Quality headphones zinaaibisha watayarishaji wa muziki (producers) bongo

Mbute na chai

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
525
525
Leo nimetumia headphones QC45 za bose kusikiliza wimbo fulani wa bongo, yaani, kwa jinsi zilivyo clear kwenye kila chombo cha muziki kilichotumika, nimesikia jinsi baadhi ya vipande vya wimbo huo vilivyo na mixing ambayo haina hata quantization halafu ni wimbo mkali sana! Bora tuendelee kutumia headphone za famba la sivyo hautafurahia baadhi ya nyimbo kabisa!
 
Mimi masikio yangu sijui yana mavi haya makosa sijayaona haswaa kwenye Bose wala JBL
IMG_8503.jpeg
 
Niliwahi pata headphones kwenye balo za mtumba..
Babaa, ile kitu acha kabisaa, narudia acha kabisa, Yaani mziki unausikia kama unapigiwa hapo kichwani kwako, kila angle ya beats unaisikia...

Kati ya watu watafika mbinguni wamechoka, Basi ni wachina...,
NOTE : Bidhaa za wachina nyingi zinaongeza stress.
 
Back
Top Bottom