fursa

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuna shida sana na ndizo zinazo wafanya irene uwoya na wenzio kutokupitwa na fursa ya kufaidika na hamu yetu ya kupata miujiza na faraja.

    Niliona uzi humu eti mtu anataka afarijiwe kuhusiana na yeye kupenda huduma mpy ya Irene Uwoya. Yalianza na jamaa aliekuwa Lugombas. Sasa ni irene uwoya kutumia ushawishi wake kupata kondoo. Simaanishi Mungu hawezi kuinua muhuni then akawa mtumishi wake ila tusikubali wahuni watuaminishe...
  2. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Wanawake wapewe fursa ya kushiriki michezo kwa maendeleo

    JAMII imetakiwa kubadili mitazamo hasi juu ya suala la ushiriki wa wanawake katika michezo mbalimbali ili nao waweze kupata haki yao ya msingi ya kuchangamana kupitia michezo hiyo. Wito huo umetolewa na mtaalam wa masuala ya kijinsia na mwandishi wa habari mkongwe nchini, Bi Hawra Shamte...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi Wanawake wamshukuru Mwenyekiti Chatanda kwa kuwapambania katika fursa za miradi

    Mwenyekiti wa Chama Cha Wakandarasi Wanawake Kanda ya Kati na Mashariki Tanzania Bi. Hidaya Abri amemshukuru Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda kwa kuendelea kuwapambania wakandarasi wanawake kupata mitaji inayowawezesha kufanikisha Utekelezaji wa tenda za wadau wa Maendeleo ikiwemo...
  4. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania Tofauti za Kisiasa na Kikazi zisituletee uadui, bado tuna fursa ya kulinda udugu wetu

    TUKIVUTANA KATIKA MAENEO YA KAZI, SIASA, BIASHARA HAUWI ADUI YANGU Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA JITU LA MIRABA Kuna wakati huwa tunavutana katika hali ya kila mmoja kutetea maslai yake, kwangu hilo sio jambo geni na baya ilimradi tu tuwe na mipaka katika kuvutana huko...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi ya kiuchumi na fursa ya ongezeko la watu duniani

    UTANGULIZI Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii adhimu, ya kuleta mapendekezo chanya kwa maendeleo ya Taifa letu. Ningependa kuanza kwa kuuliza, Je Tanzania tuitakayo ni ipi? Ni Marekani ya sasa yenye ushawishi wa kiuchumi Duniani? Au ni Dubai ya sasa yenye majengo marefu ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Stoo makazi fursa mpya ambayo inaweza kuzidi nyumba za upangaji

    Stoo makazi imekuwa ikutumika sana nchi zilizoendelea hususani zile nchi ambazo watu wake ambao hawataki kuhama na mali zao ili kulinda usalama mali zao zikiwa salama. Stoo makazi maranyingi zina unafuu wa usalama ukilinganisha na kunpanga nyumba alafu ukaondoka bila kuwa na muangalizi. Stoo...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Tunakaribisha tofauti za hoja na maoni kuhusu chama chetu CHADEMA kwani hii ni fursa kubwa ya chama kukua na uthibitisho wa demokrasia komavu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tunakaribisha maoni mbalimbali na hata mawazo tofauti kati ya wanachama na viongozi wetu. Kama chama cha kidemokrasi, Chadema tunaona suala la kutofautiana na kulumbana juu ya hoja mbalimbali ni fursa muhimu sana ya kuonesha demokrasia yetu na pia...
  9. Sir Kisesa

    JamiiForums Tanzania FURSA YA BIASHARA.....

    Habari zenu, kuna fursa nimepata nzuri sana ila sina capita ya kutosha iko ivi. Kuna jamaa anafanya kazi kampuni fulani ya mafuta ya kupikia, yaani kiwanda kipo nchi fulani kisha Tz kuna brach yao. Jamaa ndo anahusika na oda zote zinatoka kwa kawateja, wao hawauzi dukani, ni watu wenye maduka...
  10. L

    JamiiForums Tanzania China yapiga hatua kubwa katika kuwapa fursa wanawake kufanya uvumbuzi wa kisayansi na kiteknolojia

    Dunia ni nzuri kwa sababu ya sayansi, na sayansi ni nzuri kwa sababu ya wanawake. Hivi karibuni ulifanyika Mkutano wa Baraza la Kimataifa la Uvumbuzi wa Sayansi na Teknolojia la Wanawake wa mwaka 2024. Mkutano huu uliofanyika Aprili 27 mjini Beijing, ulikuwa na kauli mbiu ya "Kuchochea Uhai na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Afrika inapaswa kutumia fursa zinazotolewa na China hasa kwenye masuala ya anga za juu

    Hivi karibuni China ilirusha chombo chake cha anga ya juu cha Shenzhou-18, ambacho kilibeba wanaanga watatu wakiwemo Ye Guangfu, Li Cong na Li Guangsu. Kabla ya kurusha chombo hicho Alhamis ya tarehe 25 Aprili, China ilisema itahimiza ushiriki wa wanaanga wa kigeni katika safari zake za kituo...
  12. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Habari za uzima, Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto wanazozipitia Vijana wengi ni uchaguzi wa nini wafanye katika khari ya kujikwamua ki maisha, pamoja na...
  13. MEGATRONE

    JamiiForums Tanzania Handeni kuna fursa ya Glocery

    Habari wakuu! Ukiona fursa ni vyema kushare na wenzako. Kuna kijiji nipo katika wilaya ya Handeni kuna fursa kibao sana! Moja wapo ya biashara ya grocery. Kama una mtaji wa kufungua grocery tuwasiliane kuna hela yako nyingi sana katika hicho kijiji. Waliopo huku wengi ni wazawa hivyo biashara...
  14. Enosh Ibrahim

    JamiiForums Tanzania Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?

    Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
  15. lucky_boy

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa chemical and process engineer Tanzania

    Habari wana jamii forum, chemical and process engineering ni kozi nzuri sana kwa sasa japo kupata nafasi ya kuajiriwa ndio changamoto. Naomba tutumie uzi huu kuandika fursa mbali mbali zinazohusiana na hii taaluma kwenye viwanda au taasisi mbali mbali.
  16. Enosh Ibrahim

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani?

    Kozi ya bachelor of arts in economics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gan?
  17. Enosh Ibrahim

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?

    Hii kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
  18. Mshedede1

    JamiiForums Tanzania Kati ya bachelor of science in statistics na land management and valuation ipi itanifaa kusoma chuo mwezi wa 10 mwaka huu?

    Habari wadau wa jf, nimemaliza six mwaka jana mwezi wa 5 mchepuo wa HGE nina ka one ya 9 with c flat. lakini nilishindwa kujiunga chuo mwaka huo kutokana na kushughulikia masuala yangu ya kiafya . Moja ya course nilizokuwa nazifikiria mwaka jana ni land management and valuation na statistics...
  19. Leak

    JamiiForums Tanzania Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

    Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma! Na fikira zikanijia kuwa kuna uwezekano mkubwa wana Jf nao wamenufaika lakini nimefanikiwa kumjua mwana Jf mmoja tuu hapo ! Vijana hizi fursa hamkuziona? Au hamkutangaziwa?
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika wenzangu usiwe mwoga! Hizi zote ni fursa zinazokusubiria

    Najua wengine watakimbilia kusema "motivational speaker", lakini hata kama wote watakejeli, kejeli zao hazitaubadili ukweli ninaoenda kuuwasilisha! Kenya ndiyo nchi inayoongoza Afrika Mashariki kwa kusafirisha nje mboga na matunda. Lakini wakati huo huo, Tanzania ina eneo kubwa linalofaa kwa...
Back
Top Bottom