Mbunge Lekaita: Mvua ni Fursa Tuzitumie Ipasavyo

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
942
MBUNGE EDWARD LEKAITA AWATAKIA WAKULIMA MSIMU MWEMA WA KILIMO KATA YA KALOLENI JIMBONI KITETO

Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita ametembelea na kushiriki shughuli za kilimo na upandaji mbegu katika shamba la Mzee Salum Kabila na kuwatakia heri wakulima na wafugaji.

Mhe. Edward Ole Lekaita amesema Mvua zinanyesha ni fursa. Amewataka wananchi kuheshimu matumizi bora ya Ardhi ili kuondokana na migogoro isiyokuwa na lazima na badala yake watumie vyombo vya sheria katika kutatua changamoto.

Aidha, Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amefika Kata ya Makame kwenye maeneo ya malisho kuona hali ya Mifugo na chakula cha Mifugo na Maji.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-11-24 at 16.23.39.jpeg
    WhatsApp Image 2023-11-24 at 16.23.39.jpeg
    166.8 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2023-11-24 at 16.24.27.jpeg
    WhatsApp Image 2023-11-24 at 16.24.27.jpeg
    996.3 KB · Views: 7
  • WhatsApp Image 2023-11-24 at 16.25.23.jpeg
    WhatsApp Image 2023-11-24 at 16.25.23.jpeg
    146.7 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2023-11-24 at 19.53.24.jpeg
    WhatsApp Image 2023-11-24 at 19.53.24.jpeg
    1.4 MB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-11-24 at 19.53.29.jpeg
    WhatsApp Image 2023-11-24 at 19.53.29.jpeg
    898.5 KB · Views: 4
Nakupenda mbunge wangu. Hata bungeni huwa unatuwakikisha vizuri. Katikati kipindi kifupi ulichokuwa mbunge wa Kiteto, tumeona mchango wako wa Maendeleo tofauti na Papian.

Natarajia utagombea na kushinda awamu ijayo. Nawaasa wananchi wa Kiteto tumchague Ole Lekaita kwa Maendeleo yanayopimika jimboni Kiteto.

Naomba niunge kwenye group la UWAJIBIKAJI JAMII kwani nilibadilisha akaunti nikasahau ku backup. Nitumie Link ya group PM
 
Back
Top Bottom