azam fc

Azam Football Club is a Tanzanian football club from Dar es Salaam. They play in the Tanzanian Premier League. Azam FC gained promotion to the Premier League for the first time in their short history in 2008–09. In the 2011–12 season, the club finished in a historic second place below Young Africans and qualified for the 2013 CAF Confederation Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Azizi Ki ajiunga na Azam FC kwa Mkataba wa mwaka mmoja

    Wakuu, Kwa taarifa nilizokua najua awali ni kuwa mchezaji Azizi Ki alimaliza mkataba wake na timu ya Yanga na kusaini Mkataba na klabu ya Wydad ya Morocco, alafu leo nimekutana na hii eti kasaini mkataba na Azam, naombeni msaada wakuu wa Jamii check
  2. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kufeli kwa Azam Fc , Singida na vilabu vingine vya mikoani ligi kuu ni suala la kisaikolojia? Ibenge na Gamond wanaenda kufuta inferiority complex

    Leo Tarehe 7/7)2025 naandika huu uzi kama utabiri Azam Fc ina resources zote pesa, uwanja na wachezaji wazuri wenye viwango vya kimataifa. Ni kawaida kwa mashabiki wa Simba au Yanga kuiita azam ni timu ndogo timu ya ukwsju na embe huku wengine wakiifananisha na kobe dhihaka zote huelekezwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Azam FC yazindua Jezi mpya za msimu wa 2025/26

    Azam FC imekuwa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kuzindua jezi mpya za msimu ujao (2025/26). Azam FC imezidua jezi ya nyumbani, ugenini na chaguo la tatu. Unatoa asilimia ngapi kwa jezi za chama hili la Chamazi?
  4. uran

    JamiiForums Tanzania Florent Ibenge kocha Mpya Azam FC

  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ibenge na Azam Fc mambo safi, Bado kutambulishwa tu

    Transfer News Live👇👇 Muda wowote kuanzia sasa Kocha wa Al Hilal Florent Ibengé (63) atatangazwa kuwa kocha mkuu wa Azam FC. Muda huu Ibenge yuko nchini kukamilisha taratibu zote✍️ Maisha ya Rachid Taoussi yamefika mwisho ndani ya Azam✍️ Ibenge aliwahi kuhusishwa na klabu ya Simba Dili...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Feisal apewa ofa ya kuongeza mkataba hadi 2028, signing fee milioni 800+, mshahara milioni 80

    Azam FC wanawakumbusha watani wa jadi kuwa wao ni level nyingine, walishamwaga bilioni 250 kwenye ligi kuu na bado wanatoa pocket money milioni 50 kwa kila timu kila mwezi, kwao si chochote kumpa Feisal ofa ya mshahara wa takribani milioni milioni 80 na signing fee mara 10 zaidi. 🔹 Mkataba wa...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Simba wanaweza kucheza ligi ya Egypt na kutoa upinzani, Azam FC wahamie ligi ya Zanzibar

    Simba wakisema wahamie ligi ya Egypt hawawezi kukosa tano bora.mpira wa Simba na timu za Egypt unarandana sana. Azam natamani wahamie ligi ya Zanzibar. Huku bara ibaki Yanga na nduguze
  8. Tembosa

    JamiiForums Tanzania Full Time: Azam FC 1 - 2 Young Africans SC | NBC Premier League | Azam Complex | 10-04-2025

    SIKU YA MECHI KALI. 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Azam Fc 🆚 Young Africans SC 📆 10.04.2025 🏟 Azam Complex 🕖 1:00 Jioni VIKOSI VINAVYOANZA LEO. Updates.... Dakika 11 Pacome anaipatia goli la kuongoza kwa Yanga Dakika 19 Pacome anatolewa nje kupata matibabu zaidi baada ya kuumizwa Dakika 34...
  9. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Azam FC kama mnajua hamna malengo yoyote kwanini mnang'ang'ania wachezaji bora na kukamia timu kubwa?

    Hii club binafsi nashindwa kuielewa ina malengo gani, Wachezaji bora kama Yoro diaby, Gibril Sillah, Fei toto nk. Wote wana viwango vikubwa ila hawajulikani wanapambania kitu gani, sanasana wanang'ara wanapokutana na timu za Kariakoo tofauti na hapo shughuli yao inakwisha. Timu inawachezaji...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Azam FC wamepoteza dhidi ya Singida BS walijiandaa Kwa ajili ya Young Africans

    Leo nimetazama mechi ya Azam dhidi ya Singida BS nimeshangaa Azam akiweka akiba ya wachezaji wake muhimu Kwa ajili ya Alhamis dhidi ya Yanga Mechi zote za ligi Zina hadhi sawa, yaani Azam yupo radhi afungwe na Singida BS halafu akamie Simba na Yanga apate sare au ushindi wa taabu nae atambe...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Records: Sure Boy na Mudathir walisimamishwa Azam kwa sababu ya kupanga matokeo dhidi ya Yanga

    WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu. Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mbeya City yaitoa Azam FC kombe la Shirikisho la CRDB

    Huu kweli ni mwaka wa ubaya ubwela. Azam ametolewa kwa penati na Mbeya City katika mashindano ya Shirikisho la CRDB Cup. Tukumbuke kwamba Mbeya City inacheza katika ligi daraja la kwanza. Timu hizo zilimaliza mchezo kwa kufungana 1-1 ndiyo wakaenda kupigiana penati ambapo Mbeya City ikashinda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wangu wa Simba ongezeni sana jitihada kwenye kamati za ufundi kama wanavyofanya Yanga, leo Azam ametoka sare wakati sisi katukomalia

    Mechi ambazo tunatoka sare unaona kabisa tumezidiwa mambo ya nje ya uwanja na nina wasiwasi sana kuelekea tarehe 8, tulikomaliwa na Fountain Gate kwa mambo ya nje ya uwanja, Azam naye akatuwekea ngumu kwa kusaidiwa na utopolo, huwa mara nyingi sana Azam wanaombaga msaada utopolo wakitaka...
  14. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Azam FC ni sikio la kufa ,hawajui hitaji lao nini asa ukiacha kukamia Simba na Yanga

    Kiukweli mimi kama mdau wa soka la Tanzania na dunia kwa ujumla, nashindwa kuelewa kuhusu Azam FC, kiufupi hii timu inawachezaji wa hali ya juu na vitu vyote vya kimichezo kama uwanja na facilities zote zipo lakini Azam Fc imekuwa ni timu ya mechi mbili tu yaani Vs Simba na Vs Young Africans...
  15. gonamwitu

    JamiiForums Tanzania Azam wewe ni ndugu yetu wa damu, tunakutuma ukamfunge Yanga mtakapokutana

    Kumbuka Bakhresa ambaye ni mmiliki wa azam ni mwanachama wa SIMBA na amewahi kuwa muweka hazina wa timu ya Simba kwahiyo sisi ni ndugu wa damu. Tunakutuma utakapokutana na Yanga mpige chuma 3 bila, tena magoli yote yawe ni magoli ya tobo.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Fadlu mpira ni dk 90 badala ya kuhimiza umakini kwa wachezaji wako wewe unahimiza mashabiki washangilie ushindi na dakika bado kuisha!

    Uyu kocha nae ni kituko tu kipo pale,,ameshindwa kuelewa kwamba Mpira kuisha ni mpaka kipyenga cha mwisho cha mwamuzi. Yeye badala ya kuhimiza wachezaji wake waongeze Umakini kwakuwa Mpira ulikuwa bado kuisha yeye ndio akawa kinara wa kuhimiza mashabiki washangilie ushindi wakati Mpira ulikuwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba tusikate tamaa timu iko vitani bado

    Kuanza kuisema sema timu yetu vibaya na kuanza kushambulia kocha kuwa alichelewa kufanya sub, kwamba Zimbwe ameshazeeka hana uwezo wa kumweka benchi Nouma, mara Ngoma alichoka na ilibidi Mavambo aingie, sijui Ahoua hana uwezo wa kuwa MVP anacheza slow sana, maneno kibao baada ya sare ya leo...
  18. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Fadlu kaharibu game ya leo

    Kocha badala aelewe goli alilopata limetokana na foul ya Mchongo so awahimize wachezaji na awaite awakumbushe makosa wanayofanya au afanye Substitution ya Ateba na Mpanzu maana second half walikua Liability tu..na Azam alionekana ana dominate sana... Lenyewe baada ya goli likawa linaonyeshwa...
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Leo 📝 | Simba SC Vs Azam FC

    Kalamu ya Leo 📝 | Simba SC Vs Azam FC MZIZIMA DERBY 🔥! Simba na Azam wametupa mechi bora sana ✅! Fadlu David's Vs Rachid Taoussi 🔥 4-2-3-1 ya Simba in Build-up leo muda mwingi walicheza na 2-4-1-3(CBs then FBs wanacheza pembeni ya Ngoma na Kagoma then Ahoua juu yao kisha Kibu, Ateba na...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

    Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare. Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze...
Back
Top Bottom