Citations za Maprofesa Bongo

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,567
32,224
Leo tuangalie kazi za kitaaluma za Maprofesa wetu kimataifa eg. Google scholar.

1. Anthony Mshandete, 2439 citations

2. Kitila Mkumbo,
of

3. Kulikoyela Kahigi,

4. Elizabeth Mwakasangula,
 
Acha ukorofi wewe, moderators ondoeni huu uchokozi usio na maana una nini hasa na waalimu wetu wewe ?
 
Leo tuangalie kazi za kitaaluma za Maprofesa wetu kimataifa eg. Google scholar.

1. Anthony Mshandete, 2439 citations

2. Kitila Mkumbo,
of

3. Kulikoyela Kahigi,
Safi sana wanatuwakilisha vizuri kimataifa
 
Muwekeni Osorro wa makinikia ya Magufuli!!! Professor anayegomewa na wanafunzi wake!!! Alikuwa hajui kufundisha!!!
 
Kahigi na Anthony 👍👍 good job kazi nyingi Huyo Kitila kikazi kimoja tu maneno mingi.
 
Maprofesa wa bongo hawana doctrine. Unakuta badala ya kutengeneza nukuu zao wananukuu za Nyerere ambaye hakuwa hata na P.H.D
 
Back
Top Bottom