Mshahara wa IT hapa bongo

Aisee wadau kuna mtu kaniuliza mshahara wa IT hapa Bongo umekaaje na soko likoje kwa mtu aliesoma IT, COMPUTER SCIENCE au COMPUTER ENGINEERING na kozi relevant na hizo.
Mshahara huwa unategemea wapi unafanya kazi


Unaweza ukaajiriwa ukalipwa 500k na kuna mtu mwingine amesoma program hiyo hiyo akalipwa 2M + marupurupu kibao


" WE ARE EQUAL BUT NOT SIMILAR"
 
Back
Top Bottom