MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,239
- 22,318
Wakuu ninashangazwa na kinachoendelea kwenye kinachoitwa Wasafi festival. Ikumbukwe hili ni onyesho la muziki linaloendelea mikoa mbalimbali. Kuna jambo limejitokeza ambalo mimi limenishangaza ingawa wengi wanasema ni ubunifu.
Kama Wasafi Festival ni tamasha la muziki inakuwaje wasanii hujiandaa sana kufanya sanaa ya maigizo jukwaani badala ya muziki? Komredi Mbosso ameonekana kinara wa huu mwenendo mpya wa matamasha ya muziki. Nyie mna maoni gani?