azam fc

Azam Football Club is a Tanzanian football club from Dar es Salaam. They play in the Tanzanian Premier League. Azam FC gained promotion to the Premier League for the first time in their short history in 2008–09. In the 2011–12 season, the club finished in a historic second place below Young Africans and qualified for the 2013 CAF Confederation Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

    Simba SC VS Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025 | Saa 1:00 Usiku. Wafungaji wa magoli Simba > Elie Mpanzu dakika, 25 Abdulrazak Hamza dakika, 76 Azam FC > Gibril Sillah. Dakika, 1 Zidane Sereri. Dakika,88
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Azam FC inavyowapa taabu wachambuzi wa Azam Tv kuwatetea

    Wachambuzi na watangazaji wa Azam Tv wanapata taabu sana kuwatetea akina Faisal na wenzake, Timu inabebwa haibebeki wanaulizwa hiyo ni penati au la, wanapatwa na kigugumizi Kuwatetea Azam FC lazima uwe na sifa za uchawa
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Azam FC yaiokoa Simba na mashindano ya Shirikisho

    Leo Azam fc- imekubali kipigo kutoka Kwa Pamba Jiji Hiki kipigo kinamaanisha kuwa ametoa nafasi ya Simba kushika nafasi ya pili Kwa maana hiyo Simba hatacheza tena shirikisho msimu ujao Karibu tena Simba CAFCL tokeni huko shirikisho kwenye mashindano ya akina mama
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Fei Toto anaisaidia Azam kubaki ligi kuu, amezidiwa na Mzize

    Kuwa na pesa na kuwa na mafanikio ni vitu tofauti, binadamu anahitaji vyote kwa nyakati tofauti. Pesa zinaisha lakini mafanikio (legacy) yanadumu. Kiwango cha FeiToto kwenye football kiko kwenye kilele chake cha juu lakini kinatumika kuisaidia Azam kubaki ligi kuu badala ya kuipeleka kwenye...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea macho

    Feisal 'Fei Toto' Salum - Azam FC Katika dirisha la usajili la kiangazi Julai 2024, Fei Toto alihusishwa na klabu kubwa Afrika kama Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini, Wydad Athletic Club ya Morocco, pamoja na Simba SC. Hata hivyo, dau lake la TSh bilioni 5.1 (kwa mujibu...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Fei Toto apokea Ofa ya Tsh Milioni 600 kutoka Simba SC kwa Mkataba wa miaka Mitatu

    Kiungo fundi wa Azam FC, Feisal 'Fei Toto' Salum inadaiwa amepokea ofa ya Tsh milioni 600 kutoka kwa miamba ya Soka, Simba SC, ikiwa ni malipo ya kusaini mkataba wa miaka mitatu. Simba wapo tayari kulipa kwa mafungu ya Tsh milioni 200 kila mwaka. Soma: Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yannick Bangala avunja mkataba Azam FC, apishana kauli na Rached Taoussi

    Kiungo mkongwe Yannick Bangala amevunja mkataba na klabu ya Azam baada ya kupishana na kocha wake Rached Taoussi. Bangala ambaye aliichezea Yanga misimu miwili kabla ya kutimkia Azam msimu uliopita tangu atimkie kwa matajiri hao wa Chamazi hajawa na rekodi nzuri kulinganisha na timu aliyotokea...
  8. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Tabora United 2-1 Azam FC | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 13.12.2024

    HT Tabora 1 - 0 Azam. Mlioko hewani leteni updates!! FT Tabora United 2 - 1 Azam
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Yanga, Simba na Azam zapata shavu Russia

    Klabu za Simba, Yanga na Azam zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na klabu za Ligi Kuu ya Russia, pamoja na kuweka kambi katika kipindi cha mapumziko ya ligi. Fursa hiyo imepatikana kutokana na ziara ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro nchini humo na alikutana na...
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe ataweza kushindana na Sandaland na Azam FC Mahakamani?

    Mpaka SASA Kamwe anadiwa bilioni kumi na nne; Huyu jamaa ataweza kweli kushindana na Sandaland na Azam mahakamani? Azam FC imempatia taarifa rasmi Afisa Habari wa Yanga SC, Haji Ally Kamwe, kudai fidia ya TZS 10,000,000,000 kwa tuhuma za kuichafua klabu hiyo kwa madai ya kuzima taa uwanjani...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe unaogopa nini kutoa Siri ya kilichokuwa kikiendelea Chamazi kilichokuwa kinafanywa na Yanga SC walipokuwa huko?

    "Kama mmeamua Kuhama hameni kimya kimya na acheni kuanza Kutuchafua kwani hata Sisi tuna yenu mengi sana tu ila tumeamua kunyamaza lakini mkiendelea na Upuuzi wenu tutaisimamisha nchi kwa kusema yale mliyokuwa mkiyafanya na ambayo mengi tumeyarekodi vile vile" amesema Msemaji wa Azam FC Hashim...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa vipigo viwili tu vya mfululizo vya Azam FC na Tabora United FC ndiyo mmechanganyikiwa hivi? Na bado!

    Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe "Wachezaji wetu Yanga SC wamerogwa" Mashabiki wa Yanga SC "Wachezaji wetu wanalewa sana na kupiga mno Miti / Kungonoka" Uongozi wa Yanga SC "Hatumuelewi Kocha Gamondi ni Mbishi, Mjivuni na Mbaguzi wa Wachezaji" Hakika aliyekuwa Kocha wao Mkuu Luc Eymael (Raia wa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hamuutaki sasa Uwanja wa Azam Complex baada ya kuchezea Vipigo viwili mfulilizo, kwani Azam na Simba waliwalazimisha Kuutumia?

    Na msivyo na Akili pengine ndiyo maana hata aliyekuwa Kocha Mkuu wenu Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) alisema (ipo YouTube) kuwa mna Akili kama za Nyani, Mbwa na Sokwe leo mmesahau kuwa ni nyie nyie mlikuwa mnatamba kuwa Uwanja wa Azam Complex una Bahati sana Kwenu na mtautumia kwa Mechi zenu zote...
  14. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Yanga imenifedhehesha sana

    kama manvyojua mimi ni Yanga ndani ya jamii ya makolo; ndugu zangu wote ni kolo tupu. Yanga ilipofungwa na Azam, ndugu zangu walinizomea sana na kudhani kama vile wao ndio wameshinda. Nikawaambia kuwa bado sisi tuna mchezo mmoja na tunaongoza ligi lakini hawakunisikiliza, yaani wao walifurahia...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vipi tuendelee Kuchekana baada ya Matokeo ya Leo au sasa kila Mtu ashike Adabu zake na ajue kuwa Mpira huwa Unadunda?

    Yanga SC Kamfunga Simba SC Simba SC Kamfunga Azam FC Azam FC Kamfunga Yanga SC Imeisha hiyo.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awapongeza Azam Fc kwa Ushindi dhidi Ya Yanga.

  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Si tulisema hatufungwi na Uwanja wa Chamazi ni wetu Kinyota je, leo imekuwaje?

    Asante Mungu
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CCTV yanasa mtu akimwaga vitu lango Kuu la Chamazi kabla ya mechi ya Yanga SC na Azam FC

    Picha za mjongeo kutoka kwenye CCTV za dimba la Chamazi zikionesha Mtu akimwaga vitu eneo la kuingilia uwanjani, punde tu baada ya Azam kukabidhi uwanja kwa mamlaka kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga SC. Soma: Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya...
Back
Top Bottom