Nimechoka kuishi Bongo

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,415
2,143
Habarini za humu wadau,

Mimi ni kijana wa 26 yrs, mkazi wa Dar es Salaam, nakaa Sinza. Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary. Sina mtoto wala sijaoa, nategemewa na familia yangu huko mkoani, pia ni kijana wa kwanza kwetu, wapo wadogo zangu kama wawili hivi.

Sawa ninapata pesa, nina kazi nzuri pia nina have fun weekends ila naona life yangu hapa bongo kama bored hivi. Natamani nisave hata kwa mwaka na niuze vi assets vyangu nipate hata 20m hivi niende Marekani au UK huko. Sijui kwa nini lakini akili yangu ndo inanituma hivyo.
 
Habarini za humu wadau,

Mimi ni kijana wa 26 yrs,mkazi wa dar es salaam,nakaa sinza.Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary.Sina mtoto wala sijaoa,nategemewa na famili yangu huko mkoani,pia ni kijana wa kwanza kwetu,wapo wadogo zangu kama wawili hivi.

Sawa ninapata pesa,nina kazi nzuri pia nina have fun weekends ila naoa life yangu hapa bongo kama bored hivi...Natamani nisave hata kwa mwaka na niuze vi assets vyangu nipate hata 20m hivi niende marekani au uk huko...Sijui kwa nini lakini akili yangu ndo inanituma hivyo.
Yaani unalipwa 24m per year unajiita una kazi nzuri?
 
Miaka 26 una mshahara kama huo halafu umekuwa bored Bongo. Sio kitu kibaya ila nakushauri kama wewe ni msomi usitumie nguvu kubwa kuuza mpaka asset zako. Tafuta chuo au college ya nchi unayotamani kwenda halafu omba scholarship ya masters, utakuja kunishukuru baadae.
 
Miaka 26 una mshahara kama huo halafu umekuwa bored Bongo.Sio kitu kibaya ila nakushauri kama wewe ni msomi usitumie nguvu kubwa kuuza mpaka asset zako. Tafuta chuo au coolege ya nchi unayotamani kwenda halafu omba scholarship ya masters,, utakuja kunishukuru baadae.
Thanks
 
Nenda ila usiuze chochote kabla hujaondoka yaani hata “vibanio vya nguo 20 kwa miatano vibanio” usiviuze maana you never know. I’m telling this from experience.

Binafsi nimekaa nchi kadhaa za Europe na Asia lakini ukweli ni kwamba “ULAYA NI PAZURI KUTAFUTA PESA ILA BONGO NI PAZURI KUTUMIA PESA” yaani nenda katafute pesa Ulaya kisha njoo uitumie Bongo. Ukihitaji mwongozo namna ya kufika unaweza kuni pm.
 
Habarini za humu wadau,

Mimi ni kijana wa 26 yrs,mkazi wa dar es salaam,nakaa sinza.Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary.Sina mtoto wala sijaoa,nategemewa na famili yangu huko mkoani,pia ni kijana wa kwanza kwetu,wapo wadogo zangu kama wawili hivi.

Sawa ninapata pesa,nina kazi nzuri pia nina have fun weekends ila naoa life yangu hapa bongo kama bored hivi...Natamani nisave hata kwa mwaka na niuze vi assets vyangu nipate hata 20m hivi niende marekani au uk huko...Sijui kwa nini lakini akili yangu ndo inanituma hivyo.
HV vitoto vya vyuo viazi Sana

Ndio maana bib faiza FaizaFoxy anawadharau kuwaona walikwenda kusomea ujinga shuleni
 
Back
Top Bottom