine wowote ule hapa duniani kwa sasa, kama mradi huu utafanikiwa.

Cha msingi ufahamu kuna hatari ya tovuti kushindwa kukamilika ama kwa ajili ya kukosa mtaji wa kutosha wa kuikamilisha, au kwa sababu nyingine zozote zile ambazo zitakuwa nje ya uwezo wetu kuzidhibiti.

Ikitokea tumeshindwa kumalizia tovuti na hela uliyolipia ilishatumika kwenye matengenezo basi kuna uwezekano tukashindwa kukurudishia hela zako ulizolipia kwa ajili ya kununua pointi zetu za matumizi.

Hivyo, kama ilivyo kwenye fursa yoyote ile na hasa fursa mpya za kimapinduzi kama yakwetu, ujue kuna uwezekano wa kupoteza hela utakayolipia, hivyo linganisha uwiano wa kupata na kukosa kabla hujafanya uamuzi wa kushiriki kwenye fursa hii.

Kwa wale watakaopenda kushiriki kwenye fursa hii tuwasiliane kupitia barua pepe hii enquiries@digitalshoppingmall.net
 
Special offer with a bonus, to prepare your business plan for a new project.

I am a freelancer in business plan preparations with both professional ( Bcom Acctg, ACPA, ATIOB) and practical experience for more than 20 years.

This is a special offer intended to raise the capital needed to develop our decentralized Digital Shopping Mall that will be headquartered in Canada, which is going to be the only place in the world where you can pre-order products and services at a price 100 times less than their prevailing retail prices, thanks to our groundbreaking smart pre-ordering technology powered by the mall's Digital Shopping Points (DSP) and blockchain's smart contracts.

I will charge from TZS 300,000 to TZS 500,000 to prepare your business plan for a new project and give you a bonus of 300 to 500 DSPs that will be used to pre-order or purchase products and services in the mall.

The initial value of DSP in the market will be $10,000. This means a bonus of 300 DSP will avail you with a purchasing power worth $3,000,000.

Contact: 0772977330

IMG_20231105_205132_134.jpg
 
Digital Shopping Mall is offering the greatest pre-launch opportunity of all time, allowing you to purchase 1,000 digital shopping points worth $10 million for a mere $100.

Our groundbreaking pre-ordering technology empowers buyers to pre-order products and services at prices up to 100 times less than market rates. With 1,000 digital shopping points, you unlock a maximum purchasing power of $1 billion!
 

Attachments

  • 20231111_120304_0000.png
    20231111_120304_0000.png
    202.5 KB · Views: 3
Inauguration of the Digital Shopping Mall (DSM)

DSM launches today with its first phase, which includes our social media component (DSM Social) and our Founding Members' opportunities, going live.

20231215_075041_0000.png


We have a mission to create a new world order where financial insecurity is a thing of the past.

The primary beneficiaries of the new world order will be those who participate in our free Founding Membership opportunities starting today. You will earn 1 Digital Shopping Point (DSP) for each verified person invited into your business partner's team, up to 10 levels deep, until the 1 billion DSPs allocated for Founding Membership awards are fully distributed.

DSP is the native digital voucher of DSM, exclusively used for in-Mall shopping purposes. The economic minimum value of DSP will be $10,000, with the potential to increase exponentially, thanks to our groundbreaking pre-ordering technology.

With our disruptive pre-ordering technology, you can choose to pre-order products and services at prices up to 100 times lower than their prevailing market prices. This means your 1 DSP earned for free through Founding Membership opportunities can redeem products and services of your choice valued up to $1 million!

Even if you fail to invite a single verified person, you still have an opportunity to become a millionaire by verifying your account and qualifying to earn 1 DSP.

In addition to being rewarded with 1 DSP for each verified invitee in your business partner's team up to 10 levels deep, Founding Members will also participate in sharing 10% of DSM's monthly revenue proportionately to the number of their verified invitees, extending up to 10 levels deep.

Yet, while ordinary members can recommend only 1 product and 1 service per annum, Founding Members can recommend up to 5 products and 5 services per annum. Early Founding Members who participate in the pre-launch purchase of DSPs, as will be explained shortly, have no limit on the number of products and services they can recommend.

DSM introduces disruptive recommendation commissions where you get paid a commission, with a cap of $100,000 in total, for each deal sold in DSM if you are the first to recommend it to be added to the mall by filling the recommendation form. There is no need to talk to the supplier of the deal, as this task is handled by DSM officials once DSM decides the deal is worth adding for shopping in the mall.

You don't need to invite anyone to earn recommendation commissions above.

You will also receive recommendation commissions 10 levels deep whenever your business partners earn theirs.

In addition to recommendation commissions, you will receive unlimited business partners' commissions 10 levels deep whenever your business partners purchase products and services in the mall and whenever they earn ad revenue share from ads consumed on their content posted in their Streams.

All the privileges that you will earn from our ground-floor opportunities, as explained above, as well as ordinary passive income opportunities for all, will be inheritable by your heirs.

Needless to say, those Early Founding Members who can afford to purchase a minimum of 1,000 DSPs at our current DSP pre-launch price of $0.1 ($100 for 1,000 DSPs) will be among the top beneficiaries of the new world order. This deal will expire by the end of March 2024. After that, a new deal will take over where the price of DSP will be $1, and the minimum amount you can participate with will be $100.

More information can be obtained in my social media accounts @smartpreordering.

DM me for those who would like to participate in our once-in-a-lifetime free Founding Membership opportunities.
 
""Needless to say, those Early Founding Members who can afford to purchase a minimum of 1,000 DSPs at our current DSP pre-launch price of $0.1 ($100 for 1,000 DSPs) will be among the top beneficiaries of the new world order.""

Walioumizwa na Kalindya, Desi, Q-Net na mengineyo HAWAWEZI KUKUELEWA

#YNWA
 
Leo tumefungua rasmi awamu ya kwanza ya tovuti yetu ya Digital Shopping Mall (DSM) ambayo itahusisha fursa ya bure ya kuwa Mwanachama Mwanzilishi wa tovuti na kupata Digital Shopping Point (DSP) 1 kwa kila utakayemualika kwa vizazi 10 kwenda chini atakayethibitisha (verify) akaunti yake, pamoja na kupata fursa ya kugawana asilimia 10 ya mauzo ya tovuti kila mwezi, mgao utakaotegemea idadi ya watu utakaokuwa umewaalika ambao wamethibitishwa kwa vizazi 10 wakati wa fursa hii ya kuws Mwanachama Mwanzilishi wa DSM.

20231219_094826_0000.png


DSP zitatumika kununulia bidhaa na huduma ndani ya DSM software yetu ya shopping itakapokuwa tayari. Tunatarajia software yetu itakuwa tayari ndani ya miaka miwili kutokea sasa.

Thamani ya chini ya DSP itakuwa ni $10,000.

Hii Ina maana kwamba watakaoshiriki kwenye fursa hii, hata kama usipomualika mtu hata mmoja, bado utapata DSP 1 kama utathibitisha akaunti yako.

Teknolojia yetu ya kipekee ya kuuzia bidhaa na huduma inawawezesha wanunuzi kupata punguzo la bei hadi mara Mia ya bei ya sasa, hivyo DSP 1 yenye thamani ya chini ya $10,000 utakayoipata kwenye fursa hii itakuwezesha kununua bidhaa na huduma zenye thamani ya hadi dola milioni moja!

Kama kuna mtu angependa kuzinunua hizi DSP kwa sasa tunauza DSP 1,000 kwa $100. Ofa hii itaisha mwishoni mwa mwezi Machi, 2024 na ofa nyingine itafuata ya kununua DSP 100 kwa $100.

Wanaonunua DSP kwa sasa wao wanakuwa Wanachama Waanzilishi wa Awali (Early Founding Members) na kupata manufaa ya ziada ukilinganisha na Wanachama Waanzilishi watakaoshiriki kwenye fursa hii ya bure.

Wanachama wa kawaida wataruhusiwa kupendekeza bidhaa moja na huduma moja kwa mwaka. Wanachama Waanzilishi wataweza kupendekeza bidhaa 5 na huduma 5 kila mwaka. Wanachama Waanzilishi wa Awali wao hawatakuwa na kikomo cha kupendekeza bidhaa na huduma.

Kila bidhaa au huduma utakayokuwa wa kwanza kuipendekeza kisha supplier wa hio bidhaa au huduma akakubali iuzwe ndani ya DSM mara baada ya wafanyakazi wa DSM kumtembelea na kumfahamisha nia yetu ya kuuza hiyo bidhaa au huduma kwa wanachama wetu, basi mpendekezaji, na wale waliomualika kwa vizazi 10, watakuwa wanalipwa commission kwa kila uzo la bidhaa au huduma hiyo ndani ya tovuti hadi mapato ya mpendekezaji yatakapofikia $100,000 kwa kila bidhaa au huduma aliyoipendekeza.

Juu ya malipo hayo ya kipekee kabisa ya kulipwa kwa kupendekeza tu bidhaa na huduma, bila haja ya kuongea na supplier wa hiyo bidhaa au huduma kwani kazi hiyo inafanywa na wafanyakazi wa DSM, utapata fursa za kulipwa kamisheni kila waalikwa wako kwa vizazi kumi watakapokuwa wananunua bidhaa na huduma ndani ya DSM na watakapokuwa wanapata mgao wa mauzo ya matangazo ndani ya DSM wanayoyapata kutoka kwenye mauzo ya matangazo yaliyofanyika kwenye kurasa (Streams) zao.

Hivyo, juu ya fursa ya kuwa Mwanachama Mwanzilishi unaposhiriki kwenye fursa hii, waalikwa wako watakuwa chazo chako cha maokoto daima.

Fursa zote ndani ya DSM zinarithishika kwa warithi wako.

Kwa habari zaidi tembelea mitandao yangu ya kijamii @smartpreordering au tumia hashtag #DigitalShoppingMall

Kwa wale ambao wangependa kushiriki kwenye fursa yetu ya bure ya kuwa Mwanachama Mwanzilishi wa DSM, tuwasiliane kwa kunitumia DM hapa au kwenye mitandao yangu ya kijamii.
 
""Needless to say, those Early Founding Members who can afford to purchase a minimum of 1,000 DSPs at our current DSP pre-launch price of $0.1 ($100 for 1,000 DSPs) will be among the top beneficiaries of the new world order.""

Walioumizwa na Kalindya, Desi, Q-Net na mengineyo HAWAWEZI KUKUELEWA

#YNWA

All the companies you mentioned above had no innovative business model to offer other than multi-level marketing. My case is a world apart. I am coming up with a groundbreaking business model, the only business model that will empower shoppers to get a discount of over 99% off the prevailing market prices. There is no such business model in the world.

Our business model is what will give our DSP its value. We have the most disruptive tokenomics in town. You can read them in our website. We have set our tokenomics such that the value of our DSP can't fall below $10,000. Instead, it will be constantly on the rise as many people worldwide flock to buy limited DSPs so that they use them to do almost free shopping.

Mark my words. No one (including Alibaba, Amazon, you name it) will be able to do retail business without either partnering with us or steal our business model.

And you don't need to buy our DSPs to participate in our free Founding Membership opportunities.
 
All the companies you mentioned above had no innovative business model to offer other than multi-level marketing. My case is a world apart. I am coming up with a groundbreaking business model, the only business model that will empower shoppers to get a discount of over 99% off the prevailing market prices. There is no such business model in the world.

Our business model is what will give our DSP its value. We have the most disruptive tokenomics in town. You can read them in our website. We have set our tokenomics such that the value of our DSP can't fall below $10,000. Instead, it will be constantly on the rise as many people worldwide flock to buy limited DSPs so that they use them to do almost free shopping.

Mark my words. No one (including Alibaba, Amazon, you name it) will be able to do retail business without either partnering with us or steal our business model.

And you don't need to buy our DSPs to participate in our free Founding Membership opportunities.
Kwahili yao, SIKAJUELEWA CHOCHOTEEE

#YNWA
 
Fursa ya kuwa Mwanachama Mwanzilishi ni ya bure. Hutakiwi kulipia hata senti tano lakini inakupatia uwezekano mkubwa sana wa kuwa milionea wa $ kama utashiriki kuwaalika wengine nao wajiunge bure.

Kwa hiyo suala la kupigwa halipo kwenye fursa ya bure ya kuwa Mwanachama Mwanzilishi wa DSM.

Fursa ya kununua DSP zetu kwa sasa wakati bado hazijaanza kutumika kununulia bidhaa na huduma ndani ya DSM ndiyo yenye risk ya kupoteza hela ulizowekeza kama DSM itashindwa kukamilisha mipango yake ya kukamilisha uundwaji wa biashara ya DSM, lakini nadiriki kusema haijawahi kutokea fursa kama hii tangu dunia iumbwe inayokuwezesha kuwa bilionea wa dola kwa kununua DSP 1,000 zenye thamani ya $100 tu.

Sasa kama kupoteza $100 kutakuathiri kiuchumi basi usinunue hizo DSPs. Shiriki tu kwenye fursa ya bure ya kuwa Mwanachama Mwanzilishi.

Vilevile, mnaweza kuungana watu kwa pamoja mkanunua hizo DSP 1,000 kisha mkagawana kulingana na kila mtu alivyochangia wakati wa kuzilipa hizo DSPs kwenye akaunti za wanunuzi ukifika, hivyo kwa njia hii ya kuungana mnapunguza risk ya kila mmoja went aliyeshiriki.

Kitu ambacho ni cha wazi ni kwamba hakuna biashara yoyote ya maana, sio tu Tanzania bali duniani kote unayoweza kuifanya kwa mtaji wa $100 tu, lakini fursa yetu inakupatia uwezekano mkubwa wa kuwa Tajiri wa kutupwa bila jasho lolote kwa kununua DSP zetu 1,000 kwa sababu teknolojia tunayoijenga kuileta sokoni kwa ajili ya biashara ya rejareja haina mfano wake hapa duniani kwani ni teknolojia pekee itakayowawezesha wanunuzi kuweza kupata punguzo la bei la hadi kuzidi 99% kwenye kila kitu tutakachokiuza DSM ikiwemo nyumba, magari, ndege, treni, helicopter, Meli, machine za viwandani, matrekta, pamoja na kila bidhaa au huduma uijuwayo kwani wanachama wetu watakuwa wanazipendekeza hizo bidhaa na huduma za kuuzwa ndani ya DSM.



Kiufupi ni kwamba teknolojia yetu ya manunuzi ikianza kazi basi hakuna mfanya biashara yoyote yule hapa duniani ikiwemo makampuni makubwa kama Alibaba, Amazon, na mengineyo, ambayo yataweza kushindana na sisi kwenye biashara ya rejareja kwani unatakiwa mtu uwe mwendawazimu wa kutosha kwenda kununua kwao kama kitu hichohicho utaweza kukinunua DSM kwa punguzo la hadi karibu na bure. Vilevile mfumo wetu wa kugawana mapato ya DSM na wanachama wetu kwa mfumo wa mtandao hadi vizazi 10 utawafanya wanachama wetu kutokuwa tayari kwenda kununua sehemu nyingine ambayo hawalipwi. Isitoshe, DSP zetu zitakuwa zinapanda thamani kwa haraka kadri watu duniani kote watakapokuwa wanazinunua ili kuweza kununua vitu kwa punguzo kubwa la bei ambalo huwezi kulipata mahali Pennine popote.

Kwa hiyo, kama una uwezo wa kulipia $100, basi pima uwiano wa uwezekano wa wewe kupoteza hizo $100 (risk) na uwezekano wa DSPs zako 1,000 zenye thamani ya dola milioni 10 kukupatia uwezo wa kununua bidhaa na huduma ndani ya DSM zenye thamani hadi dola bilioni moja kwa sababu teknolojia yetu ya ununuzi inakupatia fursa adimu ya kupunguza bei ya kitu hadi mara mia moja (return).

Isitoshe, kununua DSP sasa hivi kunakufanya uwe Mwanachama Mwanzilishi wa Awali wa DSM na hivyo kupata fursa wewe na warithi wako, baada ya kifo chako, kupendekeza bidhaa na huduma za kuongezwa ndani ya DSM bila kikomo. Kupendekeza bidhaa moja tu maarufu ama kwenye soko la dunia au soko la nyumbani kutakupatia fursa ya kupata commissions za mpaka $100,000 fasta kadri bidhaa hiyo inavyonunuliwa ndani ya DSM. Kwa mfano, umekuwa wa kwanza kupendekeza unga mahindi wa kilo tano wa Bakhresa uuzwe ndani ya DSM kisha wafanyakazi wa DSM wakaenda kwa Bakhresa na kumwambia kwamba tunataka tununue unga wako wa mahindi wa kg 5 kwa bei ya jumla. Bakhesa atataja bei yake ya jumla na idadi ya mifuko ya kununua ili uweze kupata kwa bei ya jumla. Kisha DSM inaweka hiyo dili kwa wanachama wetu ndani ya DSM baada ya kuweka cha juu kwa ajili ya malipo ya commissions na mauzo ya DSM. Wanachama wataanza kuweka oda zao za rejareja hadi idadi ya mifuko ya kununua kwa jumla itakapofikia ndipo DSM itarudi kwa Bakhresa na kumlipa ili wanachama walioweka oda waweze kupata oda zao. Wanachama wa DSM watapata punguzo la chini ya bei ya rejareja hata tukishaweka cha juu kwenye bei ya jumla, hivyo hawatakuwa na sababu ya kwenda kununua sehemu nyingine. Hata kama Bakhresa hataruhusu bidhaa yake kuuzwa chini ya bei ya rejareja kwa wanachama wetu, bado teknolojia yetu itawawezesha wanachama wetu kununua huo unga kwa punguzo la bei la hadi mara mia ya bei ya rejareja, hivyo mauzo yatakuwa makubwa na hivyo kumuwezesha mpendekezaji kupata $100,000 yake fasta kwani bidhaa za Bakhresa zinauzwa si tu Tanzania bali nje ya nchi pia.

Kama unaona uwezekano wa risk umeuelemea uwezekano wa return (risk-return tradeoff), basi acha kununua DSP zetu. Shiriki tu kwenye fursa ya bure ya kuwa Mwanachama Mwanzilishi. Vinginevyo nunua.

DSP ni vocha ambazo kazi yake pekee ni kununulia vitu ndani ya DSM, hivyo unapozinunua ni sawa na kununua in advance bidhaa na huduma zitakazouzwa ndani ya DSM.
 

Attachments

  • IMG_20231216_124352_617.jpg
    IMG_20231216_124352_617.jpg
    237.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom