Al Ahyl kucheza na Simba na Yanga, atakayempiga home and away ndio Kidume wa Soka la Bongo

Kilimbatz

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
4,334
5,838
Huyu ni Bingwa wa Soka la Afrika, hivyo kama ingekuwa masuala ya kisiasa tungesema huyu ndio Raia namba moja wa Afrika.

Sasa hapa Bongo Al Ahyl atakuja mara mbili, ya kwanza kucheza na Simba, na ya pili kucheza dhidi ya Yanga.

Al Ahyl kufungwa hapa Bongo siyo jambo geni, alishafungwa na Simba sana pamoja na Yanga hapa Bongo. Kwahiyo hakuna jipya, Al Ahyl hana maajabu yeyote yale hapa nyumbani.

Mwiko pekee uliyobaki kuvunjwa ni kufungwa kwake Misri na timu hizi mbili. Hivyo yeyote atayevunja huo mwiko kati yetu ndio kidume, mlumendago kwa hapa Bongo.

Kwanza atakuwa amemfunga bingwa wa Afrika na atakuwa kauvunja mwiko kwa kumfunga Al Ahyl kwake.

Nazitakia timu zote ushindi mnono.

#mpira bila mbereko inawezekana

images (24).jpeg
 
Ahly kufungwa kwake haitakua ndio mwiko umevunjwa, Alisha fungwa na Mamelodi.

Kuhusu Kidume wa soka apa Bongo anafahamika sasa tusichanganye mambo.

Kuhusu timu zetu kushinda Cairo kwa timu kama Ahly inawezekana ila timu ziwekeze ki sayansi zaidi kuliko kuchimba viwanja ili kufukia makafara na kuwashamoto wa kichawi uwanjani.

Timu ikienda Cairo na Mentality za kishirikina ndio zile goli 5 zitawahusu.
 
Huyu ni bingwa wa soka la Afrika,hivyo kama ingekuwa maswala ya kisiasa tungesema huyu ndo Raia Namba moja wa Afrika

Sasa hapa Bongo Al Ahyl atakuja mara mbili,ya kwanza kucheza na Simba,na ya pili kucheza dhidi ya Yanga

Al Ahyl kufungwa hapa Bongo siyo jambo geni

Ashafungwa na Simba na ashafungwa sana na Yanga hapa Bongo

Kwahiyo hakuna jipya,Al Ahyl hana maajabu yeyote yale hapa nyumbani

Mwiko peke uliyobaki kuvunjwa ni kufungwa kwake Misri na timu hizi mbili.

Hivyo yeyote atayevunja huo mwiko kati yetu ndo kidume,mlumendago Kwa hapa Bongo

Kwanza atakuwa amemfunga bingwa wa Afrika na atakuwa kauvunja mwiko Kwa kumfunga Al Ahyl kwake

Nazitakia timu zote ushindi mnono

#mpira bila mbereko inawezekanaView attachment 2777422
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Mamelodi mfungulie uzi wake

Halafu Mamelodi hayupo Bongo,yupo South Afrika

Hapa ni Simba na Yanga

Ahly kufungwa kwake haitakua ndio mwiko umevunjwa, Alisha fungwa na Mamelodi.

Kuhusu Kidume wa soka apa Bongo anafahamika sasa tusichanganye mambo.
Kuhusu timu zetu kushinda Cairo kwa timu kama Ahly inawezekana ila timu ziwekeze ki sayansi zaidi kuliko kuchimba viwanja ili kufukia makafara na kuwashamoto wa kichawi uwanjani.

Timu ikienda Cairo na Mentality za kishirikina ndio zile goli 5 zitawahusu.
 
Ahly kufungwa kwake haitakua ndio mwiko umevunjwa, Alisha fungwa na Mamelodi.

Kuhusu Kidume wa soka apa Bongo anafahamika sasa tusichanganye mambo.
Kuhusu timu zetu kushinda Cairo kwa timu kama Ahly inawezekana ila timu ziwekeze ki sayansi zaidi kuliko kuchimba viwanja ili kufukia makafara na kuwashamoto wa kichawi uwanjani.

Timu ikienda Cairo na Mentality za kishirikina ndio zile goli 5 zitawahusu.
Wanachimba uwanja na wakati umetumia mabilioni kuufanyia marekebisho, wanasahau uchawi aupandi ndege matokeo yake ndio kwenda kuzabwa ipasavyo maana power bank ya kuwabust wanakuwa wameiacha Tanzania
 
Huyu ni bingwa wa soka la Afrika,hivyo kama ingekuwa maswala ya kisiasa tungesema huyu ndo Raia Namba moja wa Afrika

Sasa hapa Bongo Al Ahyl atakuja mara mbili,ya kwanza kucheza na Simba,na ya pili kucheza dhidi ya Yanga

Al Ahyl kufungwa hapa Bongo siyo jambo geni

Ashafungwa na Simba na ashafungwa sana na Yanga hapa Bongo

Kwahiyo hakuna jipya,Al Ahyl hana maajabu yeyote yale hapa nyumbani

Mwiko peke uliyobaki kuvunjwa ni kufungwa kwake Misri na timu hizi mbili.

Hivyo yeyote atayevunja huo mwiko kati yetu ndo kidume,mlumendago Kwa hapa Bongo

Kwanza atakuwa amemfunga bingwa wa Afrika na atakuwa kauvunja mwiko Kwa kumfunga Al Ahyl kwake

Nazitakia timu zote ushindi mnono

#mpira bila mbereko inawezekanaView attachment 2777422
".....ashafungwa sana na yanga"

hii ni uongoooo, uongoooooooooo labda ungesema simba sio utombolwa
 
Huyu ni bingwa wa soka la Afrika,hivyo kama ingekuwa maswala ya kisiasa tungesema huyu ndo Raia Namba moja wa Afrika

Sasa hapa Bongo Al Ahyl atakuja mara mbili,ya kwanza kucheza na Simba,na ya pili kucheza dhidi ya Yanga

Al Ahyl kufungwa hapa Bongo siyo jambo geni

Ashafungwa na Simba na ashafungwa sana na Yanga hapa Bongo

Kwahiyo hakuna jipya,Al Ahyl hana maajabu yeyote yale hapa nyumbani

Mwiko peke uliyobaki kuvunjwa ni kufungwa kwake Misri na timu hizi mbili.

Hivyo yeyote atayevunja huo mwiko kati yetu ndo kidume,mlumendago Kwa hapa Bongo

Kwanza atakuwa amemfunga bingwa wa Afrika na atakuwa kauvunja mwiko Kwa kumfunga Al Ahyl kwake

Nazitakia timu zote ushindi mnono

#mpira bila mbereko inawezekanaView attachment 2777422

Wakati Simba anapambana KUPELEKA timu nne kwenye mashindano ya CAF

Utopolo walikuwa Wanaenda kupokea wageni.
(Washindani WA Simba)

YANGA Inamashabiki WA Ajabu sana
 
Ahly kufungwa kwake haitakua ndio mwiko umevunjwa, Alisha fungwa na Mamelodi.

Kuhusu Kidume wa soka apa Bongo anafahamika sasa tusichanganye mambo.
Kuhusu timu zetu kushinda Cairo kwa timu kama Ahly inawezekana ila timu ziwekeze ki sayansi zaidi kuliko kuchimba viwanja ili kufukia makafara na kuwashamoto wa kichawi uwanjani.

Timu ikienda Cairo na Mentality za kishirikina ndio zile goli 5 zitawahusu.
kabisa,kuwekeza kwa wachezaji na benchinla ufundi,mfano perci tau mshahara wake ni dola laki moja kwa mwezi
 
Ahly kufungwa kwake haitakua ndio mwiko umevunjwa, Alisha fungwa na Mamelodi.

Kuhusu Kidume wa soka apa Bongo anafahamika sasa tusichanganye mambo.
Kuhusu timu zetu kushinda Cairo kwa timu kama Ahly inawezekana ila timu ziwekeze ki sayansi zaidi kuliko kuchimba viwanja ili kufukia makafara na kuwashamoto wa kichawi uwanjani.

Timu ikienda Cairo na Mentality za kishirikina ndio zile goli 5 zitawahusu.
Kuna watu sijui walikua wanafundishikaje darasani.

Mleta mada anazungumzia kua both Simba na Yanga zimeshamfunga Al Ahly hapa bongo, bado kumfunga kwake Misri. We unaanza kuleta story za Mamelody.
 
Wakati Simba anapambana KUPELEKA timu nne kwenye mashindano ya CAF

Utopolo walikuwa Wanaenda kupokea wageni.
(Washindani WA Simba)

YANGA Inamashabiki WA Ajabu sana
We nawe jiongezage basi

Huwe unajibu kulingana na mada iliyopo mezani

Nashangaa huwa unamtukana mtani wangu GENTAMYCINE kuwa ni dishi,ila naanza kuamini kuwa wewe ndo unashinda

Mzee,changia mada kulingana na hoja husika
 
Back
Top Bottom