fursa

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Changamkieni Fursa za Uwekezaji Madini ya Makaa ya Mawe

    Wakazi wa Halmashauri ya Songea Vijijini wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji wa makaa ya mawe ambayo inatarajia kuleta tija kwa watanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa madini hayo ndani na nje ya Nchi. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Matimila B na Liula...
  2. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa kishindo wa CCM Mbarali, ni fursa kwa upinzani kuwa mguu sawa

    Ushindi mkubwa wa kishindo walioupata CCM katika jimbo la mabara-Jijini Mbeya, ni ishara njema ya kukubalika, kuimarika na kuaminika kwa chama cha mapinduzi kwa wananchi na uhakika wa kushinda chaguzi zijazo. Lakini pia uchaguzi huo ni fursa muhimu zaidi kwa upinzani kujipima, kujitathimini...
  3. GodfreyTara

    JamiiForums Tanzania Mradi wa LNG Tanzania: Fursa, Changamoto na Mwelekeo wake

    Tanzania, nchi iliyobarikiwa na utajiri wa maliasili, ikiwemo gesi asilia ambayo kwa ujumla wake ni futi trilioni 57.25 za ujazo wa gesi . Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya nishati kwa kuanzisha Mradi wa Tanzania Liquefied Natural Gas (LNG). Mradi huu una lengo la kuchakata gesi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Wajasiriamali wanawake na vijana changamkieni fursa za IMBEJU

    Dar es Salaam. Tarehe 11 Septemba 2023: Akizindua Maonesho ya Imbeju ya Wajasiriamali Ilala 2023, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amewahimiza wafanyabiashara wadogo nchini hasa wanawake na vijana kuchangamkia fursa ya mafunzo, ushauri, na...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta

    MBUNGE AISHA ULENGE KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE NA MANUNUZI YA UMMA NA FURSA ZA KIBIASHARA KWENYE BOMBA LA MAFUTA Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Aisha N. Ulenge ameshiriki Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Zainab Katimba aiomba Serikali kuyajengea uwezo makampuni ya ndani Ili kupata Fursa ya Mikataba ya manunuzi

    "Asante sana Mheshimiwa Spika kwa kupata fursa ya kuchangia hoja ya Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023" - Mhe. Zainab Athuman Katimba, Mbunge wa Viti Maalum "Ni dhahiri asilimia 70 ya bajeti ya Serikali inaenda kwenye Manunuzi. Ni dhahiri katika kipindi hiki cha hivi karibuni...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania KARATU: Mji wenye vumbi kali na fursa nyingi za kiuchumi

    Majuzi nilileta uzi wa miji yenye vumbi jingi ambapo Karatu ilikuwa namba moja na hakuna aliyepinga. Baadhi ya comments zilizonekana kugusiagusia kuhusu huu mji ambao hauna mpinzani kwa kiwango cha vumbi jekundu kusini mwa jangwa la sahara. Lakini pamoja na vumbi bado Karatu ni mji mmoja uliokaa...
  8. The Eric

    JamiiForums Tanzania Fursa za nishati mbadala zitumike, umeme wa shirika kila siku unakatika

    Wenye side B kwenye sola na nishati nyingine hivi sasa ni muda wa kutumia hizo energy. Kama nilipo sasa ivi hakuna umeme washakata kurudi ni jioni au usiku kabisa.
  9. PCGAMES

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa Utumishi (Ajira Portal)

    Haya yakizingatiwa angalau yatasaidia kuboresa mazoezi ya usaili yanayoendeshwa na Utumishi: 1. Katika upande wa mwombaji Waboreshe utoaji wa taarifa kama kuitwa, matokeo, ratiba na mabadiliko yoyote kupitia sms kwa sababu taarifa wanazotoa kwenye website na mifumo inaweza kukwamishwa na mtu...
  10. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Teknolojia inaleta fursa muhimu katika Elimu. Ni muhimu kuondoa vikwazo vinavyozuia wengine kuifurahia

    Elimu ni msingi wa maendeleo na fursa binafsi. Hata hivyo, kupata elimu bora kunaweza kuwa changamoto kubwa kwa makundi mbalimbali katika jamii. Lakini kwa miaka ya hivi karibuni, teknolojia imeleta mapinduzi katika uwanja wa elimu na kuwapa wengi fursa mpya. Kuthibitisha hili, Ripoti ya...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika

    Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amewataka wafanyabishara, wajasiriamali na makampuni mbalimbali kutoka nchi za Afrika Mashariki kuonyesha bidhaa zao,kujitangaza na kukuza soko la...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Umeme wa Zero tarrif Bado upo, wavuja Jasho changamkieni fursa

    Wakati mgao ukiendelea, tujikumbushe Moja ya KAZI murua kabisa ilofanywa na waziri Muhongo. Hili ni suala la zero tarrif, umeme nafuu Kwa watu wa kipato cha chini. Kama unatumia umeme chini ya 75 units Kwa mwezi, Andika barua, ipeleke ofisi ya Tanesco wilaya uliyopo, baada ya mwezi kupita...
  13. Salahan

    JamiiForums Tanzania Fursa biashara viatu vya kiume

    Bei Ya China Bila Usafiri 11500 kwa pea Makadirio Usafiri kwa meli 2000-3000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 60 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 500 kila pea...
  14. Lord Lofa

    JamiiForums Tanzania DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

    Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
  15. Salahan

    JamiiForums Tanzania Fursa biashara viatu vya kike

    Bei Ya China Bila Usafiri 7000 kwa pea Makadirio Usafiri kwa meli 2000-3000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Gharama za usafiri zimejumuisha tozo zote za serikali Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 120 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wasomi wapongeza Rais Samia anavyochungulia fursa kwa Mataifa tajiri

    Wachambuzi wa masuala ya uchumi na diplomasia wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria mkutano wa mataifa matano tajiri (BRICS), wakisema kitendo hicho kinaimarisha uhusi-ano wa kimataifa na kama Tanzania ikijiunga itakuwa na uchumi imara. Mkutano huo wa siku mbili ulihitimishwa jana...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kijana yakubali Mazingira ulipo, pana fursa nyingi

    Mimi ni kijana wa zamani,kwa Sasa Nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53)naelekea uzeeni. Enzi hizo kazi za kuajiriwa haikuwa shida sana kama ilivyo hivi Sasa! Pia wasomi hawakuwa wengi kama ilivyo hivi Sasa,kila nyakati Zina changamoto zake!Simu za mikononi zilikuwa hamna Wala mitandao ya...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la bandari ni fursa kubwa kwa Watanzania kusonga hatua nyingine mbele, tuitumie

    Ukitaka unufaike na matatizo yako basi yageuze upande wa pili. Sakata la bandari limeibua mengi na sasa linaonekana kutaka kuigawa nchi. Niwaambie kitu? Nchi yetu itakuwa imara zaidi baada ya sakata hili. Kwani tutawajua viongozi wetu vizuri zaidi, tutajua sheria zetu vizuri zaidi, viongozi wa...
  19. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania FURSA: Canada imetoa Visa maalum kwa wachomelea vyuma, Mafundi bomba na Maselemala

    Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo. Kila la heri. Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi...
  20. mwekwa ntandu

    JamiiForums Tanzania Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

    Habari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa. Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata...
Back
Top Bottom