bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Bongo tutasubiri sana, kujikomboa bado sana, labda miaka 500 ijayo!

    Kila mtu anawaza upigaji tu, yaani vichwa vimejaa ni namna gani fursa ije ili mtu apige. Huko kwenye ofisi za umma pamejaa mi-ungu watu, kuanzia mfagizi hadi ma-boss! Badala ya kufanya kazi, watu wamejaa majungu, kuoneana wivu na kuchongeana. Watu wanafiki kupitiliza. Usoni wanakuchekea kumbe...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka maneno ya Rostam Azizi kuhusu " Mapilato" wa Bongo kupigiwa simu za maelekezo

    Huyu Bwana licha ya kukabiliwa na tuhuma nyingi za ufisadi, kitu pekee tunachoweza kumshukuru ni kauli yake juu ya Mapillato wa Bongo kupigiwa simu na kupewa maelekezo watoe judgement za ain gani. Hakika aliongea ukweli na atakumbukwa sana kwa kauli yake hii na tutakuwa tunaifanyia rejea kila...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Citations za Maprofesa Bongo

    Leo tuangalie kazi za kitaaluma za Maprofesa wetu kimataifa eg. Google scholar. 1. Anthony Mshandete, 2439 citations https://scholar.google.com/scholar?hl=en&as_sdt=0%2C5&q=mshandete&btnG= 2. Kitila Mkumbo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo

  5. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa PC Bongo

    Jamani jamani jamani mafundi wa Bongo semeni tu sisi hatujui ila tuna copy na ku paste na kuiga Youtube tu na at least kw cm za androids au pc za windows lakini mi mtu inajijuta mafundi tena pc za Apple which are very complicated; Yanaomba hela yanakula then pc hawajui kutengeneza unabaki na...
  6. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania D Voice ndio future ya muziki wa bongo: Wasanii wa kibongo kazini kwao kuna kazi

    Msanii wa kizazi cha leo na kesho aliyetambulishwa recently na lebo namba moja Africa ya WCB Wasafi. Kwa jina anaitwa D Voice aka Jini aka London Boy au Temeke Boy. Huyu ndio future ya muziki wa bongo kwa ujumla. Ndio anaenda kuibeba mabegani industry ya muziki wa bongo ni suala la muda tu...
  7. tpaul

    JamiiForums Tanzania Master J: 99% ya wasanii wa bongo ni 'mateja'

    Mtayarishaji maarufu wa muziki nchini Tanzania ambaye pia ni mchambuzi wa muziki kupitia show ya Bongo Star Search, ndugu Joakim Kimaro, maarufu kama Master J, amekiri kuwa 99% ya wasanii hapa nchini wanatumia bangi ndio maana wanapenda kuimba nyimbo zinazohamasisha ngono, uhalifu na matumizi ya...
  8. Objective football

    JamiiForums Tanzania Pesa ikikubali nitatimka bongo nikaishi Sweden

    Tangu mdogo nasoma, kuna familia jirani na kwetu walikua wakishua sana. Watoto wa ile familia kila wakija kumsalimu Babu yangu nyumbani, walikua wanamletea zawadi nyingi na vitu vya thamani sana. Babu hakuishia hapo, muda mwingi alinijaza stori kuwa hawa jirani zako unao waona, wako sweden...
  9. FabNXTzqEtcgazfbjjfo

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search mnakosa mvuto

    Habarini za Muda Huu Nimeona Tangazo la Kutafuta Hawa Bongo Star Search Nikabaki Nashangaa wanatafuta Comedian au Nini? Yaani Watu wanaoonyeshwa Kwenye Tangazo ni Wachekeshaji na Watu wanashindwa Kuimba Na Waliovaa Hovyo Hovyo Tu Sasa Badala ya Kuwaonyesha Watu wanaoimba Vizuri ili Tuone...
  10. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

    Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji. Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia. Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi...
  11. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ifikapo 2030 hizi nyimbo za kipuuzi za bongo flava zitaiharibu jamii nzima

    Hata mbuyu ulianza kama mchicha, ndivyo unavyoweza kusema. Nipo kwenye basi natokea Songea kwenda Mwanza, safari nzima tunasikilizishwa nyimbo na video za kihuni za bongo flava mwanzo mwisho. Baadhi ya nyimbo zinazopigwa humu ni hizi: 1. Kila demu ana matako. 2. Nataka kunya 3. Nitongoze 4...
  12. Candela

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa IT hapa bongo

    Aisee wadau kuna mtu kaniuliza mshahara wa IT hapa Bongo umekaaje na soko likoje kwa mtu aliesoma IT, COMPUTER SCIENCE au COMPUTER ENGINEERING na kozi relevant na hizo.
  13. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Wasanii 8 Kutoka Bongo Waliozaliwa Kuanzia Mwaka 2000 Kwenda Juu

    Tusipoteze Muda Twende Moja Kwenye Moja Kwenye Majina Yao 1. Abigail Chams - Kazaliwa May 7, 2003 Label : Rockstar Africa 2. Yammi - Kazaliwa May 12, 2002 Label : The African Princess 3. Bruce Africa - March, 2000 Label : I AM Music 4. Cherry - July, 2000 Label : Bxtra Records 5. Anjella...
  14. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hip hop Bongo inakufa?

    Zamani hip hop ndiyo ilidominate charts maredioni mpaka mitaani...enzi za kina prof j, Afande sele, Ngwea nk. Leo hii amapiano, Bongofleva (copy za kinaijeria) na singeli ndio zinadominate kupigwa maredioni mpaka mitaani. Sikuhizi hakuna wasanii wa hip-hop wanaoshikilia soko kwa kuuza nyimbo...
  15. co fm

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuishi Bongo

    Habarini za humu wadau, Mimi ni kijana wa 26 yrs, mkazi wa Dar es Salaam, nakaa Sinza. Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary. Sina mtoto wala sijaoa, nategemewa na familia yangu huko mkoani, pia ni kijana wa kwanza kwetu, wapo wadogo zangu kama wawili hivi. Sawa...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wasafi Festival ni maonyesho ya muziki au Bongo movie?

    Wakuu ninashangazwa na kinachoendelea kwenye kinachoitwa Wasafi festival. Ikumbukwe hili ni onyesho la muziki linaloendelea mikoa mbalimbali. Kuna jambo limejitokeza ambalo mimi limenishangaza ingawa wengi wanasema ni ubunifu. Kama Wasafi Festival ni tamasha la muziki inakuwaje wasanii...
  17. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kwenye bongo fleva ya Sasa?

    Wakuu mambo vipi ? Kutokana na maoni ya mashabiki wengi wa huu muziki wetu pendwa wa bongo fleva kwamba muziki wa Sasa hauna ladha kama muziki wa zamani , Je nini kifanyike? Tufanye kama zamani au vipi? Na generation ya sasa hivi wanasemaje kuhusu muziki wetu wa Sasa tuendelee nao au kama...
  18. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Al Ahyl kucheza na Simba na Yanga, atakayempiga home and away ndio Kidume wa Soka la Bongo

    Huyu ni Bingwa wa Soka la Afrika, hivyo kama ingekuwa masuala ya kisiasa tungesema huyu ndio Raia namba moja wa Afrika. Sasa hapa Bongo Al Ahyl atakuja mara mbili, ya kwanza kucheza na Simba, na ya pili kucheza dhidi ya Yanga. Al Ahyl kufungwa hapa Bongo siyo jambo geni, alishafungwa na Simba...
  19. Mbute na chai

    JamiiForums Tanzania Quality headphones zinaaibisha watayarishaji wa muziki (producers) bongo

    Leo nimetumia headphones QC45 za bose kusikiliza wimbo fulani wa bongo, yaani, kwa jinsi zilivyo clear kwenye kila chombo cha muziki kilichotumika, nimesikia jinsi baadhi ya vipande vya wimbo huo vilivyo na mixing ambayo haina hata quantization halafu ni wimbo mkali sana! Bora tuendelee kutumia...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Bongo tunasoma ili iweje?

    Wakuu habari, Hivii Tanzania tuna soma ili iweje.Mataifa yote duniani elimu inatumika kumkomboa mwananchi kutoka mazingira duni na kuyaboresha , kuyatawala mazingira na si mazingira kumtawala mwanadamu. Hapa nyumbani tuna baadhi ya vyuo venye kozi mbali mbali ambazo kwa macho ya nyama...
Back
Top Bottom