Fursa zipi zinapatikana Tunduma?

1. Kulima/kununua karanga kutoka shambani na kuja kuziuza mjini kwa jumla/rejareja.

2. Kulima/kufanya biashara ya mpunga/mchele kabla ya mavuno ukinunua kwa bei ya chini na baadae kuja kukoboa mashineni uhitaji ukiwa mkubwa bei ikiwa imepanda.

Sio mwenyeji mimi nilipita tu hapo.
Wenyeji wanaweza wakawa na ufahamu mzuri zaidi. Watusaidie
 
Fursa kibao mkuu..

1. Kufanya Biashara ya pesa : Kununua na kuuza pesa za tanzania, Zambian Kwacha na US Dollar.
2. Kuvusha bidhaa kimagendo kutoka Tanzania kwenda Zambia au Kutoka Zambia kuja Tz kama vitenge na vipodozi
3. Biashara ya Nafaka: kununua na kuuza mahindi mostly from Tz to Zambia or From Zambia to Tz inategemeana na kipindi.

Hizo ndo kwa haraka haraka zinawatoa raia huku
Karibu sana
 
Toa nondo za kushiba hiyo namba 1

Mi niko Tunduma apa maeneo ya stend ya zaman ndipo ninapoendsha shughuli zangu za kusaka mkate wa siku ila kiukwerii apa Tunduma fursa ziko nyingi mno maana hata mm mwenyewe ni mgen hapa na kilicho nivutia icho baada ya kuona kuna fursa nyingi hususan kwa mtu mgen ingawa wenyeji ni wapambnaji ila hawana ideas mpya wanafanya yale yale tuu waliyazoea hawana usubutu wa vitu vipya ila ufikapo ww mgen ni lazma macho yaone wasiyo yaona wao unapgaa ela alaf bila kusahau kuwa nabii akubalik kwake na ndio maana fursa mpya wao hawazion.
 
Mkuu, ni shughuli gani unafanya saivi hapo tunduma..? Na je, usingefanya hio, ungefanya ipi..?
 
Hi zipi hizo fursa wasizo ziona funguka? Ndio lengo la mleta uzi anataka kujua sio kuficha ficha.
Mi niko Tunduma apa maeneo ya stend ya zaman ndipo ninapoendsha shughuli zangu za kusaka mkate wa siku ila kiukwerii apa Tunduma fursa ziko nyingi mno maana hata mm mwenyewe ni mgen hapa na kilicho nivutia icho baada ya kuona kuna fursa nyingi hususan kwa mtu mgen ingawa wenyeji ni wapambnaji ila hawana ideas mpya wanafanya yale yale tuu waliyazoea hawana usubutu wa vitu vipya ila ufikapo ww mgen ni lazma macho yaone wasiyo yaona wao unapgaa ela alaf bila kusahau kuwa nabii akubalik kwake na ndio maana fursa mpya wao hawazion.
 
Kiuhalisia maisha kwa mji wa tunduma ni nafuu yani vitu ni bei ndogo,hasa nyumba na vyakula,kwa biashara ya kilimo na mazao ni sahihi,ila mzunguko sio mkubwa sana kama miaka hiyo ambapo Kwacha ilikuwa na thaman sana na wazambia walkuwa hawafwati mizigo dar,japo Bado Pana unafuu ukilinganisha na mikoa kama Iringa,njombe,mbeya,rukwa katav
 
Mkuu, ni shughuli gani unafanya saivi hapo tunduma..? Na je, usingefanya hio, ungefanya ipi..?
Kwa sasa iv nauza matunda hapa stend nafuata uko shamban naleta mjin na maokoto kama yote iv kwa hii biashara ingawa hata katkat kumekuwa na changamoto za hapa na pale kutkna na mvua tyr zimeshaanza kunyesha baadhi ya maeneo meng yanayozungka hii Tunduma.ila pia biashara nyingne ambayo ningeweza kufanya ni huuzaji wa vitu katka magari makubwa (Maroli)kama vile Usb charge ,earfone ,Superglue,viberiti aina zote, sigara na nk iv vyovyote ni vitu mno ila ndio vinamzungko wa matumidhi wa hawa watu maana hawana mda wa kusimama na kushuka ili wakapte ivyoo vitu kwa iyo ww ukiwalete ivyo bac ni mwendo wa maokoto tuu.pia mtumba grade 1yaaan mweeh mweeh mpk utasema kwa nn sikuwa na usubutu sema watu ni wasiri mno katka connection ya maisha itoshee kwa apa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom