Wakati watu wanafuatilia na kujadili lile tukio la jana, mimi kwa kiasi fulani bado nashangaa kuona eti wale ndio miongoni mwa celebrities wa Bongo ambao watu wanatumia muda wao kuwafuatilia na kuwajadili kwa maana ya kuwaona ni watu wanaostahili kufuatiliwa sio tu kwa tukio la jana, bali...
Habari!!
Je, ungependa kuanzisha biashara yako ya kujikwamua kiuchumi kupitia Bongo Live Reseller Program?
Bongo Live ni kampuni inayotoa huduma ya mawasiliano kwa kutumia Bulk SMS yaani meseji za kutuma kwa watu wengi kwa wakati mmoja.
Kupitia program hii unaweza ukaanzisha biashara yako ya...
Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
Wanabodi,
Najiuliza sana, hivi mpaka leo pamoja na maendeleo yote ya teknolojia na sayansi yake, ni kweli tumeshindwa kuja na namna ya kuwawezesha Watanzania wanaoishi nje ya mipaka yetu kupiga kura kuchagua viongozi kama haki yao ya msingi japo ya urais?
Kwamba na hili pia mpaka tulidai kama...
Huyu jamaa shida ni nini wadau tusaidiane kumdadavua??
Anaitwa Mwijaku binafsi sijawahi kuona lolote la maana kwake leo naona kawafomea waandishi wa habari still bado wanamuuliza maswali tu inashangaza
Mara asambaze sijui picha za utupu duh yaani nakuwa hoves kabisa
TAMTHILIA: CERTIFIED PERSON OF MY LIFE (CPL)
(MTU ALIYETHIBITISHWA KWA MAISHA YANGU)
MWANDISHI/MTUNZI: MANSHYNE
Email address: manshinef@gmail.com
instagram: @manshynee
Sehemu ya 01.
DARASANI:
Ilikua ni muda wa kipindi cha ujasiriamali kwa Wanafunzi wanaosomea kozi ya biashara. Lecturer...
Wakuu za muda huu
Direct kwenye swali na hoja yenye kutaka kujua , kwa wale wapenzi wa movie kuna movie inaitwa wolf of wall street ya leonardo dicaprio na maggot robbie , ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kujua wall street kwa uchache
Wall street ni nini??
Kwa knowledge yangu ndogo ni mtaa wa...
Movie industry in East Africa inaendelea kupiga hatua sana haswa kwenye quality ya picha, creativity, graphics na storyline.
Kenya Kama kawaida ndio kinaara ifikapo quality in terms of production and creativity ukilinganisha na Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Kenyan Movie
Bongo Movies
Karibuni tuelezane Tetesi za usajili VPL na FDL.
Taja jina la mchezaji anatoka timu gani, anaenda wapi
Naanza na Charles Ilanfya (KMC) kwenda Simba
Mwamnyeto (Coastal Union) kwenda Yanga/Simba/Azam
Awesu Juma (Kagera) kwenda Yanga
Kigi Makasi (Ndanda) kwenda Dodoma Jiji
Habari wakuu nataka saa model hiyo vje bongo wanauza wapi kwa bei ya range hizo, naogopa kuagiza aliexpress kutokana na kuchelewa kufika mzigo kwa sababu ya maradhi haya ya korona je kuna duka gani zinapatikana hapa bongo Dar?
Wakuu wa jamvi hali ni gani uko kwenu kitaa.
Yaani hawa kina hawa wanatanguliza pesa mbele kama tai. Kama huna pesa utaishia kula wale wa short time kule Sinza na Manzese wa buku 3 na buku mbili mbili buku ya mlinzi 😂😂😂😂 wewe hujiulizi kwani nini wanaume tukiwa na kojo tunakimbilia hawa wa...
Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho miaka 12.
Je, hii ni mbinu mpya East Africa redio wamekujanayo baada yakuuona watangazaji wao wana...
Mambo vipi mabibi na mabwana? Natumaini uko poa na unaendelea na mitikasi ya maisha vile ambavyo umejaliwa.
Ebana siku ya Jumapili ya tarehe 12 mwezi Julai 2020 ilikuwa ni siku kubwa sana kwenye tasnia ya burudani na michezo. Nisingependa kuongelea kwenye michezo maana hayo yamepita na...
Namtazama hapa luningani, huyu jamaa alipaswa awe anacheza walau ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL). Ana uwezo mkubwa sana hasa anapocheza kama Kiungo Mshambuliaji (Inside 10). Hapa kwenye ligi ya bongo anapoteza muda na kipaji chake.
Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Chama?
Wanabodi,
Kwanza hakuna kitu kinatokea kwenye siasa kwa bahati mbaya. Kila kitu hupanga na wenye akili "Elites" ambao wengi wao hawapo kabisa kwenye siasa ila ndio wanaamua siasa.
Ukiona siasa ya Mkapa,Kikwete na leo JPM ujue wao wenye siasa yao wameamua kuifinyanga iwe hivyo unavyoiona leo...
Labda niweke wazi kuwa sina chuki hata chembe na hiki kituo cha redio na wala sina utimu mimi....ila ukweli lazima usemwe ili ikiwezekana mabadiliko yafanyike.
Awali kipindi hiki kilipoanzishwa niliahidi kuwa mdau mkubwa wa kipindi hiki cha michezo lakini kadri siku zinavyozidi kwenda nilianza...
Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la wasanii wakifanya vizuri hasa kwenye soko la ndani. Wapo waliokuja wakajaribu bahati zao wakatoa hit song mbili tatu wakapotea. Wapo waliokomaa na gemu mpaka sasa tuna enjoy kazi zao hawa tunawaita wakongwe
TULIPOTOKA. Miaka ya nyuma kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.