Fursa ya kukuza brand ya mpira Tanzania

Calvin Ramadhan

New Member
Jan 3, 2024
2
0
Ni swali la msingi kama sio hoja, hivi kwa hatua tuliyofikia Tanzania kwenye maendeleo ya mpira inawezekana vipi TFF au wadau kwa ujumla au mamlaka husika ya mpira Tanzania kukosa udhamini kwenye mpira unaotumika uwe rasmi?

Yaani ijulikane moja kama msimu wa 2023/24 Ligi yetu itatumia mpira wa kampuni aidha Puma, Adidas au Nike kama kampuni rasmi ambayo tutaingia nao mkataba? Kuliko kutumia mipira holela holela bila mpangilio maalum au bila taarifa rasmi. Na kama mpira upo rasmi je wadau wa soka hilo jambo liko wazi, mnajua au tunaishi ligi yetu kivyetu vyetu maana Mpira ni Fursa
 
Back
Top Bottom