azam fc

Azam Football Club is a Tanzanian football club from Dar es Salaam. They play in the Tanzanian Premier League. Azam FC gained promotion to the Premier League for the first time in their short history in 2008–09. In the 2011–12 season, the club finished in a historic second place below Young Africans and qualified for the 2013 CAF Confederation Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Azam FC, Simba FC na Yanga SC mnunueni beki wa Mashujaa "Shedrack"

    Huyu beki wa Mashujaa ni balaa - hamutajutia kumsajili katika vilabu vyenu. Ni ushauri tu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Unaijua kanuni iliyosababisha mechi ya Azam FC na Kitayosce kuvunjika?

    SURA: V MCHEZO Kanuni: 17 Taratibu za Mchezo (1) Michezo yote ya Ligi Kuu itachezwa kwa kufuata sheria kumi na saba za mpira wa miguu za FIFA (17 Laws of the Game). (2) Kutakuwa na mkutano wa kitaalamu wa Maandalizi na Uratibu wa mchezo (MCM) utakaofanyika kabla ya mchezo, saa 4:00 (nne) asubuhi...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tajiri Yusuf Bakhressa nakushauri acha kupoteza Fedha zako Kuihangaikia Azam FC basi hizo Fedha kasaidie Yatima Ubarikiwe zaidi

    Tatizo lako Kubwa unapenda kusikiliza Ushauri wa Watu wenye Vipesa Uchwara wanaokuzunguka na ambao ndiyo wanakuumiza kila Siku Azam FC yako ikicheza na Yanga SC ila Mawazo yenu Mema na ya Kimaono yetu Sisi Masikini akina GENTAMYCINE unayapuuza. Yusuf Bakhressa tumeshakuambia sana tu kuwaondoa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nashauri Azam FC wawape Yanga SC points zao Sita ( 6 ) za Ligi Kuu ya NBC kabla hawajacheza nao

    Haiwezekani kila mkikutana na Yanga SC mnarudia makosa yale yale yanayowagharimu na Kufungwa kila mkikutana. Yaani Kocha mwenye Akili anaweza kumuweka Nje Kipa namba moja wa Timu aliyekuwa amekaa Benchini? Hivi Wachezaji kama Kipre Jr, Amoah na Idi Nado ni wa kutoanza katika First Eleven ya...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hili la Former NBC Premier League MVP Bangala kwenda Azam FC tunamuomba Rais wa Yanga SC atuachie Yanga SC yetu

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoachia ngazi Yanga SC yetu tunamroga ili nae ahamie huko Azam FC au kwa Simba SC alikowauzia Bernard Morrison aliyetutia sana Hasara Yanga SC katika Kesi yake. Injinia Hersi Said tuachie Timu yetu.
  6. AbaMukulu

    JamiiForums Tanzania Abdul Kareem Popat ndio sababu hasa ya Azam FC Kukosa mafanikio

    Abdul Kareem Popat amekuwa CEO wa Azam FC kwa zaidi ya Miaka 7. Huyu ndio CEO ambae hana presha kabisa ya kupoteza kazi yake kutokana kutopewa presha ya mafanikio pale Chamzi Complex. Kipindi chote cha uongozi wake Azam FC imeambulia kikombe kimoja tuu cha FA (Azam Confederation Cup) mnamo...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama Referee wa Team Yes DP World vs Team No DP World na Kesi iliyoko Mbeya nashauri Team Yes wawaige Azam FC walichofanya Tunisia jana

    Mpaka muda huu kwa Kesi iliyoko Mkoani Mbeya na inavyoendelea nawaona Team Yes DP World wanaenda Kufungwa ( Kushindwa ) vibaya mno na Kuumbuka. Ushauri pekee ambao GENTAMYCINE nautoa kwa Team Yes DP World huku nikiwana Team No DP World wanavyoupiga mwingi hawa ( Team Yes DP World ) wawaige Azam...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hivi Azam FC mpo serious kweli?

    Kitendo cha timu ya Azam Fc kugomea mechi ya kirafiki kabla ya kuisha kisa maamuzi mabovu ya mwamuzi kinaonesha mlivyo na utoto. Lengo kuu la friendly match ni kupima mbinu na utimamu wa mwili, kwa nini mkimbie? Na leo mlipaswa kuwa na mechi dhidi ya Club Africain naambiwa mmeisusa kisa droo ya...
  9. demigod

    JamiiForums Tanzania Azam FC hatoingia Makundi CAFCC, Club Africain Kizingiti

    Hatua ya makundi CAFCC ni ngumu zaidi kuliko CAFCL. Sababu mojawapo unacheza na timu ambazo hazifahamiki sana ana zenye wachezaji wanao weza kuku saplaiz kiwanjani. Ukicheza na timu kubwa ni rahisi mno kupata matokea, kwasababu unafahamu quality ya kila mchezaji hivyo ni rahisi kuandaa mpango...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

    Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa, Simba itaanzia Raundi ya Pili kwa kucheza na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos (Zambia) dhidi ya African Stars (Namibia) Yanga itaanzia Raundi ya Kwanza kwa kukipiga na ASAS ya Djibouti, timu itakayoshinda itaingia Raundi ya Pili na kukutana na...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Simba wakopi jezi za Azam Fc

  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hii ndio pre season ya Azam Fc

    Pre season inaendelea huko nje ya nchi. Nitumieni picha za pre season za timu kama Madrid au Man city wakiwa hivi niwaonyeshe chips zenye ukoko.
  13. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Straika mpya wa Azam Fc, Alassane Diao

    Unaambiwa jamaa ni Didier Drogba mtupu, hakabiki wala hazuiliki. Ndiyo, ni straika mpya wa Azam Fc aitwaye Alassane Diao ambaye ni kipande cha mtu. Mabeki wa NBC PL hasa type ya akina Dickson Job watateseka sana. Ukimuangalia unamfananisha straika Diao na wajihi wa mchezaji gani?
  14. B

    JamiiForums Tanzania DAR: Azam FC kuweka kambi ya wiki tatu Tunisia

    Klabu ya soka ya Azam, imetangaza ya kwamba, itaanza rasmi kambi yake ya kujiandaa kwa ajili ya msimu ujao Julai 9 mpaka Julai 30, 2023. Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, kambi itakuwa katika Mji wa Sousse nchini Tunisia. Jumapili ya wiki hii, kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kusafiri...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Azam FC sajilini hata akina Messi, Ronaldo, Mbappe na Haaland, ila hamuwezi Kuchukua Ubingwa wowote ule

    Mpaka mkichana na Kusajili Virusi wa Simba na Yanga huku pia mkiwa na Viongozi Waandamizi wenye Uyanga na Usimba mwingi. Ninawashangaa mno mnavyosajili.
  16. Ahyan

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano kuwa Azam FC wamemsajili Mayele?

    Wana agenda yao ya kuizungumza leo saa tano inayohusu usajili, na topic iliyobeba tukio hilo ni "NDIO! Wameungana tena."
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini sijapoteza muda wangu kuiangalia Fainali ya ASFC ya Azam FC na Yanga SC?

    - Kaimu Kocha Mkuu Kali Ongala night mwana Yanga SC lia lia. - Kocha Msaidizi Aggrey Moriss ni mwana Yanga SC lia lia. - CEO wa Azam FC Popat night mwana Yanga SC lia lia. - Kaimu Msemaji was Azam FC Hashim Ibwe night mwana Yanga SC lia lia. Poleni sana wale mliokuwa mnadhani Azam FC...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau

    Mara baada ya kutambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa #AzamFC, Feisal Salum (Fei Toto) amesema fedha ambazo alichangiwa wakati wa sakata lake la kimkataba dhidi ya #Yanga, atazipeleka Msikitini, Kanisani na kwa Watoto Yatima. “Namshukuru Rais Samia kwa kulimaliza hili jambo, nawashukuru viongozi...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Muda wowote kuanzia sasa Yanga inatangaza rasmi kuachana na Fei Toto, anatua Azam FC

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga. Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum (Fei Toto) na Yanga kimeeleweka, kutambulishwa Azam muda wowote

    MWANASPOTI linajua kabla ya jua kuzama leo Jumatano Juni 7, Feisal Salum 'Fei Toto' atatambulishwa rasmi ndani ya Azam. Licha ya Azam kufanya siri, lakini Mwanaspoti linajua klabu hiyo ilimalizana na Yanga jana jijini Dar es Salaam baada ya kikao kizito cha pande zote mbili. Hatua hiyo imekuja...
Back
Top Bottom