kilicho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mnaolipa mamilioni kusomesha watoto EMS mmesikia kilichomkuta huyu jamaa kwa binti yake?

    Habari ndugu yangu, Kuna hizi meseji Kanitumia Mdogo Wangu Jana asubuhi, kitu kizuri nilikuwa online muda huo nilicho fanya niliscreenshort haraka na nikasevu na video kabisa, baada ya dakika tatu alifuta. Baada ya kufuta na Mimi nilitulia Wala sikumtafuta na yeye akawa kimya tu, ila ilivyo...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi za africa zina subiria kilicho kosea sio kuwai kinachoendelea kukosea.

    Ukiangalia nchi zote za afrika zilisubiria kosa kwanza likafikia tamati ndio waanze kulitatua. Ukilinganisha na wenzetu kukionekana kuna dalili ya makosa uwahi haraka kulitatua ,Ndio maana kila siku kompyuta na vifaa vyetu zinaomba mabadiliko ya kufanyiwa mabadiliko. Serikali za afrika nyingi...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Neno Amani kilicho na kichaka chenye vivuli viovu vya CCM

    Sijawahi kusikia CCM kazungumzia neno haki.Wao ni Amani tu. Hii Amani imekuwa kichaka cha CCM kuaminisha watu huku wakijua haki hakuna na wafanyao sio haki. Neno haki limekuwa likikwepeshwa sana sababu wakilisema litawavua nguo kwa matendo yao yanayo minya haki. Haki imekuwa mwiba kwao.
  4. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Voyager i ndo chombo kilicho mbali zaidi na dunia, kimebaba picha na ujumbe kutoka Duniani. NASA waliamini sikumoja labda kitapatikana na alliens

    Chombo cha anga cha Voyager 1 ni moja ya mafanikio makubwa zaidi ya binadamu katika historia ya sayansi. Hiki ndicho chombo kilicho mbali zaidi na Dunia kuliko chochote ambacho binadamu amewahi kutuma angani. Kilirushwa mwaka 1977 na NASA, kikiwa na lengo la kuchunguza sayari kubwa kama Jupiter...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa

    Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa. Mpo mpo tu kama machizi kulikuwa na haja gani ya kutoa rushwa, kukodi majambazi kuuwa watanzania ili mpate madaraka sasa nini cha maana mlicho ambulia ? mpo kama makichaa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania It is a pity BIG SHOTS in the government mnaona Tanganyika inateketea mnafurahi na your inner circles kwa vile mnàpata kilicho chema mifukoni?

    Ujumbe wangu ni huo! Unaeleweka na wala hauhitaji maelezo SAVE TANZANIA/TANGANYIKA
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Hata Robert Mugabe alianza kama Samia, kutukana wakina Obama, Tony Blair, kilichotokea kila mtu anajua

    Wakati Mugabe anatwaa Mashamba kwa ya Wazungu na Mabeberu wakawa wana mkosoa Mgabe, naye alikuwa anatafuta sifa kwa wanachama wa ZANUPF yake alikuwa anawahutubia na kuwaambia wale hawawezi kututisha kitu, Sisi ni nchi huru kabisa, Wale ni wakoloni tu. Ndani ya mwaka 1 Pesa ya Zimbabwe ikikuwa...
  8. Janvansina

    JamiiForums Tanzania NINI KILICHO NYUMA YA ELIZA

    Onyo: simulizi hii ni kazi ya ubunifu (fiction). Wahusika, matukio, majina ya kampuni (isipokuwa yale yanayojulikana sana, mfano 'Dar es Salaam)na taasisi za kisiasa zilizotajwa hapa ni za kutungwa. Kufanana kwa aina yoyote na watu halisi, wakiwa hai au wamefariki, au matukio halisi ni bahati...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Naku-challenge unitajie kiumbe kilicho na ubinafsi mkubwa zaidi ya mwanamke hapa duniani. 1 2, 3

    Wala usijichoshe, hakuna. Ushawahi jiuliza kwanini wanawake wanachukiana na kusengenyana? Ni kwa sababu mtu pekee wa kuweza kumuelewa mwanamke hapa duniani ni mwanamke mwenzake ndio maana wanachukiana.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wabongo bana! Hivi kwani kutahiri watoto wako lazima uwapeleke kwa Daktari Juma, Kariakoo? Ona kilichomkuta huyu jamaa

    Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya tohara msimamie am tahiri mwanao akasema lazima awapeleke kwa Dokta Juma. Picha Linaanza simu ya...
  11. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Nilichopenda,Kilicho Nifurahisha na kilicho Nikera Katika Maisha Binafsi Ya Magufuli

    Binafsi hapo awali sikuwa interested sana kufuatilia interview ya Milardi Ayo na Jesca Magufuli,lakini jana katika kupitia hapa na pale,nikasema ebu ngoja nichek hii interview Kiukweli sikujutia kabisa kuangalia yale mahojiano,tena sana sana nilijilaumu kwanini hapo awali sikufuatilia mahojiano...
  12. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Ukraine inapokea kipondo cha karne muda huu, Tangia jana usiku, wanajuta kilicho watuma kuishambulia Russia

    Kama tujuavyo last weekend Ukraine ilifanya mashambulizi ya kimkakati katika AirBases za Russia na kufanikiwa kuharibu baadhi Ndege vita (Bombers) zake. Kwanzia jana Usiku Russia imelipiza kisasi hicho kwa kisago cha mwana ukome ambacho Ukraine ilikua haijawai kupata kamwe, Hili ni fundisho kwa...
  13. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Kilichonishawishi kujiunga na JamiiForums (JF)

    Kilichonishawishi Kujiunga na JamiiForums (JF) Karibu miaka ya 2016 hadi 2017, kipindi hicho nilikuwa bado nipo shule Nyumbani nilikuwa naaminika kiasi cha kupewa simu kwa ajili ya mawasiliano—simu ya kawaida ya Itel, zile za zamani zenye operamini ndani yake. Simu hiyo ilikuwa na apps kama...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tukio la kupasuka kioo cha ndege kilicho mtoa rubani na kupona

    Mnamo Juni 10, 1990, Ndege ya British Airways nambari 5390 ilikuwa safarini kutoka Birmingham kuelekea Malaga. Ilipofika urefu wa takriban futi 17,300, tukio la kutisha lilitokea baada ya kioo cha mbele cha ndege kujitenga ghafla wakati ndege ilikuwa ikiruka katika urefu wa juu. Nguvu ya...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kilichohamasishwa na upinzani ni uchaguzi huru na wa haki sio vurug, tuache kugeuza mambo

    Kilichohamasishwa na watanzania ni uwepo wa uchaguzi huru na wa haki sio vurugu, sio kumteka mtu, sio kumpiga mtu haya madai ya Dkt. Mpango kuwa ni vurugu yanatoka wapi na nani aliyeyasema? Nilimsikia dkt. Mpango akihamasisha wazazi wasiwahusishe watoto kwenye vurugu, sasa uchaguzi huru na wa...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wako akikwambia ana pumu usilazimishe aje ghetto. Ona kilicho tokea kwa demu huyu ( Rest In Peace)

    Huyu msichana umri wake ni miaka 24. Kamaliza Chuo ( Diploma) mwaka Jana Sema kwa sababu kwa aina ya diploma aliyo kuwa anachukua ( Procurement) ilikuwa ngumu kupata kazi so alikuwa nyumbani tu kwa wazazi anasaidia biashara za nyumbani. Perhaps alikuwa anasubiri kwenda Veta. Uhusiano wangu...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wiki hii HAMAS walikubali kuwa walidanganya kuhusu idadi ya vifo vya watoto na wananchi wengine huko Gaza. Kwani ni kipi kilicho kweli juu yao?

    Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia. Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Dhana moja tafsri tofauti pimeni kilicho bora kiutekelezaji

    Nimewasikiliza G55 kwa makini wana hoja za msingi wanazotoa na dhana nzima ya No Reform No election na changamoto za no election kama mkakati wa utekelezaji. Nimemsikiliza TL kuhusu dhana na utekelezaji wake. Kwa maoni yangu zao la utekelezaji limebuniwa na kuzalisha njia mbalimbali za kufikia...
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

  20. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

Back
Top Bottom