Search results

  1. Mtoto halali na hela

    FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

    Patashika ya ligi kuu kuendelea leo, kwa kukutanisha wekundu wa Msimbazi dhidi ya wazee wa Mapigo na Mwendo baada ya futari. Muda ni saa mbili na robo usiku, Azam complex Kikosi Game ishaanza dakika ya 18 bado bila bila Yellow card Michael Masinda kamfanyia Saido faulo, game inaendelea...
  2. Mtoto halali na hela

    Katizo la umeme mkoa wa Kilimanjaro

    Habari za asubuhi wakuu, kwa wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro tujiandae leo kutakua na katizo la umeme tokea saa 3 asubuhi hadi saa 9 alasiri. Lengo ni kufanya marekebisho kwenye line yenye msongo wa KV 400 kutokea Singida hadi Arusha. Tahadhari usikanyage wala kushika waya uliodondoka chini...
  3. Mtoto halali na hela

    True

    .
  4. Mtoto halali na hela

    Pressure ya kushuka kwa mama mjamzito

    Poleni na majukumu, nimekuja kwenu kuomba msaada juu ya jambo hili. Mke wangu ni mjamzito wa miezi mitano kwenda wa sita sasa, katika kuhudhuria clinic hii ni mara ya pili vipimo vinaonyesha pressure yake ipo chini. Je hii ina athari gani kwa mama na mtoto aliye tumboni? Maana ni ujauzito wake...
  5. Mtoto halali na hela

    Kanuni 30 kwa wanawake ndani ya ndoa

    Habari za Pasaka, nimeitoa kwingine ila kama ishaletwa huku Moderator mnisaidie kuiunganisha ama kuifuta. 1). Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa heshima. 2). Usifichue udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki zako. Itakurudia. Wewe ni mlinzi wa...
  6. Mtoto halali na hela

    Kina dada kwanini msiyamalize wenyewe mnapotongozwa?

    Habari za weekend, natumaini mnaendelea vizuri. Niende kwenye mada moja kwa moja, miaka ya nyuma kidogo nilikua na binti mmoja kwenye mahusiano ikafikia mahali akawa ananieleza kuwa katongozwa aidha na mtu ninayemfahamu ama kutomfahamu na haikuwa mara moja ananieleza jambo kama hilo, ilifikia...
  7. Mtoto halali na hela

    KERO: Idara ya maji Moshi mnachotufanyia wakazi wa mji mdogo wa Himo sio vizuri

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, natumaini kuna baadhi ya watendaji wa Idara hii wamo humu fikisheni ujumbe huu kwa wahusika. Tumelalamika kwa muda mrefu sasa tokea September 2018 wakazi wa mji mdogo wa Himo Kilimanjaro juu ya ukatwaji wa huduma ya maji ifikapo saa 1 usiku na kurudishwa saa...
  8. Mtoto halali na hela

    Sportpesa Cup: Simba SC vs Leopard

    Kwa wale mashabiki halisi wa Simba (Mnyama / wekundu wa Msimbazi) hiki ndicho kikosi kitakachokabiliana na AFC Leopards ya Kenya uwanja wa Taifa kuanzia saa 10 na robo jioni. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mtoto halali na hela

    Happy birthday to me

    Thanks to my Lord God because without you I'm nothing. Dear my lovely parents I'm still younger, I need your assistance in each step I make into my life. Dear my relatives, brothers and sisters let's us hold each other hands and make sure we stands together. Dear my friends, I'm happy to have...
  10. Mtoto halali na hela

    Kutana na Mtoto halali na hela Kondoa

    Habari zenu bhana, Nakuja pande hizo kuangaza angaza macho. Wenyeji nipokeeni, japo kwa siku hizi chache nitakazokaa kwenu.
  11. Mtoto halali na hela

    Yatosha sasa

    Habarini za mchana wana jukwaa, ni matumaini yangu kuwa muu wazima na mnaendelea na maandalizi ya kumpokea mtoto Yesu kwa wale wakristo wenzangu. Baada ya kusema hayo nirudi moja kwa moja kwenye mada, binafsi nimepita katika mapito mengi upande wa mahusiano napenda nikiri hilo. Na baada ya...
  12. Mtoto halali na hela

    Pale moyo unapoumizwa

    Kuna wakati tunaumia mioyo kuwafikiria wapenzi tuliokuwa nao kwa muda, na inatokea sintofahamu anaenda zake. Binafsi mashairi haya yananipa hisia kali sana juu ya mapendo Intro: C'mon C'mon yeah Can you feel me? (Baby can you feel me?) I've got something to say Check it out Verse 1...
  13. Mtoto halali na hela

    Nawatakia Pasaka njema yenye amani na furaha

    Habari za leo wana MMU, napenda kuwatakia kila la heri katika sikukuu hii ya kukumbuka mateso ya Bwana wetu Yesu Kristo. Muwe na sherehe njema na msisahau kufanya toba ya kweli, nitakuwa nimebanwa kidogo kuanzia sasa hadi jumatatu Mungu akiniacha hai. cc Tyta, Mzizi Mkavu, Mentor, Heaven on...
  14. Mtoto halali na hela

    Sala zenu wana MMU

    Habarini za mapumziko ya mwisho wa wiki, kama tittle ilivyo ni kuwa nina mafua makali tokea jana asubuhi. Nimeshatumia dawa lakini sina ahueni, ila naamini maombi yenu pamoja na ya kwangu yatanirudisha kwenye hali yangu ya kawaida. Asanteni nawatakieni mapumziko mema.
  15. Mtoto halali na hela

    Back to the school

    Habari za weekend wana cc, nimekutana na classmate wangu wa enzi za O level tumekumbushana mengi sana ikiwemo vituko vilivyo happen enzi tunasoma. Mbali na utoro ambao ni common kituko gani ukikimbuka unabaki hoi, mimi binafsi ni kupiga kengele dakika 5 baada ya kuingia darasani kwa kukosa...
  16. Mtoto halali na hela

    Sherehe njema

    Habari wana MMU, nawatakia mwisho wa mwaka mzuri. Pia msherekee kwa amani mwaka mpya, nitakosekana kwa siku 2 tatu hapa jukwaani. Kwa kuwa naenda kuzisaka za kuanza kutumia 2014. Advice: dont drink and drive, even though you havent a car drive safely your body.
  17. Mtoto halali na hela

    Sherehe njema

    Habari wana cc, nawatakia mwisho wa mwaka mzuri. Pia msherekee kwa amani mwaka mpya, nitakosekana kwa siku 2 tatu hapa jukwaani. Kwa kuwa naenda kuzisaka za kuanza kutumia 2014. Advice: dont drink and drive, even though you havent a car drive safely your body.
  18. Mtoto halali na hela

    Msaada wa maswali yanayoulizwa kwenye Interviews za TANESCO.

    Habari za jioni wandugu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi nimepata bahati ya kuitwa kwenye Interview ya shirika la Umeme Tanzania kesho, ila kinachonitatiza ni endapo nitaulizwa maswali yanayohusiana na utendaji kazi wao wa kila siku. Sababu sijawahi fanya nao kazi ila elimu yangu ya...
  19. Mtoto halali na hela

    Startox anusurika kuuawa.

    Habari nilizozipata toka kwa Startox mwenyewe, ni kwamba amesalimika kuuawa na majambazi baada ya kuvamiwa maeneo ya Mwananyamala. Majambazi hao wamepora simu, pesa na baadhi ya vitu. Source: Startox kwenye Facebook.
  20. Mtoto halali na hela

    Utamu haukataliki.

    Mwanajeshi mmoja awakamata wasichana wawili na bi kizee mmoja, ambapo walikuwa upande wa maadui. Mwanajeshi akawaambia adhabu ninayowapa ni kuwamicha kila mmoja, wale wasichana wakiwa wanamtetea yule bi kizee wabebe adhabu yao. Bi kize akakurupuka akasema, adhabu ni adhabu kila mmoja anastahili...
Back
Top Bottom