Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,853
- 41,186
Habari za weekend wana cc, nimekutana na classmate wangu wa enzi za O level tumekumbushana mengi sana ikiwemo vituko vilivyo happen enzi tunasoma. Mbali na utoro ambao ni common kituko gani ukikimbuka unabaki hoi, mimi binafsi ni kupiga kengele dakika 5 baada ya kuingia darasani kwa kukosa msosi wa mchana wewe je?.