bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Mediaty

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Amazon KDP inalipa, hasa hapa Bongo?

    Guys, mimi ni mwandishi wa Novel (riwaya), nataka kuwekeza kwenye Amazon Kdp. Lakini naona ni kama changamoto kwangu kama beginner. Maana hapa ntatakiwa kulipa some amount for ads, pia kupata reviews (rates) ni ngumu. Na wateja wengi wanependa sana kucheki reviews kabla kununua kitabu...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli Bongo bado sana

    Baada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka Kwanza nimechoshwa na uwingi wa watu bila...
  3. King Kong III

    JamiiForums Tanzania TANZIA G RICO - Msanii wa Bongo Fleva wa Mwanza afariki Dunia

    Umuofia kwenu wana JF, Msanii wa Bongo fleva aliyetikisa kanda ya Ziwa G RICO amefariki dunia leo ,G Rico alitamba na nyimbo kama Pole ya moyo, kesho etc. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
  4. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Kwanini Soka letu la bongo bado lipo nyuma Sana???

    TFF yatoa tena List ya Yanga wachezaji wenye vibali.. Kucheza Ngao ✍️✍️✍️
  5. Area 56

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

    Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000. Leo nimeona tuwakumbuke wanamuziki wa bongo fleva ambao wamefariki. Hii itasaidia pia kujua baadhi ya wana muziki wa bongo fleva...
  6. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Amapiano waachiwe wa Afrika Kusini ndio wanaziweza Bongo na Naija wanapiga makelele tu!

    Hizi Amapiano toka zilipo anza kuvuma South Africa na wasanii wengi wa Afrika kuanza kuzifanya Wasauzi wamebaki kuwa watabe wa huu mziki. Wasanii wengi wa nje ya South Africa wanaofanya na wanao jaribu kufanya Amapiano ni kama wanapiga makelele tu hapa nawazungumzia hasa wabongo na Wapopo...
  7. aka2030

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe ma Dj's walioinyanyua Bongo Fleva

    Dj Mars Dj Venture Dj Skills Dj D White Dj Juice Dj Nelly Dj Kessy Dj Muli Bring Bring Dj Majizo Di Sam Dj Cutter Dj Jongo Dj D7 Ongezea wengne ambao walikuwa bora kuliko hawa kina AllyB
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Waandamamaji wapanda juu ya paa la nyumba ya Waziri Mkuu. Hapa Tanzania hata Dp world wauziwe nchi hamuwezi kuthubutu

    Wanaharakati wamefunika sehemu ya mbele ya jengo hilo kwa kitambaa cheusi Wanaharakati wamepanda juu ya paa la nyumba ya waziri mkuu katika eneo bunge lake la NorthYorkshire kupinga vibali vipya 100 vya mafuta na gesi ya Bahari ya Kaskazini. Wanaharakati hao wa Greenpeaceiwalisema walikuwa...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi ina majina mengi ya mitindo ya kujamiiana na kujamiiana kwenyewe kuzidi Bongo?!!!!

    Aisee ni hatari sana hii nchi! Tukamuulize mama Maria Nyerere kwani ilikuaje inawezekana akawa na majibu ya uhovyo wetu. Tukianza na majina ya mitindo; 1. Kifo cha mende 2. Chuma mboga 3. Mbuzi kagoma 4. Wezele kwio 5. Popo kanyea mbingu 6. Mtambuka 7. Tepetesha sambwanda 8. Kaokokokorobo 9. FM...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Gari yenye Sunroof Bongo ni mateso

    Kulingana na Hali yetu ya jua na vumbi karibu kipindi chote cha mwaka. Kununua gari yenye Sunroof kwa Bongo ni mateso ya kujitakia.
  11. KingOligarchy

    JamiiForums Tanzania Restaurants zenye mademu wakali Bongo

    Greetings Kitty Chasers na my fellow Pussy prowlers, Wanasema kama unapenda Quality Women lazima uwe unajua kusoothe a lonely Vag***a na uwe na bone strength ya nguvu ya simba, warembo wazuri na matata, pia wanaviwanja ambavyo wanapenda kuhang kwenye siku tofauti za wiki, ukiyajua maeneo haya...
  12. Jugado

    JamiiForums Tanzania Ngoma ya kinyama sana mtaani zipo chache mno! Showroom za bongo huikuti

    Hii hapa
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya pesa aliyoyafanya Floyd Mayweather huko S.Africa ni balaa kuna uwezekano akatua bongo

    Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr. Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana. Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati...
  14. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania 2026 hapa bongo patakuwa na wachezaji wanalipwa milioni 50 kila mwezi

    Makampuni mengi kwa sasa idara ya masoko hawabezi fact kwamba hizi timu zina wafuasi wengi kuzidi vyama vya siasa na huunganisha watu pamoja hata kwenye tofauti za kidini ama siasa. Makampuni tunayaona kwa sasa yanataka ukaribu kwa namna yoyote na hizi timu, si ya hapa kwetu tu bali hata nje...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Gabon: Rais Ali Bongo kuwania Muhula wa 3 licha ya Familia yake kutawala kwa miaka 55

    Kiongozi huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 akichukua nafasi ya Baba yake, Omar Bongo aliyetawala kwa zaidi ya miaka 40, atawania nafasi hiyo tena katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2023. Bongo alishutumiwa na Kiongozi wa Upinzani Nchini Gabon, Jean Ping akwa Wizi wa Kura katika Uchaguzi wa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kuliko kununua gari used Bongo bora usubiri uagize tu used Japan

    Kwa muda nimejaribu kutafuta hivi vigari vidogo kama IST, Vits , Allex nk Vingi madalali wanauza Mil 10 mpaka 13 almost bei ya kuagiza mil 14 - 16 Japani. Hapo ukishanunua Bongo jiandae tena na mil 2 za kurekebisha gari angalau uweze kutembelea. Kwa ushauri tu usikimbilie kununua gari used...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kuwa tajiri hapa bongo si mchezo Kuna mambo mengi ya kupitia.

    Ukitaka kuwa tajiri let say ukiwa mfanyakazi lazima uibe sana kama wafanyavyo TRA hasa wa firodha na wafanyakazi wa bandari. Ukiwa dada lazima uliwe sana au uwategeshee Mimba matajiri ili watunze mtoto na wewe. Ukiwa mbunge au mwanasiasa lazima uue albino sana kama anavyofanya musukuma na...
  18. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kuna bloggers wasafi wanaopiga $2,000+ hapa bongo ?

    Nipo interested na mambo haya ila nilipotaka kufatilia nilikuwa nazungushwa sana, nikaja kugundua kwamba hii kazi ya blogging wanaotusua ni wale wanaotumia njia nyeusi na ndio mana hawapo open. Bloggers wa mikato hawa wala haishangazi kuchapa hata dola 2,000+ kila mwezi japo huwa ni wasiri mno...
  19. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Bongo kuna wachambuzi au wachafuzi?

    Mchambuzi ni mtu makini na mtaalamu wa fani husika kwa weledi wa kiwango cha juu. Bongo hatunao watu wa aina hii mfano wa Dkt. Leakey Abdallah wa kizazi cha zamani na kwa kizazi cha sasa mfano wa Ali Mayay, Kiemba Amri na Edo Kumwembe. Wengi naona sio wadau, hii tetesi imekaa vipi?!
  20. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
Back
Top Bottom