1. Zali la mentali – Profesa Jay ft Juma Nature
2. Starehe – Ferouz ft Profesa Jay
3. Latifa – MB Dogg
4. Bongo Dar es Salaam – Profesa Jay ft. Lady Jaydee
5. Darubini kali – Afande Sele ft Ditto
6. Cinderella – Alikiba
7. Mzee wa Busara – Juma Nature
8. Hakunaga – Sumalee
9. Mr Blue – Mapozi...
Habari,
Nina sumsung A32 5g
inaandikwa kt network
Ukiweka SIM card ya tigo inaandika
Limited service
Haikubali kusoma line za bongo
Kwa mafundi software na hardware nipeni solution
Kwa namna elimu yetu hapa bongo ilivyo na inavyoleta matokeo yasiyo tarajiwa kwa kundi kubwa la wasomi na vijana.
Nadiriki kusema kwa asilimia kubwa elimu ya Tanzania ina umuhimu mkubwa kwa shule ya msingi pekee( awali mpaka darasa la 7) ila sekondari na chuo ni kupoteza muda tu.
Elimu ya...
MABAO mawili aliyofunga dhidi ya Power Dynamos huko Zambia, yamemfanya Clatous Chama azidi kuinyemelea rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi ya Mabingwa Afrika inayoshikiliwa na nyota za zamani wa TP Mazembe na DR Congo, Tresor Mputu.
Kwa kufunga katika mchezo huo uliochezwa...
tua hiyo inakuja wiki 3 tangu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Ali Bongo kupinduliwa Kijeshi muda mfupi baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza kushinda Urais kwa muhula mwingine
Noureddin Bongo Valentin ambaye ni Mtoto mkubwa wa Ali Bongo na washirika wao wakiwemo Msemaji wa Rais na waliokuwa...
Wazee waliposema usiku mrefu waliwaza vingi bwana, leo katika harakati nimejikuta nakosa msosi na kulala pakavu tumboni, sahizi nipo natapa tapa hapakuchi!! Nimeingia kitandani toka saa nne hadi sahizi saa tisa sipati usingizi nasinzia nikishtuka nakuta nimesinzia dakika kumi au kumi tano tu...
Elfu 5, Yes! wala sijakosea ni 5,000.
Nimeenda sehemu namkuta graduate wa computer science anapiga window kwa elf 5, like seriously guys?
Mtu kasoma chuo kwa mamilioni halafu atoe huduma kwa elfu 5?
Ni wazi hatambui hata uzito wa CV yake ya kusomea taaluma yake kwa miaka mitatu chuoni.
Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava.
Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV
Credits to MJRecords, Bongo Records....
Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia...
Kutokuwa tayari kula na watu.
Kuna dogo mmoja anafufua na kuuza PC kwa bei rahisi. Alinifuata anaomba mtaji na hataki kukopa benk.
Nikamwambia sasa mimi nitawekeza kiasi kadhaa alafu katika hiyo faida na mimi nipata kiasi flani, hata pesa ya marketing ntashiriki. Hii ingemsaidia kukua kwa...
Wakuu nimetumiwa video moja ya aliyekuwa Raisi wa Gabon Ali Bongo kwa sasa kapinduliwa nikajua ukweli kwanini Nchi za kiafrika ni maskini sana na nimeshapata majibu kwanini na dokta, maprofesa waliosoma Nchi za ulaya hawana msaada wowote kwa wa Afrika wenzao kumbe tatizo ni imani zao za...
Mapinduzi ya Gabon yana mfanano na mapinduzi mengine yaliyofanyika nchi za Afrika Magharibi. Hata hivyo kuna vitu muhimu vinavyoyatafautisha mapinduzi hayo na wenzao.
Brice Oligui Nguema ni mjomba wa raisi aliyempindua ambaye alichaguliwa kuwa kiongozi wa kikosi cha kumlinda raisi huyo. Tofauti...
Diamond naomba tumuwekee exception asiwepo, hata kwa sasa pesa anavuna zaidi kwenye uwekezaji
Binafsi nachoona ni wasanii ni wachache sana wanaoingiza hela kwa mziki pekee, kinachoumiza wasanii wengi ni kulazimika kuishi maisha ya juu kwajili ya brand, mfano kuishi nyumba za milioni 3 kwa...
Guys, mimi ni mwandishi wa Novel (riwaya), nataka kuwekeza kwenye Amazon Kdp.
Lakini naona ni kama changamoto kwangu kama beginner.
Maana hapa ntatakiwa kulipa some amount for ads, pia kupata reviews (rates) ni ngumu.
Na wateja wengi wanependa sana kucheki reviews kabla kununua kitabu...
Baada ya kukaa nje ya nchi bila kutembelea nyumbani kwa takbirani miaka 10, juzi nimetua bongo kwa matarajio mengi ya kuona yake mapichapicha ya mitandaoni, lakini nilichokikuta ni hakina tofauti yeyote kuonyesha miji wa Dar es Salaam kuwa umejengeka
Kwanza nimechoshwa na uwingi wa watu bila...
Umuofia kwenu wana JF,
Msanii wa Bongo fleva aliyetikisa kanda ya Ziwa G RICO amefariki dunia leo ,G Rico alitamba na nyimbo kama Pole ya moyo, kesho etc. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.