bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa na soko la nguo hapa bongo, Wale mnaonunua online tunaombeni mtupe uzoefu wenu tupate nguo zenye ubora

    Habari zenu wakuu, hapa bongo soko la nguo kuna baadhi yetu lishatutoa knock out, unaweza kwepa midosho ya elf 15 ukaenda kwenye duka la cadet za elf 40 ukazani hapa ndio penyewe kumbe mambo yale yale tu, ukifua mara mbili tatu ishakuwa bwanga, pindo hohe hahe, rangi imechuja. Sasa basi mimi...
  2. covid 19

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha nguo (Tshirt kwa hapa bongo)

    Wakuu habari zenu nahitaji kufahamishwa mahali kilipo au vilipo kiwanda vya nguo kwa Dar au Pwani ambacho kinazalisha tshirt. Achana na vile vya external pale.!
  3. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Treyzah ndiye msanii bora wa Bongo fleva kwa sasa

    Treyzah ni msanii wa muziki wa kisasa ambaye ameweza kuweka alama yake katika anga la muziki wa Afrika Mashariki. Kupitia sauti yake iliyoshiba, mashairi yake yenye maana na usanii wake wa kipekee, ameweza kujipatia mashabiki wengi na umaarufu mkubwa. Muziki wa Treyzah unatia moyo na kujenga...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Raila kung'ara Ukikuyuni pigo jingine kwa wakabila uchwara wa bongo

    Kimeendelea kunuka Kenya. Hakuna anayekioanisha na ukabila isipokuwa kutokea Tanzania. Leo Raila alikuwa kapigwa kalamu kufanya vitu vyake Murang'a Ukikuyuni huko. Unamsimamisha vipi Tutu, Mandela, Nyerere au Seif kutokuitumia haki yake ya kikatiba? Raila and Azimio leaders defy police...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Titles za degree za bongo zinatisha na zina maneno mazito ila ndani ya vichwa vya waliosoma hamna kitu, msitishwe na titles

    Kuna midigree inatisha ukisikia mpaka unajiuliza huyu mtu kweli namvyomjua ni kilaza hivi amewezaje kuviweka kichwani. Kumbe ukianza kuongea naye hamna kitu ila Cheti chake kinatisha. Mfano banking na financial services, sijui highway engineering sijui educational policies and planing etc...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kila siku mabasi mapya yanaingia bongo lakini hutosikia tangazo la nafasi za kazi, hizo ajira wanawapa akina nani?

    Habari wakuu! Nadhani kwa kipindi hiki wengi mnaelewa katika tathnia ya usafirishaji abiria (mabasi) kumekuwa na ushindani mkunwa sana. Yaani katika ushindani huo imefikia kipindi watu wanaingiza mabasi nchini kwa wingi kuliko kawaida, lengo ni kuweza kuhimili ushindani huo kwa kuboresha huduma...
  7. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Bongo usitake kutengenezewa app, bora ununue template na wakufanyie customization.

    Siku hizi mambo rahisi sana. Si mpaka uanze kutengeneza app from scratch. App karibu zote wahindi wametengeneza na wanaziuza. We chakufanya nunua tu na IT akuwekee sawa. Kutengeneza wanachukua muda mrefu sana, wasumbufu na kazi itatoka haina viwango kabisa. Hizi za kununua zipo vizuri sana. Na...
  8. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Bongo movie bila steven kanumba

    Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa Amna aliofikia level ya kanumba kwenye kuigiza,kipaji mpaka production. Steven kanumba baada ya...
  9. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Bongo hakuna wenye sifa ya Uhadhiri? Re-Advertisments zimekuwa nyingi

    Hello members, Nimestushwa sana na hii trend ya kutafuta wahadhiri kwa kurudia rudia matangazo kila siku. Nilikua na mzee mwenzangu leo akanionesha tangazo la kazi za wanataaluma kutoka UDSM zaidi ya wanataaluma 300 huko lakini chakushangaza tangazo linarudiwa!! Shida ni nini na wasomi wa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Amapiano kali zaidi kuwahi kutokea Bongo hii (Top 5)

    Nimejiridhisha na kwa mafanikio hizi ndo nyimbo Tani Kali zaidi za amapiano kuwahi kutengenezwa Tanzania 1. Single Again - Harmonize 2. Mama Amina - Mario 3. Ticha- Harmonize 4. Shetani - Marimboso 5. Anajikosha - Harmonize
  11. bahati93

    JamiiForums Tanzania Madogo wa mastaa bongo wenye talent kubwa

    Tabia za haya madogo kuiga fan za mabrother au masistet wao sio nzuri hata kidogo. Kwani ni lazima kila mtu awe star, wengine wabaki mashabiki tu. Sasa mbaya zaidi unakuta lidogo linamwuigiliza kakaye/dadaye mpaka linamfunikaa. Hii hali inaumiza sana na hawa hapa ndio madogo wanaowakimbiza...
  12. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania List ya wasanii wa Bongo ambao walipata umaarufu na mafanikio makubwa, lakini leo wako juu ya mawe

    1) Mr Nice - huyu Afrika mashariki nzima na baadhi ya nchi za kusini kama vile Malawi, Msumbiji na Zambia hakuna mtu ambae alikuwa hamjui. Mpaka watoto wadogo huko vijijini Malawi walikuwa wanaimba kidali poo. Miaka ya 2002 mpaka 2005 alipiga hela sana lakini akaishia kushusha zipu, leo hii...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Rais Samia kuingia katika soka la Bongo kwa kununua magoli ana akili nzuri sana!

    Mchezo wa soka (mpira wa miguu) ni mchezo unaopendwa na watu wengi sana Duniani. Kwa hapa Bongo ni kama ndo epicenter ya soka! Soka linapendwa hapa Bongo balaa! Kuna wakati niliwahi kumwambia rafiki yangu mmoja kwamba kwa "uwazimu" huu wa upenzi wa soka hapa Tanzania hasa katika mechi za Simba...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Walimu kupiga mwanafunzi bongo

    Yuko kijana mvulana alizua vurugu shuleni kujaribu kumpiga mwalimu. Mwalimu akaamua kuita wenzake kijana alipigwa na walimu watatu. Niliona ni bora kwa vile alikua amekosa nidhamu. Lakini wako baadhi ya watu walikua wakimtetea kijana huyo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Bongo jifunzeni kwa CR 7

    "When I speak about my father, I don't have the words. The sadness is for me to be the number one and for him to have never seen it. All my family saw, but my father didn't see any of it." Cristiano Ronaldo talking about his dad who passed away September 6 of 2005 when he was just 20 years old...
  16. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Moja ya njia rahisi ya kuipeleka Bongo Hip-hop international

    Peace to brothers and sisters! Najua ziko njia kadhaa zinazoweza kuwapush wasanii wetu wa Hip-hop kuvuka mipaka hata nje ya Afrika,kutegemeana na strategies na plans za msanii husika. Nchi yetu imebarikiwa vipaji vingi sana vya ma Mc na Rappers wakali,japo hutumia lugha mama pendwa ya...
  17. Saad30

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Hip Hop Bongo Boshoo asaidiwe uwandishi

    Boshoo kama upo humu hii ni yako.. Style yako ya kurap na uwandishi bado ni moja tu. Tangu....atoke Tanga hadi kwenda dar kutafuta tobo bado ni hivyohivyo tu.. Clouds Media wanambeba lakini wapi.. Eti naye kamchana Dizasta Vina 😂😂😂😂 dogo kazingua.... Nendeni kaskilizeni track yake mpya EL...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo

    Nishawahi kusikia au kasoma kuwa; Ujaama ni imani, CHADEMA ni imani, dini ni imani, taifa halina dini bali lina imani, 1. Nini tofauti kati ya KUAMINI na KUJUA 2. Kujua na kuamini je ni kitu kimoja au tofauti. 2. Je, Ujamaa, chadema, dini tunapaswa kujua au kuamini 3. Je, mama yako...
  19. Rawahy

    JamiiForums Tanzania Movie za bongo background music unakera

    Mimi ni mpenzi sana wa bongo movies ingawaje mimi sio mtanzania wala siishi Tanzania. Kuna moja linanikera sana katika movie hizo; ni background music. Inakuwa hata vigumu kusikia wanachosema waigizaji.
  20. bahati93

    JamiiForums Tanzania Wanawake hatari zaidi hapa Bongo

    Hatari na nusu. Ndugu zangu leo nawapatia majina ya wanawake hatari mmoja bada ya mwingine ili nanyi muweze kushuhudia jinsi wanavyotisha. Katika mtiririko ufuatao Kadiri navyo waorodhesha ndivyo ukali unazidi, yaan wa kwanza anakuwa mkali anayefwata mkali zaidi. Hivyo hivyo. Tunaanza sasa...
Back
Top Bottom