kocha mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Xabi Alonso atangazwa kuwa kocha mpya wa Chelsea FC

    Chelsea Football Club is delighted to announce the appointment of Xabi Alonso as Manager of the men’s team. The Spaniard will begin his role on July 1, 2026, having agreed a four‑year contract at Stamford Bridge. One of the most respected figures in the modern game, Alonso arrives at Chelsea...
  2. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Xabi Alonso kuwa Kocha mpya Wa Chelsea

    Chelsea wamefikia makubaliano ya kumsajili Xabi Alonso kama kocha wao mpya Je ni Chaguo Sahihi!? Xabi Alonso ni kocha bora sana kimkakati, na baadhi ya watu wanasema angepaswa kusubiri kazi bora zaidi. Lakini kivutio kikubwa kwake hapa ni kwamba pia anataka kuwa na mamlaka makubwa badala ya...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Gary Neville aiambia Man United iajiri kocha mpya mwenye uzoefu kuliko Michael Carrick

    Gary Neville has urged Manchester United not to appoint Michael Carrick as their permanent manager at the end of this season, insisting that they should go for the candidate with the best C.V. instead. Carrick took over as head coach when Ruben Amorim was sacked in January on a contract that...
  4. uran

    JamiiForums Tanzania Huyu Kocha Mpya wa Yanga-Folz , hafikishi Christmas ya Mwaka huu 2025

    Huu uzi utunzwe. Sababu ni umri mdogo sana, sio rahisi aweze kuhimili pressure kubwa ya mpira wa Tanzania. Na hana mafanikio yoyote kimpira. Labda kama Uto wamemleta kwa majaribio. Hatoboi popote. Ibenge na Faldu watamnyoa mapema sana! Utopolo watamfukuza.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa yanga ni Romain Folz (35yrs old )

    I will be short This is streets news , the manager has no any accomplishments. Why yanga chose him ?? We don’t know .
  6. uran

    JamiiForums Tanzania Florent Ibenge kocha Mpya Azam FC

  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Thomas Frank Kocha Mpya Tottenham Hotspurs

    Tottenham Hotspur imemtangaza kocha Thomas Frank kuwa meneja wake mkuu kuchukua mikoba ya Age Postecoglou aliyetimuliwa hivi karibuni baada ya kuiongoza timu hiyo kutwaa taji la Europa League. Frank ambaye alikuwa anainoa Brentford, anajiunga na Spurs kwa mkataba wa miaka mitatu baada ya...
  8. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Xabi Alonso Kocha Mpya wa Real Madrid

    Klabu ya Real Madrid imemtanganza Xabi Alonso kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo aliechukua mikoba ya Carlo Anceloti aliyehudumu klabuni hapo kwa muda mrefu. Xabi Alonso amesaini Mkataba wa miaka mitatu na ataanza kazi rasmi msimu ujao.
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, ateuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Brazil

    Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Brazil. Atachukua rasmi majukumu yake kuanzia Mei 26.
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kocha Mpya Asema Yanga wanapangiwa match kila baada ya siku 3. Jamaa ana kitu atafika mbali

  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa huyu kocha mpya wa Yanga, Dube kupewa kipaumbele na Aziz Ki kutumia nguvu nyingi kwenye pisi, Kipigo hakikwepeki Derby, Simba wanazirudisha zote 5

    Zinarudi zote na zinaweza kuzidi, Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo, Mindset za wachezaji wanajua kocha mpya anatimuliwa muda wowote. Unahitaji akili za kawaida kabisa...
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kocha Himdi Maloud anaweza kuwa jasusi wa soka aliyekuja kuimaliza Yanga, afukuzwe mapema

    Habari wakuu Nimewahi kuleta nyuzi kadhaa humu jukwqani za utabiri mfano "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa Mwanzo wa msimu niliandika huu uzi kuhusu JKT Nimeuelewa ukuta wa JKT unatisha...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni hajasafiri na timu baada ya kutokubaliani na baadhi ya mazoezi na program na kocha mpya Sead Ramovic

    Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni, inaelezwa hakusafiri na kikosi cha timu hiyo kuelekea Algeria kwa mchezo wa pili wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger. Inadaiwa kuwa Lagrouni hajasafiri kutokana na kutokubaliana na baadhi ya mazoezi na programu za kocha mpya...
  14. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa Yanga Sead Ramovic ni hatari zaidi kuliko Gamond baada ya mechi tano zijazo mtamsahau Gamond

    Naomba niwe mtu wa kwanza kutofautiana na wengi wanaomponda kocha RAMOVIC. Ni kawaida kwa kocha yeyote mpya kupoteza mechi ya kwanza japokuwa sio makocha wote. Uchebe mwanzoni mwa pre season alikuwa anafungwa mpaka na Dodoma jiji kwenye friend match, pia Al Hilal ilimkanda kwenye CECAFA, Kocha...
  15. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga kabla ya mechi ya leo juzi walichapana makonde Mwamnyeto na Aziz Ki wakati wa kikao cha kocha mpya!

    Ule utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaki kupelekea wachezaji waaandamizi Aziz Ki na Mwamnyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya, inasemekana Mwamnyeto anamtuhumu Aziz Ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba. Hizo habari...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Yanga wasitarajie ushindi kutokana na kocha mpya, ubora wa wachezaji ndiyo utaibeba timu

    YangaSc Vs Al Hilal NJE YA PICHI.... Kesho Yanga watakuwa uwanjani dhidi ya Al Hilal miongoni mwa mchezo ambao nafikiri utakuwa mzuri na mgumu sana kulingana na ubora na uzoefu wa timu zote mbili. Msimu huu Al Hilal wanashiriki ligi kuu Mauritania ambako mpaka sasa wanaongoza ligi wakiwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga, Ramovic: Kwenye timu yangu sitaki pombe, sitaki wachezaji wa kujirusha

    Sasa itakuwaje wakuu. Sead Ramovic kocha mkuu Yanga SC aliwahi kuzungumza katika moja ya mkutano na waandishi wa Habari Afrika Kusini alisema; "Kwenye timu yangu sitaki Pombe, sitaki wachezaji kufanya party na pia sitaki mtindo wa maisha wa kutokujali na kama utataka kufanya haya nitakutoa."...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kocha Mpya Yanga: Lazima niende sehemu inayoendana na malengo yangu (saed ramovic sababu ya kujiuzuru)

    Ramovic alitangaza kujiuzulu nafasi yake kama kocha mkuu wa TS Galaxy kwenye televisheni baada ya timu yake kutoa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa ligi Kuu msimu huu. Alipohojiwa na iDisk Times alisema kuwa anahitaji sehemu inayoendana na malengo yake kama kocha. "Ni lazima niende sehemu...
  19. Kaiche

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wanaoleta Takwimu mbovu za Kocha mpya Yanga

    Watu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira! Mpira umebadilika siku hizi… Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena. Vincent Kompany beki kisiki wa Man City, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio...
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga

    Sead Ramovic ni raia wa Ujerumani aliyezaliwa huko Stuttgart tarehe 14 ya Mwezi Machi mwaka 1979. Hivyo ana umri wa miaka 45. Pia, Kocha huyu ana uraia wa Bosnia. Kocha huyu ana Leseni ya UEFA Pro na ana wastani wa miaka 3.13 katika kazi ya Ukocha. Pia anapendelea kutumia formation ya 4-2-3-1...
Back
Top Bottom