Kina dada kwanini msiyamalize wenyewe mnapotongozwa?

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Aug 10, 2012
49,470
43,974
Habari za weekend, natumaini mnaendelea vizuri.

Niende kwenye mada moja kwa moja, miaka ya nyuma kidogo nilikua na binti mmoja kwenye mahusiano ikafikia mahali akawa ananieleza kuwa katongozwa aidha na mtu ninayemfahamu ama kutomfahamu na haikuwa mara moja ananieleza jambo kama hilo, ilifikia mahali nikamwambia umri ulio nao una uwezo wa kujieleza kwa hao wanaokusumbua. Miezi kadhaa mbeleni tulikuja achana ila sababu haikuwa hiyo.

Jana nina rafiki yangu kakumbwa na kisa kinachofanana na hicho, ana binti ambaye ana uhusiano naye tena mchanga ndio hawana hata mwezi.

Kijana na binti wote ni waajiriwa japo kila mmoja sector tofauti na pia wapo mikoa tofauti, binti aliugua akaenda kumuona daktari baada ya tiba binti akaombwa namba akatoa kwa maelezo ya rafiki yangu.

Baada ya siku chache daktari akaomba appointment ya kumpeleka binti dinner binti akaenda, kwenye story mbili tatu binti akatongozwa kwa anavyosema binti akamueleza rafiki yangu.

Jamaa kakosa amani hadi sasa maana hajui undani wa kilichotokea, na ukitegemea wapo mbali mbali ila daktari na binti wapo wilaya moja.

Kwa visa hivyo je wadada mnadhani kutueleza kuwa mmetongozwa ni sahihi? kwa nini msiyamalize wenyewe? Mliowahi kukutana na haya mlichukuliaje.
 
Utoto unamsumbua huyo mwanamke, hajakua.

Kutongozwa ni ombi, ambalo unaamua wewe ukubali au ukatae sasa ukiniambia inanihusu nini. Unataka ndio nikupe jibu la kwenda kumwambia au?

Ukiona hivyo kamkubali so anatengeneza mazingira ili hata akimbamba apate cha kujitetea kuwa si yule niliyekwambia ananitaka.

troublemaker 2019.
 
troublemaker 2019. all right received.
Kabisa chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kukuambia anaweza kwa akili yake kuwa anajionyesha kwako kuwa wewe ndio mmiliki pekee anayekupa hilo tunda na maasi na kwamba wapo watu wengi wanalitamani kulila jinsi linavyovutia kwa macho na yeye anawakatalia kwa sababu kakuhifadhia wewe tuu. Hivyo anataka umuone kuwa yeye sii wa kispoti spoti ana thamani kubwa na anakuheshimu tuu wewe kukupa hiloo tunda si kwamba amekosa soko.

2. Wanawake wajinga ni wale ambao unamtokea kwa mara ya kwanza tiyari kashaatangaza kwa rafiki zake, ama ndugu zake ama watu unaofahamiana nao. Unakutana nao njiani utasikia fulani kakusalimia!!! ebo!! wamejuaje ukaribu wangu na yeye wakati tuliongea sirini nayeye!!?? nikikutana na li network la hivyo mkataba huishia hapo hapo
 
Namba 1 unamaanisha kuambiwa ni kuonyesha uaminifu kwako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa mmoja tulikua tunafahamiana ana mke mzuri sana,siku moja kama zali tukakutana sehemu nikamtongoza akaenda kumwambia mumewe jamaa akanitukana sana!

Ikapita kama miezi miwili nikabahatika kukutana naye tena nikamkumbushia tena suala langu,akanielewa vizuri na hakumwambia tena mumewe,sahivi najipigia vizuri tu kila nilitaka!
 
Kuwa makini mke wa mtu sumu

Pole yako huo sio ujanja,kumbuka nawe utajagongewa mke wako kama unavyomfanyia mwenzio ivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom