Mafundi wa PC Bongo

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
873
Jamani jamani jamani mafundi wa Bongo semeni tu sisi hatujui ila tuna copy na ku paste na kuiga Youtube tu na at least kw cm za androids au pc za windows lakini mi mtu inajijuta mafundi tena pc za Apple which are very complicated;

Yanaomba hela yanakula then pc hawajui kutengeneza unabaki na triple hasara; huu umaskini ndo unatufanya tuishie kwa hawa mbwa; ila yanakera sana. Kariakoo yote yamejaa kila kona na duka but asilimia 2% tu ndo wanajua wanachofanya ndo maana kila dakika utakuta fundi mwingine kaja na tatizo anaomba msaada.😩😩😩

Imagine doctor Muhimbili anafanya upasuaji kisha njiani anakimbia na mwili Aga Khan kuomba msaada

Ovyo ovyo ovyo haya majitu iwe kkoo, Makumbusho, Mwenge God knows wap mengi zero brain tu.

Bora muuzege vitu tu na muache ufundi kwa watu wenyewe sio majitu ya kuotea otea tu Manina. Semeni hamjui tu manina. Oh kesho mara baadaye mara kesho; mnachefua sana.
 
Ufundi wa electronics kwa Tanzania ni majanga matupu sio simu, laptop, tablet, ipad etc, wengi ni watu wa kubahatisha tu.
Nimekuwa na urafiki na hawa mafundi hasa pale mtaa wa Aggrey, wengi hata elimu ndogo tu ya VETA kuhusu hivyo vifaa hawana ni watu wa kubahatisha na uzoefu walioupata katika hiyo mitaa.

Kama una kifaa chako kina shida na hutaki ugonjwa wa moyo na hasira ni vyema ukapeleka kwa mawakala wa bidhaa husika ili ufanyiwe matengenezo.
Ila sasa tatizo vifaa vyetu tunanunua bila kuwa na warranty card kutoka kwa manufacturers matokeo yake kikiharibika lazima upeleke kwa mafundi wa kubahatisha wa kariakoo, mwenge na makumbusho.
 
Hii kitu ndiyo ilinafanya ni jifunze ufundi simu na computer.
Unakuta fundi hajui hata kubadilisha password kwenye simu yaani yy yupo kwenye hardware na anapofungua simu au computer km anagombana nayo.
 
Jamani jamani jamani mafundi wa Bongo semeni tu sisi hatujui ila tuna copy na ku paste na kuiga Youtube tu na at least kw cm za androids au pc za windows lakini mi mtu inajijuta mafundi tena pc za Apple which are very complicated;

Yanaomba hela yanakula then pc hawajui kutengeneza unabaki na triple hasara; huu umaskini ndo unatufanya tuishie kwa hawa mbwa; ila yanakera sana. Kariakoo yote yamejaa kila kona na duka but asilimia 2% tu ndo wanajua wanachofanya ndo maana kila dakika utakuta fundi mwingine kaja na tatizo anaomba msaada.

Imagine doctor Muhimbili anafanya upasuaji kisha njiani anakimbia na mwili Aga Khan kuomba msaada

Ovyo ovyo ovyo haya majitu iwe kkoo, Makumbusho, Mwenge God knows wap mengi zero brain tu.

Bora muuzege vitu tu na muache ufundi kwa watu wenyewe sio majitu ya kuotea otea tu Manina. Semeni hamjui tu manina. Oh kesho mara baadaye mara kesho; mnachefua sana.

Kuna jamaa yangu ni mtaalam wa pc za apple.
 
B
Jamani jamani jamani mafundi wa Bongo semeni tu sisi hatujui ila tuna copy na ku paste na kuiga Youtube tu na at least kw cm za androids au pc za windows lakini mi mtu inajijuta mafundi tena pc za Apple which are very complicated;

Yanaomba hela yanakula then pc hawajui kutengeneza unabaki na triple hasara; huu umaskini ndo unatufanya tuishie kwa hawa mbwa; ila yanakera sana. Kariakoo yote yamejaa kila kona na duka but asilimia 2% tu ndo wanajua wanachofanya ndo maana kila dakika utakuta fundi mwingine kaja na tatizo anaomba msaada.😩😩😩

Imagine doctor Muhimbili anafanya upasuaji kisha njiani anakimbia na mwili Aga Khan kuomba msaada

Ovyo ovyo ovyo haya majitu iwe kkoo, Makumbusho, Mwenge God knows wap mengi zero brain tu.

Bora muuzege vitu tu na muache ufundi kwa watu wenyewe sio majitu ya kuotea otea tu Manina. Semeni hamjui tu manina. Oh kesho mara baadaye mara kesho; mnachefua sana.
Bongo issue ya perfection ni zero. Kila idara kila profession ni kulipua lipua tu. Si wasomi wala mafundi Mchundo ni wale wale tu.

Hakuna anayefanya for excellence ndio maana hata wagonjwa wenye pesa hawataki kutibiwa Tanzania.
 
Jamani jamani jamani mafundi wa Bongo semeni tu sisi hatujui ila tuna copy na ku paste na kuiga Youtube tu na at least kw cm za androids au pc za windows lakini mi mtu inajijuta mafundi tena pc za Apple which are very complicated;

Yanaomba hela yanakula then pc hawajui kutengeneza unabaki na triple hasara; huu umaskini ndo unatufanya tuishie kwa hawa mbwa; ila yanakera sana. Kariakoo yote yamejaa kila kona na duka but asilimia 2% tu ndo wanajua wanachofanya ndo maana kila dakika utakuta fundi mwingine kaja na tatizo anaomba msaada.😩😩😩

Imagine doctor Muhimbili anafanya upasuaji kisha njiani anakimbia na mwili Aga Khan kuomba msaada

Ovyo ovyo ovyo haya majitu iwe kkoo, Makumbusho, Mwenge God knows wap mengi zero brain tu.

Bora muuzege vitu tu na muache ufundi kwa watu wenyewe sio majitu ya kuotea otea tu Manina. Semeni hamjui tu manina. Oh kesho mara baadaye mara kesho; mnachefua sana.
As far as i was kearning electronics troubleshooting, if you reach a point that you can't discover the nroblem you have to refer your customer to a more advanced technician.
Asking the fellow techcian is one of the step in electronic repair and troubleshooting when things become "blue", so don't afraid, it is usual for technician.
The good of dictors they work as a team during their complicated procedure and they have a room for referal. Ukisikia ving'ora vya ambulence ujue ndio sawa na huyo fundi, yaani mgonjwa anahamishiwa kwa mabingwa zaidi.
Katika ufundi kuna section au segment ambayo inaitwa
Documenting the solved problem. Hii inasaidia fundi kurejea mbinu iwapo tatizo limejirudia, hivyo basi kumuuliza fundi jirani ni sawa huenda ana solution ya tatizo.
Ngoja nikwambie mafundi wetu hapa hawajasoma electronics hivyo wana solve common problems. Zikija complicated case/ problems wanashindwa kwa sababu hawana skillset za advance electronics troubleshooting.
Jibu lao la mwisho huwa mother board sakiti imeungua.
Kuna dogo namfahamu alitoka kijijini kwao akajaa kwa fundi aliesoma veta akajaa miezi kadhaa baadae akaachiwa office. Juzi nimeenda nimekuta kahama.
Ni hivi mafundi hawataki kusoma foundition ya electronics system wanataka short cut waanze kupata hela fasta.
HUMU HUMU JF HUSIFIA MAFUNDI WA MTAANI, kwa hio mvumilie tu.
 
Jambo lingine ni kwamba advanced tools za kupimia ni ghali sana. Malipo ya ufundi ni kiduchu sana, hata kama ni mimi siwezi nunua vifaa vya milioni 5 nipime simu nayolipwa elf 10000.
Kuna dogo kupiga window chini tu alipoteza naktaba yangu ya vitabu nilioijenga miaka kama 10. Alipoteza picha nyingi.
Hawa mafundi muwe nao makini. Tafuta historia ya fundi walau kagua vyeti hasa kama compyuta yako ina data za gharana.
Shida ni kwamba mafundi bora gawaji mtaani kwa savsbu za mslipo madogo na sekta imevamiwa na watu waliofeli shule.
Mtu akifeli shule anaenda kujifunza ufundi simu, computer, wakati hio ni sayansi aliofeli kule shule.
Hio ndio TZ, tuwe wapole tu.
 
Back
Top Bottom